Uchaguzi 2020 Baada ya Vyombo vya Habari kuminywa kutoa habari za CHADEMA, wagombea Ubunge wabuni mbinu mpya ili kuwafikia wapiga kura

Kama katumia fedha za ruzuku kuprint hizo adverts hapo sawa, kama ni fedha zake za mfukoni, ameula wa chuya.
Hivi hujamsikia Katibu mkuu wa Ccm akisema MADEREVA bodaboda na wauza ndizi wameichangia Ccm?Tena kampeni ya Rais?
 
Sera tunaongea tu kama sehemu ya kusherehesha, ila kiukweli wapiga kura wengi hawapigi kura kwa kujali sera, bali sababu nyingine kama mazoea, rushwa, hamasa nk. Ni asilimia chache sana wanachagua kwa sera. Na sasa hivi chini ya Magufuli, kumeibuka aina nyingine ya kupata uwakilishi kwa kupita bila kupingwa.
Upo sahihi kabisa, hoja yako nimeinga mkono.
 
Kanuni zipo wazi....! Mnatakiwa kubalance story....!

Siyo mwanasiasa anatoa tuhuma nzito na mbaya kwa mwenzake...halafu nyinyi kwanza hamuombi ushahidi wa kuzipa nguvu tuhuma hizo pili hamuendi upande wa pili wa aliyetuhumiwa kupata majibu ya tuhuma hizo....!!! Badala yake mbio mnaenda mitamboni kurusha tuhuma hizo tena kwenye " prime time"!

Hivyo, lazima mshughulikiwe msipofuata maadili yaliyowekwa wazi na Tume ya uchaguzi pamoja na TCRA.
Akiwa ni wazir ni lazima wabalance story? Au meko?
 
Sheria zipo duniani kote siyo TZ tu. Hata USA huruhusiwi kutangaza matokeo kabla hayajathibitishwa na Tume ya Uchaguzi.
Kama Ni kutangaza waliopita bila kupingwa tbc, chanel 10 na vituo vingine vilitangaza kwa kuwanukuu wakurugenzi waliotangaza matokeo, bila kuyasahau magazeti. Clouds walitangaza mapingmizi ya Lisu hilo ndilo lilikua kosa lao wakawa wanatafutiwa sababu ya kuwanyongelea mbali
 
Nilikuwa nawaza sana hii mbinu mpya ni ipi,nikagundua kuwa ni kuweka sura mpya katika bango jipya.
 
Kwa sasa chini ya Magufuli imekuwa ni fashion kwa wanaccm. Kabla ya Magufuli kuwa rais, ukiacha Magufuli mwenyewe akiwa mbunge kuhujumu uchaguzi ili apite bila kupingwa, ni wagombea wachache sana walikuwa wanapita bila kupingwa. Chaguzi karibia zote chini ya awamu hii zimetawaliwa na wagombea kupita bila kupingwa, yaani tabia binafsi ya Magufuli kupita bila kupingwa, ndio imegeuka kuwa tabia ya wanaccm wote kwenye chaguzi zote za nchi hii.
Hiyo sheria anayosema tunajua ilikuwepo lakini haikutumika ovyo, makusudi, kwa hila na dhulma kama awamu hii. Je ni awamu hii tu ndiyo wagombea wa upinzani hawajui kusoma na kuandika kuanzia wenyeviti wa serkali za mitaa na vijiji mpka ubunge nchi nzima bara na visiwani?
 
Yaani wewe ndio unajua haya leo?
Nafikiri kuna Aja ya kuwapatia watu elimu ya uraia (civics). Asilimia kubwa Sana hawaelewi inatakiwa iweje, na the funny part ni kwamba wanasiasa wa pande zote hakuna anayethubutu kutoe elimu hiyo Kwa kutegea kuja kufaidika Kwa ignorance hiyo katika ventures zao. This time around naona sio wananchi tena ambao ni subject ya uchaguzi ujao, imekua issue ya wanasiasa tuu..wakizidiana kete ndio wanarudi Kwa wananchi kushtaki.

Sadly SASA hivi wananchi hawana Jambo la kuwasaidia wanaohisi wameonewa kwani tangia mwanzo wananchi hawakuandaliwa na kushirikishwa Kwa kina na SASA hawaoni haja ya kuingilia Mambo ya wanasiasa.

Wanasiasa inabidi wajifunze SASA Ku engage wananchi kuanzia mwanzo na si kusubiri MuDA wameoneana ndio wanakimbilia Kwa wananchi (response haitakuwa vigorous).But kama wananchi wakielimishwa na kuanza kuhusishwa kikamilifu na wakajisikia Wana OWN hii michakato hakuna MTU atataka kuchezea maslahi Yao especially Wakurugenzi wanaoishi nao mitaani kila siku.

SASA hivi mkurugenzi haoni ata shida kumchinjilia mbali mgombea aliyekuja kutoka Dar na sio part ya society na wananchi awaji associate naye na lolote limkutalo kwenye mchakato wananchi wanalichukulia kama tatizo binafsi la mgombea... sorry Kwa Insha ndefu.😂
 
Ile nyomi ya Yanga pale taifa wamefunika uzinduzi wa kampeni zakiem mbagala. Maji yako shingoni...
 
Ila sio fear kwa anachofanya rais wetu? Sasa hivi ukitaka kupigwa faini na TCRA we rusha vipindi vya wapinzani.
ANANICHUKIZA HAPA TU
Kama anakuchukiza tumia haki yako ya kikatiba kumwadhibu na sale site wanaotekeleza maelekezo take.
 
Usitake kuchanganya vyombo vya habari na hao wahuni wa TBC. Waliofukuzwa ni TBC kwa kutaka kuleta uccm wao kwenye kampeni ya wanaume.
TBC ndio chombo pekee chenye uhakika wa survival katika industry..hakitegemei kurusha matangazo ya biashara ili kilipe mishahara, na hutasikia kimefungiwa au kupigwa fine..hakipendwi na baadhi ya watu wenye ideology Fulani lakini ni Ngumu kuongelea media houses bila kuigusa BBC ya Tanzania na ndio maana huwezi sikia MTU yeyote akiwalalamikia Azam au ITV Kwa kutorusha News au Tukio lenye interest ya kitaifa..

BC Wana access na coverage kubwa na soon Bunge likianza si ajabu wao ndio wakapewa ruksa ya kurusha matangazo ya Bunge, SASA imagine kila akisimama mbunge wa Chadema (kama watakuwepo) TBC wananyofoa cable..
 
Ile nyomi ya Yanga pale taifa wamefunika uzinduzi wa kampeni zakiem mbagala. Maji yako shingoni...
Yanga na Simba Wana wanachama au wapenzi wengi Dar na nchi nzima kuliko CHADEMA..na sports in followers wengi kuliko politics.
 
Kupita bila kupingwa ipo tangu siasa za vyama vingi mkuu!! Kuna uwezekano ulikuwa bado kinda ndiyo maana hujui kuwa kupita bila kupingwa ilikuwapo!
Huyu mbona alikuwa mgombea pekee lakini hakuwahi kujipitisha bila kupingwa ?
Instagram media - CEdwVhKpnlF ( 640 X 640 ).jpg
 
Nafikiri kuna Aja ya kuwapatia watu elimu ya uraia (civics). Asilimia kubwa Sana hawaelewi inatakiwa iweje, na the funny part ni kwamba wanasiasa wa pande zote hakuna anayethubutu kutoe elimu hiyo Kwa kutegea kuja kufaidika Kwa ignorance hiyo katika ventures zao. This time around naona sio wananchi tena ambao ni subject ya uchaguzi ujao, imekua issue ya wanasiasa tuu..wakizidiana kete ndio wanarudi Kwa wananchi kushtaki.

Sadly SASA hivi wananchi hawana Jambo la kuwasaidia wanaohisi wameonewa kwani tangia mwanzo wananchi hawakuandaliwa na kushirikishwa Kwa kina na SASA hawaoni haja ya kuingilia Mambo ya wanasiasa.

Wanasiasa inabidi wajifunze SASA Ku engage wananchi kuanzia mwanzo na si kusubiri MuDA wameoneana ndio wanakimbilia Kwa wananchi (response haitakuwa vigorous).But kama wananchi wakielimishwa na kuanza kuhusishwa kikamilifu na wakajisikia Wana OWN hii michakato hakuna MTU atataka kuchezea maslahi Yao especially Wakurugenzi wanaoishi nao mitaani kila siku...SASA hivi mkurugenzi haoni ata shida kumchinjilia mbali mgombea aliyekuja kutoka Dar na sio part ya society na wananchi awaji associate naye na lolote limkutalo kwenye mchakato wananchi wanalichukulia kama tatizo binafsi la mgombea... sorry Kwa Insha ndefu.😂

Mkuu wala usinitake radhi kwani huwa sichoki kusoma mabandiko yenye pointi za msingi kama hili lako, hata liwe refu vipi. Mkuu haya mabadiliko yameanza ya kuzuia elimu ya uraia kipindi hiki Magufuli alichokuwa rais. Ni kama wananchi wameshurutishwa kuamini kuwa elimu ya uraia ni adui wa maendeleo. Taratibu kwa sasa tunaanza kwenda kwenye nchi ambayo viongozi wanafanya wanachoona ni sawa, na sio wanachoona wananchi ni sawa. Wananchi wamesadikishwa kuwa mtatuzi wa matatizo yao ni rais na wale anaowamini tu.

Kwa sasa ni ngumu kutoa elimu ya uraia bila kukutana na vyombo vyenye udhibiti kwa nia ya kudhibiti elimu gani inatolewa kwa wananchi. Ni kweli kwa sasa wananchi wanaweza wakakaa kimya, kwa huu uhuni unaofanywa na taasisi za kimamlaka dhidi ya kundi fulani wakidhani watakuwa salama, ila athari za kuwa na viongozi ambao hawako kwa ridhaa ya wananchi lazima itawarudia tu, tena sio muda mrefu kutoka sasa. Kutaanza kutoka amri za shuruti kwa wananchi, kwani hawana tena uwezo wa kuhoji, na hapo ndio kilio kitashika kasi. Unapoanza kuona kwenye kampeni burudani ndio kivutio cha mkutano na sio sera za mgombea, kuwa makini sana.
 
Ila sio fear kwa anachofanya rais wetu? Sasa hivi ukitaka kupigwa faini na TCRA we rusha vipindi vya wapinzani.
ANANICHUKIZA HAPA TU
Msimsingizie mh.Rais kwa kila Jambo mnalopitia..Mambo mengine yanawataka mfuate Sheria za nchi
 
Back
Top Bottom