Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 23,202
- 26,739
Asante sana
Niayafanyia kazi
Niayafanyia kazi
Asante sana
Niayafanyia kazi
Kumbe huwa tunapotezeana muda tu kule kwenye jukwaa la waongowaongo aisee!
Ni kweli kabisaNi keli watu wanazania Biashara ni Mitaji mikubwa, Unaweza kabidhiwa Bilon Moja na ukashindwa vibaya sana katika biashara, Biashara sio kuwa na Pesa bali nistrategies,
Ni kweli kabisa hata wale mama Lishe wa miji mikubwa kama Dar na kwingineko wana kuwa wanapata faida za kutosha tatizo kubwa ni kukosa mikakati na Vision za kuweza kuvuka kutoka hapo walipo na kuja kumiliki Migahawa mikubwa, Inawezekana kabisa mama lishe kuja kumiliki migahawa mikubwa kabisa, Ila wanakosa focus that is why unawakuta katia levo moja kwa miaka zaidi ya 20, ambapo ilitakiwa wawe wamegraduate from Small to Medium business