Baada ya Safina ya Nuhu kutua Mlima Ararat, wanyama walifikaje kwenye mabara mengine?

Mwenyezi Mungu akitaka jambo liwe huliambia jambo hilo kua na linakua. "kun..faya kin"
 
Hii chai.

Hivi unajuwa umbali wa kutoka Tanzania hadi Finland?

Hao ndege hawachoki?
Wamewezaje kuvuka bahari kuu?
Wamejuwaje kama hawa ndege wanatoka uyole Tanzania?

Nilitaka kukujibu vibaya ila ngoja niwe na hekima.ipo hivi wazungu ni watu wanaopenda kufanya utafiti ndugu yangu na wanajitolea kukaa porini kufanya vitu ambavyo waafrika hawana muda navyo.sasa kwa case hii huwakamata baadhi ya ndege hao na kuwafungua vibangili flani mguuni na kuviweka alama na nafkiri wanaweka vitu vidogo vya vya kufatilia kimasafa marefu(let say ka GPS device) katika miili ya hao ndege kisha baada ya masiku kadhaa au wiki kadhaa au miezi kadhaa huja hapa uyole na kuwakuta hao ndege waliowaacha finland na hata kinyume chake wakienda finland wanawakuta ndege hao waliowaacha uyole. Kuhusu umbali wa tz na finland kweli ni mkubwa mno na usije ukadhani wanasafiri kwa mda mfupi la hasha wanasafiri kwa vituo , wanapumzika,wanalala wanakula na kufanya mishe zao katika hyo safari ya kuhama hama na wanaofika sio wote wengine hufa njiani kwa dhoruba kali ya hali ya hewa mbaya, kuliwa na wanyama mwituni na mengine mengi.lakin mwisho wa siku wanafika safar yao.majira ya barid kali kule finland wanalazimika kurudi tz.jifunze pia kuangalia dstv vipindi vinavyohusu wanyama utajua mambo mengi sana ya ulimwengu huu
 
Wakati GHARIKA inatokea, hakukua na Mabara, kumbuka theory of continental drifting, wakati wa GHARIKA kulikua na Bara moja tu kubwa Super Continent, linaitwa PANGAEA, na proof ya hili angalia Madagasca, utaona imemeguka kutoka Pwani ya Msumbiji, na angalia South America, imemeguka kutoka Africa etc!
ya Iman huwa yana thibitishwa kimaandiko. Leta ushahidi wa kimaandiko kuwa wakati wa garika bara likuwa moja
 
Nitajie failure zake hata tatu nitaamini
1: kuumbwa kwa shetani
2: kutaka utii kutoka Kwa kiumbe kisichojua jema na ovu pale bustanini.
3: .... Ngoja nitafakari kingne

Ila Bado haimuondolei sifa ya umungu maana hakuna anaejua Kwann ayo yote yalitokea kwenye hali ya kama yameplaniwa
 
Ukisoma Biblia kama novo itakusumbua sana. Sali kwanza uombe roho mtakatifu akuongoze katika kuielewa na kuitafakari.
La sivyo utahoji kila kitu.
Kwa mfano genesis 1.27 inasema Mungu aliumba mwanamme na mwanamke. Sasa jiulize huyu aliyetoka ubavuni siku za baadae baada ya Mungu kumwona mwanamme ni mpweke (genesis 2.18) alikua wa ngapi maana kwenye 1.27 alishaumba wawili!
 
Aliyechukua hizi taarifa yeye alikuwa wapi?
Let's say kwa sasa Director na Camera man wa hii movie ya Safina.
 
Tatizo ni ukoloni

Elimu& dini ndvyo vmewaharibu akili.

Tumia akil yako kufikiri, je huko wanakosema mlima hararati safina ilituwa kuna aina gan ya wanyama mpka leo? Hararati ni huko ulaya(uturuki) je kuna ushahidi wowote wa masalia ya wanyama? Je kuna wanyama waliobak hai?, mtasingizia wanyama walifanya migration, je kwann waondoke wote wasibaki huko hata kidogo?

Na kama ni ishu ya migration, why wanyama wa afrika hawa hami kuondoka afrika?

Jibu ni moja tu, gharika ilifanyika miaka ya zaman sana, na ilifanyika dunia ikiwa tambalale tupu haina milima wala haijagawika ktk mabara.

Short story, ktk jamii za kiafrika ya kale ya watu weusi ilikuwa mwiko kuchangamana na watu wa jamii nyeupe, kwa kuhofia maadili& mchanganyo wa rangi kwa maana rangi nyeupe ilikuwa ishara ya uhasi na ushetani kwakuwa uzao wao haukuwa wa uhalisia, bali ulkuwa kutokana na muingiliano wa mtu mweusi na viumbe wa juu(fallen angeles) ama allien.

Na ktk muingiliano huo wa uzao wa alien na jamii za watu weusi, likaibuka zao la machotara wakubwa na wababe ambao ndio walikuja kuwa chanzo cha maovu dunian, hizo dini zenu haziwezi kuwaambia sababu kuu ya gharika maana wao pia watadharirika maana nao hawakustahili kupona(watu weupe).

Unatakiwa kujua allien hawa hawakuishia kuzaa na watu tu, bal mpka kwa wanyama na ndipo liliibuka kundi la viumbe wakubwa wa zaman wakina dainaso na wengine, hawa viumbe waliharibu sana dunia na kutishia maisha ya viumbe halali wa hii dunia, maana viumbe hao walikuwa wakiuwa viumbe halali, na pia kwa haya majitu yaliyozaliwa kwa muunganiko wa mtu mweusi na hao allien hayakuwa na muonekano sawa na mtu mweusi bali yalikuwa na muonekano hafifu(chotara) baada ya kukosa melanin na hatimae kupata ngozi nyeupe isiyostahimili mazingira ya dunia.

Machotara hawa walizaana wao kwa wao pia na kuunda jamii zao na ngome zao, bila kusahau wao ndio walileta idol worshiping, religious worshiping, na tabia mbovu mfano ushoga na elimu za vita

Sasa baada ya ufedhuri wa hao majitu(white races) kuzidi na kuanza kueneza uhasi wao ktk jamii ya watu weusi, ndipo watu weusi walipomlilia yule aliyewaumba na ndipo akaleta gharika.

Munatakiwa kujua lengo la gharika halikuwa kuutokomeza ushoga pekee bali kukifutilia mbali kizazi haramu cha mashetan na nusu watu(binadamu weupe) , ambapo wapo hata watu weusi walikuwa included kwenye adhabu sababu ya kuungana na hao wahasi kuusambaza uhasi wao.

Na ktk gharika ya huyo mnayemuita nuhu, japo haitwi nuhu maana hakuwa mzungu bali mbantu pure, hivyo aliitwa kwa jina la kibantu, ktk safina yake walioingia watu halali weusi ni 8, na baadhi ya watu weupe ambapo walikiri makosa yao na kuthamehewa, hapa dini zenu zlificha haya sababu wengi mngehoji undani wa asili zenu, na hapa ndipo mtiani unaanzia.

Note baada ya gharika machotara waliokufa kutoka ktk jamii za wanyama& watu kwakuwa walizaliwa na asili ya viumbe wenye nguvu za kiroho yaan malaika wahasi hivyo hata baada ya kufa kimwili roho zao zilibaki dunian zikitanga tanga, na hizo roho ndizo hizi leo tunazigawanya na kuzifafanua ktk makundi ya
mapepo
,majini
mizimu
vibwengo
Hawa woote ni demons ama mapepo ambao miili yao iliangamizwa kwa gharika na hatimae hawana miili, na tabia ya roho huwa haifi na haiwezi kufa mpka kihama, pia lakujua ni hiv kuna tofaut ya hawa mapepo na mashetani, mashetani ni malaika waliofukuzwa ktk Ulimwengu wa Falme ya Muumba mnakokuita mbingu, na hao mapepo ni uzao wa mashetani baina ya watu, wanyama wa nchi kavu na wanyama wa majini, ndiomaana kuna mapepo wenye mionekano ya watu, hawa uzao wao ni kutoka kwa mtu mweusi na malaika muhasi, pia yale mapepo yenye mionekano ya wanyama na irregular shape wanatokana na uzao wa wanyama na hao mashetan ama malaika wahasi.

Mnatakiwa kujua mtu na binadamu ni viumbe wawil tofauti, mtu ni yule aliye Original kutoka uzao wa adamu, na mwanadamu ni yule asiye mweusi ambaye kazaliwa baada ya muungano wa viumbe tofaut, yaan mtu+allien(malaika wahasi).

Sas ktk safina hiyo watu weusi walkuwa 8 tu, na wanadamu weupe waliingia ambao ndio waliokuja kuendeleza uzao wao mweupe dunian.

Gharika iyo ilikuja kukwama Afrika mashariki ambako ndiko masalia yoote ya wanyama wa kila aina yanapatikana pia wanyama woote ndipo eneo lao wanaloishi na ndipo ilipokuwa ile Edeni ya mwanzo.

Huo mlima hararati haupo na haujawai kuwepo msisikile mafundisho ya uongo kutoka kwa watu walioiba historia zenu na kuzibadiri.

Ardhi ilikuja kugawika na kuunda mabara baada ya uhasi wa watu weusi kutengeneza PYRAMID(mnara wa babeli) utakao wasaidia kuhama ulimwengu wa mwili na kuingia ktk makazi ya Roho ambapo walizan wangemkuta Muumba, badala yake kilichotokea ndicho hicho tetemeko kubwa lililokuja kuigawa dunia na kutokea matabaka mbalmbali ya jamii za watu na wanadamu, lkn haiondoi ukweli kwamba Afrika(Edeni) ilibaki ktk Ubarikio mzuri wa resources na kila aina ya utajiri.

Baada ya watu weupe kuanza kurudi afrika ndipo wakaona Africa imestaharabika na imejawa utajiri wa kila aina ndpo walipokuja na Kanuni za kumuharbu mtu mweusi kupitia Elimu+Din= utegemezi& umasikini na hayo mujuwe kuwa mkolon hakuanza kuivamia afrika miaka ya juzi kama history znavyodanganya, bali afrika imekuwa ikivamiwa kwa maelfu ya miaka zaid ya 4000bc na ndipo Africa ilianza kuwa dhaifu hatimae miaka ya juzi tu hapo karne ya 14 ndipo ukoloni ukatimia na watu weusi(wayahudi wa kwel) wakawekwa utumwani for more thn 400 yrs, yaan 1400(14century) ukolon ulpoanza mpka miaka ya 1884(18century) ukoloni ulipokwisha ktk mkutano wa berlin, na ukaibuka utumwa wa akili ambao ndio huu sasa unawaona watu weusi watakipinga hata hichi nilichokiandika bila sababu ama kwakutetea dini ama elimu zao za uongo ambazo mkolon aliwapa ili kuwauwa kiroho msimjue Muumba wenu.

1648910570995.jpg
 
Ukisoma Biblia kama novo itakusumbua sana. Sali kwanza uombe roho mtakatifu akuongoze katika kuielewa na kuitafakari.
La sivyo utahoji kila kitu.
Kwa mfano genesis 1.27 inasema Mungu aliumba mwanamme na mwanamke. Sasa jiulize huyu aliyetoka ubavuni siku za baadae baada ya Mungu kumwona mwanamme ni mpweke (genesis 2.18) alikua wa ngapi maana kwenye 1.27 alishaumba wawili!
Huu ndio upumbav waliowapa wachungaj wenu, hiyo biblia ingekuwa inasomwa kwa msaada wa roho basi nayo ingekuwa ktk ulimwengu wa kiroho ili isomwe kiroho, kwkuwa ipo in physical world bas inapaswa kusomwa kwa akili timamu ulizopewa bure kufikiri, acheni ujinga enyi wafuasi wa dini, ndiomaana mnadanganywa mengi sana na mkiuliza mnaambiwa mambo ya roho hayachungukizi, that's nonsense made bya whiye people kuwapa uoga wa kuhoji na kufikiri ili musione madudu na uongo ktk hivyo vitabu vyenu vyene nadharia za kutungwa
 
Mwanazuoni...

Qur'an ina miaka takribani 1,200 - 1,300
Bible ina miaka takribani 3,000 - 3,500

Kwa mujibu wa kitabu kikongwe Bible ni kuwa Dunia ina Umri wa kati ya Miaka 6,000 hadi 7,000 kwa kuzingatia andiko la hapo mwanzo Mungu ana fanya uumbaji wa binadamu na viumbe vyote...

lakini hapo hapo...
Binadamu wa kwanza umri wake ni zaidi ya miaka 2 milioni iliyopita aliishi pale eden (Ngorongoro Crator ambayo wamasai na ndunia ina pambania isitoweke)

na ndio kunaitwa chimbuko la mwanadamu, the cradle of humankind... na nyayo zina patikana hapo...

ukienda pale ethiopia kuna kuna binadamu aliishi miaka zaidi ya 1 milioni iliyopita

ukienda pale uingereza kuna historia ya mtu mweusi ndiye wa kwanza kufika na kuishi, waingereza wenyewe wana fahamu, nenda mexico pia wana historia hiyo kama ya uingereza...

mtu wa kwanza kufika pale marekani (USA) alitokea morocco hakuwa mwarabu alikuwa mweusi...

twende misri na nchi za kaskazini mwa afrika historia ipo wazi kuwa ilikaliwa na watu weusi hapo awali kabla ya kuondolewa na historia yao kufutwa... hawa watu walipatikana mpaka israel (Watu weusi, sio hawa waisrael wa sasa waisrael wa mchongo)

twende zaidi...
vitabu vya dini vina eleza umri wa ulimwengu ni kati ya miaka 6,000 hadi 7,000 kwa kuzingatia maandiko hasa Genesis...

lakini mjusi wa pale lindi aliye gunduliwa na wajerumani na wana zidi kugundua kila kukicha mabaki yake...

mabaki ya awali ambayo waligundua na kusafirisha mnamo mwaka 1906 kama sijakosea, wana sema kiumbe huyu aliishi takribani miaka milioni 200 na zaidi, waka msafirisha mjusi yule na kumpeleka kwao ujerumani, yupo katika jumba la makumbusho pale Berlin...

sasa dunia ina kuwaje na miaka 6,000? 7,000?

kwa kuzingatia tafiti zilizo fanyika ambazo zina maajabu mengi ya wamisri na ndio ina semekana ndio chimbuko la mengi hadi hivi vitabu vitakatifu na sio israel kwa mujibu wa watafiti... na hila hizi zilifanywa na watawala wa ulaya hasa ugiliki ambayo ipo jilani na misri, waliiba na kuchoma taarifa nyingi pale misri.

pia kikundi kimoja cha watawa cha ufaransa ndio ina semekana ndio waanzilishi wa secret society (freemason) baada ya kuiba nyaraka za ujenzi wa yale mapiramids ambayo yalijengwa na mtu mweusi

walishangazwa ujuzi walio tumia kupandisha jiwe lenye matani mengi kukaa juu ya mnala bila kuleta shida miaka na miaka, leo waka pindisha story na kusema baba wa imani sjui nani kama sikosei ndio kizazi chake kilijenga hayo mapiramids, wakati umri wa mapiramids ni mkubwa kuliko umri wa baba wa imani...

na jiulize ina kuwaje mmarekani ktk noti yake ameweka mapiramids, na ina semekna yale mapiramids yana siri nzito sanaa...

Nimalizie kidogo, una jua kisa cha mfalme wa ugiriki kwenda kufanya maafa? na kuchoma kila kitu? ni baada ya watu wake kumwambia wale watu wana nguvu kubwa na wana mahusiano na watu walio acha miili (Mizimu).

leo tuna ambiwa wakina Pythagoras ndio wagunduzi wa hesabu sijui milinganyo nk, lakini zilitumika kabla yao na ndio zilijenga hayo mapiramids ya misri...

Tutaendelea... wakati ujao...
FUSO MamaSamia2025 Doyi britanicca KISIWAGA Brightfame Mtoto wa Jadu Ezekiel Mbaga Root Kalunya Introvert_007 Sandali Ali Ntopo Kilebente Azathioprine Lubengera Donatila cocastic yoga Asprin Maxence Melo Njemba Soro. Nuzulati Mkendo Tajiri Kichwa Zero IQ adriz Mwalimu wa tuisheni Ziroseventytwo rubii feitty baby zu Otterhound Triple G Encryption Tomaa Mireni DeepPond Toyota escudo@Lavan Island FRANCIS DA DON The Infinity Mamndenyi Msudu mwandende Kelvin X The imp Nautico@Kapeace johnthebaptist Pascal Mayalla
Atleast ww muelewa, inapendeza kuona hiv waafrika wanaamka, inatia hasira kuona mtu mzima anaamini eti dunia ina miaka7000/6000 sabab et kitabu chake cha uongo cha dini kimemuaminisha hivyo.

Kuna mengi ya kujifunza mtu mweusi anatakiwa kuyajua, bahat mbaya tunaisha nyakati ambazo shetan anatawala by90% ndiomaana uongo unatawala na ukweli umefichwa na wanaojaribu kuufichuwa huonekana kama wahasi na waongo ama wachonganishi, kiukweli tuendako haya mafundisho ndyo yatakayotawala kila sehem mpka mtu mweusi aamke na kuijua historia yake ya kweli nje ya mafundisho ya wazungu&waarabu
 
Mkuu, sijui wale jamaa walitengeneza vipi yale makumbusho kwenye ile njia inayosemekana Yesu alipita.
Anzia Misri-Jordani- Israel!. aisee walijipanga kweli kwelikweli.

Ukienda pale hakika utaamani uwepo wa haya tunayonyasoma katika Bibli na vitabu mbali mbali vya imani.

Swala la miaka katika vitabu na machapisho mbalimbali bado haiko sawa! mfano, unaambiwa asili ya mwanadamu ni Nyani ambaye alikuwa anabadilika kadri muda unavyooenda, at the same time Biblia inasema Mwanadamu wa kwanza alikuwa Adamu pale Eden.

Binafsi, naamini sana muda uliyopo kwenye vitabu vya dini kuliko mambo ya carbon 14 tulizokaririshwa, haiwezekani Vufu la mwanadamu wa kwanzs liko Olduvai, na wakati tunafaham mwanadam wa kwanzs alikuwa Adam.

Haya mambo ukisema uyafuatilie kiundani kwa na kwa logic, huta kaa ukubaliane na hawa watafiti pamoja na maandiko ya vitabu dini (Bible+Quruan)
Hayo makumbusho ya huyo yesu wao(shetani) na baadhi ya shahid za uongo huko jerusalem feki ya middle east hayo mambo yalifadhiliwa na wazungu nayalikuwa planned kwa muda mrefu, kuanzia kutafuta best location ya kuundia taifa feki la israel, pia shahidi na mabaki feki ya mitume na manabii wa biblia, bila kusahau ramani na historia ya dunia kuforce iamni wanachokiamn wao, ndiomaana raman ORIGINAL ya dunia hii huwezi kupata na hutowai ipata maana wanajua sili hii, ikiwekwa ile raman in PUBLIC , hakika hakuna atakae kwenda shule tena, hakuna atakaefuata dini tena, hakuna atakae amini zile fake documentaries za NASA na wahuni wengine, maana kila kitu kitakuwa wazi kuanzia Muonekano Origanal wa dunia, muonekano wa Afrika kuwa kubwa kulko bara lolote lile, pia mfumo wa jua&mwez na nyota, bila kusahau kuhusu mzunguko wa jua, haya yote nadhani tulipigwa sana
 
Ndiyo maana mimi nawaambia watu hata yesu sio mzungu wanaye muweka picha zake kanisani.yesu alikuwa myahudi mweusi huyu wanayemuweka kwenye picha kwa muonekano wa kizungu ni kujaribu kuiba historia ya mtu mweusi na kuwaaminisha watu kila kitu kizur kinatoka kwa wazungu Ushindi victory .ewe mwajuma ndala ndefu wa tandale acha kujichubua na kujifananisha na wazungu ipende ngozi yako,
 
Mkuu, sijui wale jamaa walitengeneza vipi yale makumbusho kwenye ile njia inayosemekana Yesu alipita.
Anzia Misri-Jordani- Israel!. aisee walijipanga kweli kwelikweli.

Ukienda pale hakika utaamani uwepo wa haya tunayonyasoma katika Bibli na vitabu mbali mbali vya imani.

Swala la miaka katika vitabu na machapisho mbalimbali bado haiko sawa! mfano, unaambiwa asili ya mwanadamu ni Nyani ambaye alikuwa anabadilika kadri muda unavyooenda, at the same time Biblia inasema Mwanadamu wa kwanza alikuwa Adamu pale Eden.

Binafsi, naamini sana muda uliyopo kwenye vitabu vya dini kuliko mambo ya carbon 14 tulizokaririshwa, haiwezekani Vufu la mwanadamu wa kwanzs liko Olduvai, na wakati tunafaham mwanadam wa kwanzs alikuwa Adam.

Haya mambo ukisema uyafuatilie kiundani kwa na kwa logic, huta kaa ukubaliane na hawa watafiti pamoja na maandiko ya vitabu dini (Bible+Quruan)
Binadamu wa kwanza haimaanishi ni mtu wa kwanza Bali jamii ya watu wa kwanza kwamba kwa mifupa yote iliyogundulika wake ndio wa zamani zaidi kwa kutumia radiometric dating zipo jamii kama Neaderthals, Australopithecus etc so sio necessarily MTU kama MTU wa kwanza.

Kingine Adam hakuwa binadamu wa kwanza, ni story ndefu kidogo ila ukisoma Ezekiel vizuri imechambua vizuri hili suala la uwepo wa watu na viumbe kama Leviathans kabla ya Adam au wanyama wengine kuumbwa!!

Ukitaka kuamini Hilo soma Yuda 13 soma utaona Henoko ni mtu wa nane tokea Adam ilihali hapo katikati walipita watu maelfu kabla hajazaliwa ndio utaelewa definition ya "watu" kwenye Biblia ni nini.

Pia soma Mwanzo 6 yote Ile utaelewa binadamu na wasio binadamu ni wakina nani ingawa wote walioishi duniani kipindi kile.

Ukisoma zaidi utakutana na wanefili ambao kabla ya gharika na baada ya gharika wapo ilihali tuliambiwa Nuhu na familia yake pekee walisalia.

Soma Tena Yuda mstari wa 3 nadhani kuhusu watchers waliopewa jukumu la ku guide binadamu wakaishia kutembea nao na wamefungwa huko River Tigris kusubiri hukumu.

Bible Ina mysteries nyingi na hili la Adam ni moja wapo. Lakini jambo moja Nina uhakika nalo hakuwa binadamu/Primate wa kwanza Bali MTU wa kwanza.
 
Kama walivyofika wanadamu KILA pembe ya Dunia ndivyo walivyofika wanyama pia.
Achana na story za mtu wa kwanza alipatikana Olduvai.Hizi ni za kutunga.
Mtu wa kwanza alitokea middle east
Duuh..
Yaani mweusi angalau umepewa mtaji na mzungu mwenyewe kuwa wa kwanza ..lakini bado unajikana mwenyewe...
Kweli mweusi ngozi ya....
 
Tafadhali kama una maelezo yasiyotia shaka tuelezee kuhusu wanyama kufika kwenye mabara mengine baada ya gharika kufikia mwisho wake. Kangaroo alifikaje Australia? Simba wa Serengeti alifikaje pale?

Wale dubu wa America Kaskazini walifikaje?

Ikumbukwe wanyama wote waliingizwa kwenye Safina kabla ya gharika hivyo wanyama wote waliokuwa nje ya safina walikufa.
1. Kibiblia wapo wanaoamini dunia iligawanyika alipozaliwa Peleg Mwanzo 10. Yaani enzi anazaliwa kulitokea tetemeko kubwa lililogawa mabara n.k so pengine wanyama walipokuwepo walibakia huko huko.

2. Wengine wanaamini baada ya gharika kulitokea Ice Age ambapo mabara yaligusana kutokana na bahari kuganda maeneo kadhaa hivyo kuwezesha nagivation no wonder kuna wanyama wapo Australia na pia Brazil n.k

3. Wengine wanaamini kama ambavyo Mungu aliwaleta kwenye Safina basi hakushindwa kuwarudisha hata ikiwezekana kwa teleportation!!!! Kama tu alivyofanya kwa Nabii Elia au Henoko.
 
Tafadhali kama una maelezo yasiyotia shaka tuelezee kuhusu wanyama kufika kwenye mabara mengine baada ya gharika kufikia mwisho wake. Kangaroo alifikaje Australia? Simba wa Serengeti alifikaje pale?

Wale dubu wa America Kaskazini walifikaje?

Ikumbukwe wanyama wote waliingizwa kwenye Safina kabla ya gharika hivyo wanyama wote waliokuwa nje ya safina walikufa.
Jiulize walikusanywaje? Je ilichukua muda gani kupatikana kwa jozi ya wanyama wawili kuingia safinani?

Mungu ni mkuu
 
Kama walivyofika wanadamu KILA pembe ya Dunia ndivyo walivyofika wanyama pia.
Achana na story za mtu wa kwanza alipatikana Olduvai.Hizi ni za kutunga.
Mtu wa kwanza alitokea middle east
Mtu wa kwanza Olduvai. Ndiye Adam
 
Hapo huwa kuna swali la kujiuliza, Je mafuriko yalikuwa dunia nzima!?

Kwamba kwa kipindi kile dunia iligeuka na kuwa mpira wa maji!?

Wale waliokuwa wanaishi Tandahimba, nao walistahili adhabu ile? Yaani walimkosea Mungu kama ambavyo watu wa Nuhu walivyofanya!

Nadhani mafuriko yale yalikuwa ni adhabu kwa watu wa mji wa Nuhu.
Acha fix
 
Back
Top Bottom