Baada ya Wafanyabiashara kusikilizwa. Wachimbaji wadogo kanda ya ziwa nao wasikilizwe

jmchimbadhahabu

JF-Expert Member
Sep 26, 2014
218
106
Kumekua na malalamiko mengi sana kutoka kwa Wachimbaji Wadogo wa dhahabu kwa miaka mingi bila kutatuliwa. Tusipojifunza kwa Wafanyabiashara wa Kariakoo tutegemee maandamano mengine ya wachimbaji wadogo.
Baadhi ya Malalamiko yao ni
1. Kulipa kadi(mrahaba) zaidi ya mara 2, mchimbaji hukatwa asilimia 7 ya mzigo aliouzalisha kama mrahaba lakini pia anapoenda kuuza dhahabu ya mawe ambayo amekatwa 7% hupaswa tena kukatwa 7% ya mrahaba. Watu wamelalamika sana NO solution.
2.Mchimbaji hukatwa 30% ya uzalishaji wake bila kujali ametumia gharama kiasi gani ie. upate faida au hasara wao hawajali. Ieleweke uchimbaji pia ni biashara huwezi kukata 30% bila kujua mtu ametumia gharama kiasi gani.
3. Wenye leseni wamekua ni wanyonyaji wa wachimbaji.

Ujumbe uwafikie!!!
 
Hapo kwenye 30% elezea kwa mapana...ili tujue A,B, C zake then ndio tuangalie suluhisho
 
30% kuna watu huwa wanajiita wenye LESENI. Hao ndio huwa wanakula hii. Hawaweki hata sumuni kwenye uzalishaji ila siku ya kuondoa mawe yako utawaona na vitambi vyao na stick mdomoni na maji ya Jambo mkononi wanataka 30% na hawataki kujua umetumia kiasi gani au ulichozalisha kina nini??
 
Sasa hayo ni makubaliano yako mchimbaji na mwenye leseni.
...NI UTARATIBU MLIOKUBALIANA

Na wewe tafuta LESENI yako 100% ...uchimbe hakuna mtu atachukua % yoyote kutoka kwako isipokuwa Kodi halali ya Serikali.
 
Hii akili wangelikuwa nayo akina Nyerere,Nkwame nk hili bara lingekuwa bado chini ya wakoloni.
 
Hii imekaa hivi Mimi ni mmiliki wa Kiwanja wewe mchimbaji umekuja unataka kuchimba . Nakupa eneo . Ukichimba mifuko 100. Wewe mchimbaji unachukua mifuko 70, mie mwenye eneo nachukua 30 .

Hili kumaliza hiyo tunahitaji umilikaji wa leseni ubadilke tutoe leseni kwa Shimo sio kiwanja.
 
Upo sawa kabisa.
Lakini mbona Mwakitolyo inawezekana kwa Wachimbaji kuchukua 90% na wamiliki 10%?
Why not maeneo mengine kama migodi ya wwchimbaji wadogo kahama nk
 
Hizi sheria zinapishana eneo na eneo, mtu na mtu. Anzia Dutwa , Mwime, Ishokera, Masumbwe, Nyarugusu, Magema, Makurugusi, Katoma, Rondoni, Kambi katoto, Itumbi. Chunya, Saza, Makongorosi, Shoga , chokaa, ifwenkenya, Saza falls. Mbangala, Maleza.
Chunguza utaona utofauti
 
Mwamba unayajua machimbo safi sana
 
Hizi sheria zinapishana eneo na eneo, mtu na mtu. Anzia Dutwa , Mwime, Ishokera, Masumbwe, Nyarugusu, Magema, Makurugusi, Katoma, Rondoni, Kambi katoto, Itumbi. Chunya, Saza, Makongorosi, Shoga , chokaa, ifwenkenya, Saza falls. Mbangala, Maleza.
Chunguza utaona utofauti

Duhh shoga
 
Back
Top Bottom