Baadhi ya mambo ambayo Katiba imekiukwa kwa makusudi na hayupo wa kuitetea

MKWEAMINAZI

JF-Expert Member
May 28, 2023
930
1,299
Wanajamii kwa ilipofikia NCHI yetu suala la kuiheshimu KATIBA kama HAYATI BABA wa TAIFA alivyokuwa ANALIPIGANIA kwa sasa HALIPO TENA.KATIBA inachezewa KATIBA haiogopwi KATIBA ni Kitabu kama Vitabu vingine.

Najaribu kujiuliza kwanini MATUKIO kama HAYA yanaachwa tu licha ya kuwa ni KINYUME na KATIBA?

Je VIONGOZI wetu na VYOMBO vinavyosimamia KATIBA kweli havioni huu UKIUKWAJI wa KATIBA?

1.Kuwa na WABUNGE 19 ndani ya BUNGE wasio Wanachama kwani UANACHAMA wao ulikoma kwa KUFUKUZWA na Chama chao lakini mpaka leo WANALIPWA POSHO na MISHAHARA

2 Kuwa na WABUNGE wa "Kupita bila KUPINGWA" kwa maana ya kutokupigiwa KURA na Wananchi UBUNGE ambao KATIBA haina Kifungu chochote kinachowatambua WABUNGE WALIOPITA BILA KUPINGWA

Ongeza kama lingine lipo
3 ........ ......
4................
 
Back
Top Bottom