baada ya tunda la siku moja, kajikata, karudi baada ya 2 months stori kibao anataka msamaha

Sal

JF-Expert Member
Jan 14, 2008
498
228
Jamaa baada ya kupewa uroda mara moja tu na mdada, akajikata, no phone calls, no emails, nothing...! mdada alikauka nae kumpima kama atawasiliana lakini wapi. miezi miwili imekatika jamaa kamtafuta mdada kwa simu, ilibidi dada amuulize mwenzangu nani maana namba alishafuta kwenye phone book yake, akajibu Ronny (sio jina halisi), dada kauliza, Ronny yupi maana nawajua wengi. Mkaka kwa aibu, Ronny wa Bank fulani (akitaja anakofanyia kazi). Mdada "oohh... za siku nyingi kaka.." jamaa sasa "aah.. bwana mimi sio kaka yako sema mpenzi. baada ya hapo jamaa akaanza mlolongo wa hadithi za abunwasi, yaliyomsibu hadi asiwasiliane for two months tena soon baada ya kupewa tunda. ukiangalia ni longo longo tu hakuna cha maana.
Swali linakuja hivi: inakuaje upewe tunda siku ya kwanza baada ya kuzungushwa kidogo of course, kama kawaida ya ladies, halafu baada ya kuonjeshwa upotee moja kwa moja, for two months, ghafla ukurupuke na kuomba misamaha kibao na maelezo yasio na kichwa wa miguu, halafu utegemee kupata tena tunda au urudishwe tena kwenye line? Mi gift na kadi kibao za kuomba misamaha.
To Gents: Unaweza kuhisi nini kimkimbiza huyu kaka then ghafla anaamua kurudi kwa nguvu zote na mi gift na card za kuomba misamaha kibao.
To Ladies: ingekua wewe umefanya nini.
Mwisho: not my story please msini attack, ni ya rafiki yangu. mimi nilimshauri mi gift achukue kwa vile hajamuomba ila aachane nae.
USHAURI PLEASE
 
anataka tena tunda
na safari hii akipewa harudi tenaaa
.............................
 
Inawekana alipopewa tunda alinogewa na kuamua kwenda kumaliza kabisa ile ya zamani ili aje mazima mazima kama alivyofanya huyo jamaa si unajua tena.
 
alikuwa njia panda, kusuka au kunyoa?
sasa ameamua kusuka, mwambie best yako ampokee kwa mikono miwili...
 
No, nimemwambie amkaushie kwanza mpaka wana JF watoe ushauri japo mpaka hapa naona inabidi atemwe fasta, na simu zake hakuna kupokea ila gift apokee kwa ajili ya kupunguza maumivu ya kukaushiwa two months.
Au mnasemaje?

Kwa hyo huyo rafiki yako anataka kutoa tunda tena sio?
 
Labda wakati alipopewa tunda kwa mara ya kwanza lilikuwa bichi hivyo hakulifurahia, sasa amerudi kwa mategemeo kuwa limewiva vizuri..
 
Hana lolote mchafuzi tu huyo Ronny,katoswa huko alikokuwa ndio anamuona huyo dada!
Yani mwambie huyo dada amfukuze huyo bazazi km kibaka aliyetaka kumuuibia walet!
Yani asimpe hata sekunde ya kumsikiliza ni tapeli tu huyo,yani hapo amekuja hit na akimbie tena!
 
Simba akikosa nyama hula hata majani. Nadhani kakosa nyama huko aliko...
 
tushaa wageuzaa mafungu ya nyanyaa...hiyo nyimbo inamfaa huyo dadaa,mkitupaaa tunasepaaa,tunarudiii tukiwaa na kiu tenaa
 
Mi naona ampe tuu kwani anaondoka nayo?

yap,inawezekana jamaa alikua anatest kama ajiweke moja kwa moja au?

ila mademu mna wakati mgumu sana


 
kwikwi ronny mbaya huyoo. . . Anataka tunda tu hana lolote mkimbize

Kama jamaa analipia hilo tunda kuna shida gani? Mana juzi tu hapa niliuliza inakuaje mdada anakuwa na mizinga hata kabla hajatoa tunda,nikajibiwa ni kawaida kwanza mi nihonge nae ndo anipe,c ni biashara hiyo nina uamuzi wa kuacha au kununua tena bidhaa,ni mtazamo tu
 
No, nimemwambie amkaushie kwanza mpaka wana JF watoe ushauri japo mpaka hapa naona inabidi atemwe fasta, na simu zake hakuna kupokea ila gift apokee kwa ajili ya kupunguza maumivu ya kukaushiwa two months.
Au mnasemaje?

kama kumtema,amteme yeye na kila kitokacho kwake,haina maana et mtu humtak halafu unakinga mikono upokee mizawad ya kupunguza maumivu ya miez miwil kukaushiwa..kwa hyo akiendelea kukaushiwa atapata maumivu zaidi...so what then.!! What i c z,kama hamtak achape soli bila kugeukia zawadi,unless aruhusu kupewa zawad na pale jamaa nae atakapotaka zawad bac ampe..girl.,b strong and know what you want in yo life.!
 
Back
Top Bottom