Baada ya TRA kuweka rekodi ya karne kwenye makusanyo, ZRA nayo yavunja rekodi kwa kukusanya mapato kwa asilimia 104

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,076
49,774
Mamlaka ya Mapato Zanzibar ZRA imevuka malengo ya nusu mwaka Kwa Kukusanya Asilimia 104% ya Mapato Kwa Kukusanya Bilioni 351 badala ya Bilioni 335.

View: https://www.instagram.com/p/C1miwszoXw5/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==
Hii inakuja baada ya TRA kuweka rekodi ya mwaka Kwa Kukusanya Mapato ya Trilioni 3 mwezi disemba 2023 na kuandika ukurasa Mpya.

View: https://www.instagram.com/p/C1kUoGEN4fE/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==

My Take
Nawapongeza Rais Samia & Rais Mwinyi Kwa kuonesha utofauti.

Hakuna bunduki Wala kupora pesa za watu lakini Mapato yamepatikana mara 2 ya wale wa kipindi kile.

Uongozi ni kipawa Sio Kila mtu anaweza.
 
Kama huoni ni wewe na Bora usione hivyo hivyo Ili chuki ikutafune vizuri
MImi ni tofauti na wewe ambaye umejipekecheka kutaka kutukana na kudhihaki yote mema aliyoyafanya jpm kwa kujifanya una mpamba samia tangu siku ya kwanza alishakataa sifa za aina hiyo!
 
Hizo hela zinasadia nini ikiwa wazanzibari hawawezi hata kujilipia deni la Umeme?
 
Back
Top Bottom