Siku zote nimekua najiuliza kama kweli Kikwete alitaka kuongoza nchi hii tukufu ipate Katiba mpya. Kwasababu sikumuona yuko serious kama Amani Abeid Karume alivyo sahihisha kwa kiasi kikubwa makosa ya Baba yake ya kuiza Zanzibar kwa CCM!
Kilicho kuwa kinaendelea ktk Vikao vya Bunge Maalumu la Katiba ni aibu lakini ni kielelezo cha jamii yetu ambavyo ni hovyo kabisa na ndio maana majirani zetu wa EAC wameamua kutudharau!
Nawashukuru UKAWA wameondoka ili kupunguza hii aibu ambayo majirani zetu wakishuhudia matusi, mipasho na ujinga mwingi ambao hata ktk kikao cha kijiji huwezi shuhudia. Ni aibu kubwa kwa wote wanao lipenda taifa hili la Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Baada ya tukio la leo ni jukumu la Watawala walio shindwa kujipanga upya ili wasiendelee kufuja pesa za Wananchi wa Tanganyika ktk jambo la hovyo kabisa toka Mwasisi wa Taifa amefariki mwaka 1999!