jmchimbadhahabu
JF-Expert Member
- Sep 26, 2014
- 218
- 106
Kumekua na malalamiko mengi sana kutoka kwa Wachimbaji Wadogo wa dhahabu kwa miaka mingi bila kutatuliwa. Tusipojifunza kwa Wafanyabiashara wa Kariakoo tutegemee maandamano mengine ya wachimbaji wadogo.
Baadhi ya Malalamiko yao ni
1. Kulipa kadi(mrahaba) zaidi ya mara 2, mchimbaji hukatwa asilimia 7 ya mzigo aliouzalisha kama mrahaba lakini pia anapoenda kuuza dhahabu ya mawe ambayo amekatwa 7% hupaswa tena kukatwa 7% ya mrahaba. Watu wamelalamika sana NO solution.
2.Mchimbaji hukatwa 30% ya uzalishaji wake bila kujali ametumia gharama kiasi gani ie. upate faida au hasara wao hawajali. Ieleweke uchimbaji pia ni biashara huwezi kukata 30% bila kujua mtu ametumia gharama kiasi gani.
3. Wenye leseni wamekua ni wanyonyaji wa wachimbaji.
Ujumbe uwafikie!!!