Baada ya walimu: Mapolisi nao wala bakora

Mwiba

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
7,607
1,744
Baada ya walimu: Mapolisi nao wala bakora
Posted Mon, February,16 2009
Source Alasiri
Leo ikiwa ni siku ya nne tangu Rais Jakaya Kikwete amfute kazi aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Bukoba Kanali Mstaafu Albert Mnali kutokana na kitendo chake cha kuwadhalilisha walimu 31 wa shule za msingi wilayani kwake ambao...
Mwenye habari hii atujulishe imetokeza kipande tu. Au ni wale waliokamatwa Malawi ?
 
Back
Top Bottom