Ndg yangu CHASA,
Ninachoweza kusema ni MUNGU AKUBARIKI sana.Umeonesha ni jinsi gani usivyo mchoyo na mbinafsi lakini badala yake umekuwa ume share what you know to the public,kiukweli nakupongeza sana.Nadhani umeleta jambo ambalo ni la msaada kwa watu wengi nikiwamo mimi.
Nimesoma michango ya wenzangu na wengi wameonesha kuwa na woga na namna ya kupata mitaji.Ninachoweza kusema ni kwamba kukosa mitaji inaweza kuwa kikomo cha fikra zetu kwani Maandiko katika Biblia yanasema PESA HUFUATA MAONO,that is to say unapokuwa na wazo ambalo lipo sawa basi uwe na uhakika pesa italifuata wazo hilo.Nawatia moyo wote wanaopenda kuanzihsa biashara wasikatishwe tamaa na swala la pesa,pesa zitakuja immmediately baada ya wewe kuwa na wazo.
Ni kweli inawezekana kuwa zipo njia zaidi ya hizi ulizozitaja lakini umeonesha njia na sisi wengine ambao tunao uwezo wa kuleta nyongeza basi fursa ipo na tututmie nafasi hii kuyaleta mbele ya wengine kwaajili ya kubadilisha kizazi chetu haswa katika eneo la kiuchumi.
Naomba kuwasilisha
Usisubiri mtaji ndugu gajjah.uthubutu ndio jambo la msingi kidogo ulichonacho anza nacho,mbele utakutana na watu wa kukusaidia ila kwa kuwa hujaanza kamwe hutawajua.
Usisubiri mtaji ndugu gajjah.Uthubutu ndio jambo la msingi kidogo ulichonacho ANZA NACHO,mbele utakutana na watu wa kukusaidia ila kwa kuwa hujaanza kamwe hutawajua.
Idea iko poa
Sandra binafsi niko kwenye last stages za kuplan business kama kuna Investors sure I will contact u for the same case yo see if I can raise capital from Investors. Ubarikiwe