Baada yakuitwa dhaifu JK atua Dodoma

DOMA

JF-Expert Member
Mar 17, 2011
944
365
Leo tarehe 20 rais ametia timu Dodoma na kufanya mazungumzo na viongozi mbalimbali waandamizi akiwemo waziri mkuu japo mpaka sasa ajenda haijajulikana lakini hii ni shku moja baada ya kuitwa dhaifu na Mbunge wa Ubungo J .J Mnyika
 
Acha matisho,
Amepelekwa dodma na udhaifu wake!!!!
 
Hata akienda Dodoma leo na akafanya mikutano na Pinda na hata wabunge wake bado tuna sema kuwa ni dhaifu.ili aondokane na udhaifu huu labda atende kazi kama raisi asie dhaifu,kwa kufanya matendo ya kiutendaji yasio na udhaifu,over
 
Ni jambo la heri kama kweli Raisi amesikia mawazo ya mnyika japokuwa alitolewa nje ya ukumbi, akatafakari, akaenda dodoma kwa mazungumzo na safu yake ya uongozi. Big up JK wapatie surprise wale wote waliosababisha ukadharaulika mbele ya wananchi wako. nafahaamu na ulishasema huna ubia na mtu kwenye urais wako patia wao extra drill mapaka watambue simba ni simba tuu.
 
Bora aende akapate ufafanuzi wa karibu!!! But kwa nini ni baada ya kuitwa dhaifu isiwe ni kipindi kile madaktari waligoma na safari hakusitisha? Hapo si udhaifu!!!!
 
Kwani ni kwa sababu ya kuitwa "dhaifu" amekwenda Dodoma? Kama hiyo ndio sababu, basi ni dhaifu kweli kweli.

Mara nyingi Watanzania wengi wamemshutumu J.K. kwamba anasita sita mno kutoa maamuzi, hasa kushughulikia mafisadi. Huu ni udhaifu.

Hata ametamka kwamba wale wezi wa EPA wakirudisha mabaki ya fedha walizokwapua toka BoT watasamehewa!! Huu ni udhaifu mkubwa. Mwizi hupelekwa kortini na ikidhihirika ni mwizi, hufungwa. J.K. ameapa atalinda na kuhifadhi Katiba na Sheria ya nchi. Ni udhaifu kutolinda Katiba.
 
Leo tarehe 20 rais ametia timu Dodoma na kufanya mazungumzo na viongozi mbalimbali waandamizi akiwemo waziri mkuu japo mpaka sasa ajenda haijajulikana lakini hii ni shku moja baada ya kuitwa dhaifu na Mbunge wa Ubungo J .J Mnyika

[SUP]Hata kama ajaitwa DHAIFU na Mhe. Mnyika, kwani sisi Wa Tanzania we know and have seen his failure to perform as a PRESIDENT kwa hivyo it was an added on that it was cut up with Mhe. Mnyika to mention that huko Bungeni. RAIS gani, ajali nchi yake na watu wake ??? RAIS gani yeye ni starehe tuu na kutuibia na safari kemkem nje ??? He has proven a total failure and this is not coming out from Mhe. Mnyika bali sisi WATANZANIA ambae tunalipa KODI na WANATAFUNA nakutupa BUDGET MBOVU tena yakula tena. AISEE THIS IS A TOTAL SHAME.

TUNASEMA, BUDGET HII IKIPITA TUNAWATAADHARI KWA WATAONA KITEMAUKUNI. TUKO TAYARI KUPIGWA NA BOMB YA FFU NA KUFA KWA NCHI YETU WAKATI WANAKULA PESA ZETU NA HATA MKOPO YA WAFADHILI WANAKULA BILA KUFANYA MAENDELEO YA NCHI ???? WE ARE ALERTING THEM THAT TI IS EITHER DEATH OR ALIVE WE WILL BE ON THE ROAD KUANDAMANA.
[/SUP]
 
Bora aende akapate ufafanuzi wa karibu!!! But kwa nini ni baada ya kuitwa dhaifu isiwe ni kipindi kile madaktari waligoma na safari hakusitisha? Hapo si udhaifu!!!!
kama ni ufafanuzi wa udhaifu angeenda BAKITA!
 
Kwahiyo amekuja kudhibitisha Udhaifu au Ushupavu wake?

Mytake: Amekuja for huruma ya wabunge ili bajeti ipite.Zuga.com
 
I think calling him "mdhaifu" is understatement, cjui neno gani lingine ambalo linaweza kumfit impasavyo...
 
Ameenda kuwashika masikio magamba wenzake kwani taarifa za chinichini zimeonesha kua bajeti itakataliwa uku kukiwa ma harufu za migomo ya madaktari na waalimu....Yani hali ngumu sana kwa DHAIFU kwani ata wabunge wake wasiojua nini maana ya bajeti wameshituka kuona DENI la Taifa likiongezeka kwa kutisha sasa kila gamba amekomalia apo tu...sasa anaenda kuwatisha ili bajeti ipite kwa kishindo lakini kwenye hii migomo sidhani km atasarimika
 
Kwani ni kwa sababu ya kuitwa "dhaifu" amekwenda Dodoma? Kama hiyo ndio sababu, basi ni dhaifu kweli kweli.

Mara nyingi Watanzania wengi wamemshutumu J.K. kwamba anasita sita mno kutoa maamuzi, hasa kushughulikia mafisadi. Huu ni udhaifu.

Hata ametamka kwamba wale wezi wa EPA wakirudisha mabaki ya fedha walizokwapua toka BoT watasamehewa!! Huu ni udhaifu mkubwa. Mwizi hupelekwa kortini na ikidhihirika ni mwizi, hufungwa. J.K. ameapa atalinda na kuhifadhi Katiba na Sheria ya nchi. Ni udhaifu kutolinda Katiba.

Anajisamehe mwenyewe!
 
Raisi wa tanzania ni dhaifu na chama cha mapinduzi ni wapuuzi pamoja na wabunge pia mawaziri wote. ndo maana walimkalisha chini kumzuia kusoma report yake ktk mkutano wa nchi za ..............., alichofuata dodoma ni ku prove udhaifu wake, aibu kwa taifa na taasisi ya urais!
 
Back
Top Bottom