Baada ya tamko la TEC, tunasubiri tamko la BAKWATA

Kwa jinsi nchi hi inavyokwemda hivi sasa hutoshangaa kuona baraza kuu la waislmu kutoa tamko lao juu ya bandari

TEC wameamua kuwa wakweli na kuto kupepesa macho juu ya swla la bandari

Sasa nambiwa Kuna mpngo unafanywa Ili kusudi jamaa nao Jumatatu wajitokeze kuunga mkono serekali juu ya ubinafsishaji wa bandari.

Kinacho kwenda kutoa ni majanga nawasubiria na tamko lao.
 
Baada ya TEC kuukataa mkataba wa DPW hadharani bila kumumunya maneno, sasa tunasubiri tamko la BAKWATA nao tusikie watasema nini. Ni matumaini yangu kwamba BAKWATA watafuata nyanyo za TEC kwa kuukataa mkataba wa DPW bila kupepesa macho.

Aidha, inawezekana BAKWATA wakaukubali mkataba na endapo watafanya hivyo basi watakuwa na sababu za msingi. Au wanaweza kuukubali na kutoa maoni kuhusu kuboreshwa vipengele vyenye utata, hasa vile vinavyohusu muda wa mkataba na vinavyobagaza mamlaka ya nchi (sovereignty).

Kimsingi ni vigumu kubashiri nini BAKWATA watasema lakini kwa kuwa bado hawajatoa tamko hadharani, ngoja tusubiri tuone watakuja na tamko zito au jepesi kiasi gani. Waswahili wanasema 'usiusemee moyo' au 'usiandikie mate wakati wino upo'. Kwa maana hiyo, hebu tuvute subira kidogo tusubiri kusikia BAKWATA watakuja na tamko la aina gani. Wakati ukifika wataanika kila kitu hadharani. Subra yavuta kheri.
Hawa labda ungewaambia watoe tamko dhidi ya kitimoto, mambo ya bandari hawana uelewa nayo hata kidogo.
 
Hakuna watu wana roho ya udini Kama waislam... Hope hawawezi kupinga, Zitto, Assad wote hawa ni ishara ya kilichoko Bakwata. Lakini awamu hii tutadili nao watakavyokuja. Wapeleke hiyo Dw huko Zanzibar sisi huku tumeikataa katakata.
Hiyo ndio imeenda
 
Baada ya TEC kuukataa mkataba wa DPW hadharani bila kumumunya maneno, sasa tunasubiri tamko la BAKWATA nao tusikie watasema nini. Ni matumaini yangu kwamba BAKWATA watafuata nyanyo za TEC kwa kuukataa mkataba wa DPW bila kupepesa macho.

Aidha, inawezekana BAKWATA wakaukubali mkataba na endapo watafanya hivyo basi watakuwa na sababu za msingi. Au wanaweza kuukubali na kutoa maoni kuhusu kuboreshwa vipengele vyenye utata, hasa vile vinavyohusu muda wa mkataba na vinavyobagaza mamlaka ya nchi (sovereignty).

Kimsingi ni vigumu kubashiri nini BAKWATA watasema lakini kwa kuwa bado hawajatoa tamko hadharani, ngoja tusubiri tuone watakuja na tamko zito au jepesi kiasi gani. Waswahili wanasema 'usiusemee moyo' au 'usiandikie mate wakati wino upo'. Kwa maana hiyo, hebu tuvute subira kidogo tusubiri kusikia BAKWATA watakuja na tamko la aina gani. Wakati ukifika wataanika kila kitu hadharani. Subra yavuta kheri.
Tutasubiri sana!
 
Attachments

  • 468F9ADB-C7B2-4441-AB50-C15008FE16FB.png
    468F9ADB-C7B2-4441-AB50-C15008FE16FB.png
    84.3 KB · Views: 1
Baada ya TEC kuukataa mkataba wa DPW hadharani bila kumumunya maneno, sasa tunasubiri tamko la BAKWATA nao tusikie watasema nini. Ni matumaini yangu kwamba BAKWATA watafuata nyanyo za TEC kwa kuukataa mkataba wa DPW bila kupepesa macho.

Aidha, inawezekana BAKWATA wakaukubali mkataba na endapo watafanya hivyo basi watakuwa na sababu za msingi. Au wanaweza kuukubali na kutoa maoni kuhusu kuboreshwa vipengele vyenye utata, hasa vile vinavyohusu muda wa mkataba na vinavyobagaza mamlaka ya nchi (sovereignty).

Kimsingi ni vigumu kubashiri nini BAKWATA watasema lakini kwa kuwa bado hawajatoa tamko hadharani, ngoja tusubiri tuone watakuja na tamko zito au jepesi kiasi gani. Waswahili wanasema 'usiusemee moyo' au 'usiandikie mate wakati wino upo'. Kwa maana hiyo, hebu tuvute subira kidogo tusubiri kusikia BAKWATA watakuja na tamko la aina gani. Wakati ukifika wataanika kila kitu hadharani. Subra yavuta kheri.
 
Attachments

  • 4ad25074b58940be8c7988c3d0d12642.jpg
    4ad25074b58940be8c7988c3d0d12642.jpg
    97.6 KB · Views: 2
Baada ya TEC kuukataa mkataba wa DPW hadharani bila kumumunya maneno, sasa tunasubiri tamko la BAKWATA nao tusikie watasema nini. Ni matumaini yangu kwamba BAKWATA watafuata nyanyo za TEC kwa kuukataa mkataba wa DPW bila kupepesa macho.

Aidha, inawezekana BAKWATA wakaukubali mkataba na endapo watafanya hivyo basi watakuwa na sababu za msingi. Au wanaweza kuukubali na kutoa maoni kuhusu kuboreshwa vipengele vyenye utata, hasa vile vinavyohusu muda wa mkataba na vinavyobagaza mamlaka ya nchi (sovereignty).

Kimsingi ni vigumu kubashiri nini BAKWATA watasema lakini kwa kuwa bado hawajatoa tamko hadharani, ngoja tusubiri tuone watakuja na tamko zito au jepesi kiasi gani. Waswahili wanasema 'usiusemee moyo' au 'usiandikie mate wakati wino upo'. Kwa maana hiyo, hebu tuvute subira kidogo tusubiri kusikia BAKWATA watakuja na tamko la aina gani. Wakati ukifika wataanika kila kitu hadharani. Subra yavuta kheri.
Bakwata hii hii tunayoijua. Ambayo Ni tawi la CCM.!

Bakwata Ni taasisi mugilisi.
 
Sisi BAKWATA atubariki huo ujambazi na uonevu
Maana hata vitabu vya dini vinasema usikubali kuonewa ni dhambi. Na mwizi akiiba akatwe mkono sisi tupo hapa kwa amu twamsuburu huyo mwizi dp wedi tukate mkono
 
Kwenye tamko lao TEC wala hawatamka mambo ya dini hata mara moja sidhani kama Bakwata wakitoa tamko watahusisha mambo ya udini . Itakuwa vyema zaidi wakaukosoa au kuutetea mkataba kwa hoja ili taifa lisipotoke .

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
 
Ndio tunawasubiri waje tusikie watasemaje maana wenzao TEC tayari wameishatoa msimamo wao kwamba hawataki Samia auze nchi kwa waarabu. Nadhani sasa wanakamilisha kuandika waraka waulete mbele ya umma ili tuelewe msimamo wao kama unabariki uuzaji wa nchi au unapinga. Let us wait and see what gona happen.
 
Sisi BAKWATA atubariki huo ujambazi na uonevu
Maana hata vitabu vya dini vinasema usikubali kuonewa ni dhambi. Na mwizi akiiba akatwe mkono sisi tupo hapa kwa amu twamsuburu huyo mwizi dp wedi tukate mkono
Nadhani na wao tamko lao litaegemea zaidi kwenye uuzaji wa rasilimali za taifa ghairi ya udini. Tusubiri tuone itakavyokuwa mkuu.
 
TANZANIA NI KUBWA KULIKO TEC .

DP WORLD WATAENDESHA BANDARI HATA KAMA TEC WATACHUKIA.

TEC WATALIPA KODI/USHURU KWA MWARABU HAPO BANDARINI.

MIZIGO HARAMU YA TEC ITAKUWA NDO MWISHO KUPITA HAPO BANDARINI BILA USHURU NA KUTOKAGULIWA.

MUNGU IBARIKI DP wORLD
 
Udini umekujaa mkuu. Unaona udini ni muhimu kuliko rasimali za Taifa?
 
Hivi sasa mbivu na mbichi zimejulikana wazi kuwa TEC hawaungi mkono bandari kukabidhiwa mwarabu kiholela! Hapo awali wadau mbalimbali walikuwa wakihoji kulikoni TEC wako kimya juu ya mkataba, kumbe walikuwa wakifanya zao tafiti na hatimae wameleta majibu ya tafiti hiyo!

Hivyo basi ni vyema nao CCT pamoja na BAKWATA wakaweka nao wazi msimamo wao juu ya uwekezaji wa bandari!

Hawa CCT pamoja na BAKWATA bila shaka watakuwa nao wamefanya utafiti wao, hivyo kwa nia ya dhati kwa manufaa ya taifa letu waeleze nao msimamo wao!!
 
Hivi sasa mbivu na mbichi zimejulikana wazi kuwa TEC hawaungi mkono bandari kukabidhiwa mwarabu kiholela!
Hapo awali wadau mbalimbali walikuwa wakihoji kulikoni TEC wako kimya juu ya mkataba, kumbe walikuwa wakifanya zao tafiti na hatimae wameleta majibu ya tafiti hiyo!
Hivyo basi ni vyema nao CCT pamoja na BAKWATA wakaweka nao wazi msimamo wao juu ya uwekezaji wa bandari!
Hawa CCT pamoja na BAKWATA bila shaka watakuwa nao wamefanya utafiti wao, hivyo kwa nia ya dhati kwa manufaa ya taifa letu waeleze nao msimamo wao!!
Sawa
 
Back
Top Bottom