Baadhi ya njia unazoweza kutumia kupata wazo bora la biashara (Business Idea)

Juma WALEO capital si tatizo, kinacho tusumbua ni udhubutu, hapo ndo kuna taabu mkuu, Capital kubwa kuliko zote ni Sprit uliyo nayo, Unaweza fika mbali sana endapo utakuwa kweli na dhamira ya kufanya hivyo, Watu wengi walianza bila mitaji na sasa wako mbali sana, Mtaji mkubwa ni afya yako, ni akili uliyo pewa na mwenyezi mungu na kazalika

Well said mkuu
 
Last edited by a moderator:
Hii mada imekuja wakati husika maana ni mwezi wa kwanza nimeacha kazi na kuamua kutumia ujuzi nilionao kua mjasiriamali. Sitarajii kuajiriwa tena nimeamua kupambana mpaka kieleweke. Uoga wako ndo umasikini wako.

Safi sana mkuu, hutakiwi ku give up, never give up kirahisi rahisi, unatakiwa kupambana mpaka point ya mwisho,
 
Jaman tuache uvivu wa kufikiri na visingizio visivyo na mwisho wala maana, nakumbuka nilianza na mtaji wa 150000 na mpaka sasa nina mtaji wa zaid ya milioni 20 japo sio kazi ndogo lkn ukweli nikwamba mafanikio yanahitaji kujibana ili kutimiza malengo. Na kizuri zaid nikwamba kwa sasa nakopesheka lkn huko mwanzo ilikua ni ndoto.
 
Hii ni personer ishu kila mtu anao uwezo wa kubadilika, Na tatizo kubwa linalo tusumbua wabongo ni KUISHI WATU WANAVYO TAKA, Tunapenda sana maisha ya kuonekana, kusifiwa kwamba fulani kanunua gari kari sana, Fulani anamiliki usafili mkari mtaa mzima,

Watu weupe kwenye ishu Ya pesa wana nidhamu ya hali ya juu kabisa na hata wanavyo kuja kutalii huku si kwamba wana pesa sana bali ni nidhamu yao ndo inawafanya wawe na pesa nyingi sana za kuja huku,

Mzungu akienda Super Marketi anakuwa na List ya Vitu vya Kununua, na kila anacho nunua anatiki, na vikiisha anakula kona, Sasa njoo kwa Wabongo mtyu anaweza enda Supermarket kwa minajili ya kununua sukari ila atatoka na vitu vingine,

Wazungu kama hajaplan kununua kitu fulani na hata kama anakihitaji sana , kama hajapanga hawezi nunua hata ukimtembezea na kumuuzia kwa bei ya chini kabisa hata nunua, Sisi asubuhi tunaenda kazini lakini utashangaa jioni mtu anarudi na Nguo, kisa alikutana na watu wanatembeza akatamani

The best point mkuu. Monet management ni tatizo kubwa sana kwa sisi Watanzania.
 
Jamii Forums ni Chuo kikuuu! Nilishapata shahada ya II[Uzamili] JF. Kwa kusoma Minakasha iliyonitanua Akili, kiujasiriamali, biashara, kisiasa, kiuhusiano, Mapenzi, kiteknolojia, kiafya, Dini, kijamii, Katiba na Elimu
Naendelea kutanua Akili ili nipate shahada III[Uzamivu]
Iwa mwema
Wakatabahu
Adharusi

Mmh, we utakua mswahili wa TATAKI
 
Mkuu Chasha,

Nakubaliana na wewe kwa thread yako .ila kwa kuongezea Kwa mazingira ya Tanzania pia ni vizuri mtu anapotafuta mtaji asiangalie hobi ila atazame kile anachopata kwa kile anachofanya je kitampatia kipato cha kutekeleza hobby yake mbeleni?

Ama sio vibaya kuridhika na kile mtu anachokifanya ili mradi ni halali na kinamtekelezea matakwa yake ya kimaisha. Nasema hivi kwa kuwa kuna wengine hukomaa na hobby hadi kujishindwa kimaisha. Japokuwa on the run oppotunities zinatokea ama wanapewa ushauri na kuukataa.
 
Last edited by a moderator:
Vizuri sana, nafarijika kuona umeamua kuchoma meli moto, hakuna kisicho wezekana chini ya jua ukiwa na nia dhabiti,kikubwa ni kuto kata tamaa n usikubali hata siku moja kukatishwa tamaa na kwa walewenye muelekeo wa kukatisha tamaaa hata kama ni ndugu wapotezee mbali sana.

Ujasiriamali ni sawa na mbio za Marathoni, unazuguka uwanja mara 40 nainabakia mita 300 kumaliza mbio unaamua kujitoa.

Fikilia umetumia mudamwigi sana, pesa, kuanzisha project and then unakuja kusalimu amri baadae, inasikitisha sana, so wewe pambana kwa njia yoyote ile, jamii inaweza isikuewe kwa sasa, ila ipo siku watakuelewa hata kama ni baada ya miaka kadhaa,

Unapo lala ota biashara yako, ukiamka wakati wa kuswaki fikilia bishara yako,wakati wakati wa chai, waza biashara yako, mchana hivyo hivyo, wazungu wanasema kufall in love katika biashara, ushawahi sikia hii? so ipo hiyo ya kufall in love katika bishara yako

So dada optional uliyo nayo kwa sasa ni moja tu, only business, so uko kisiwani na umeachwa peke yako, so u need to fight kufa na kupona, na dont accept U-TURN,

Unataka nilie au? maana naona kama mnanisema mimi tu humu. Kubana matumizi kwangu mtihani lakini nimewasoma, nitajitahidi. Ni leo tu nimetoka kupokea kodi ya "fremu" - nimei-sublet baada ya biashara kunishinda. Nimefanya biashara miaka 3, hivi karibuni imeyumba weee mpaka nikaanza kutumia mshahara kuiendesha. Nikafika mahali nikaona isiwe tabu - hela iliyokuwa imebaki nimepeleka benki lakini niulize basi nataka kuifanyia nini sijui!!!! Ngoja nitulie kidogo kisha nitawa-pm mnisaidie. Mbarikiwe.
 
Back
Top Bottom