Baada ya ripoti ya TANAPA kutaja majina ya wabunge 4 CCM kujangili meno ya tembo, Namshauri JK...

Status
Not open for further replies.
licha ya wabunge wa ccm jana kuturushia mate wakati wakiongea kama kwamba wanauchungu sana na taifa lao kuna mambo yamejificha nyuma ya pazia nayo ni wabunge wa ccm walioshiriki kwenye ujangili wa meno ya tembo, ambao hawakutajwa kulinda hadhi ya chama..hapa sitamtaja kinana maana siyo mbunge..

1. Vita kawawa
2. Mtutura A. Mtutura

Duh! Huyu Vita mbona anaanza mapema sana? Sasa akifika Umri wa Kinana atakuwaje?
 
Tutajie na mbunge jambazi la magari.

Unajua mkuu Ritz kitu kinachowa-cost nyie pro-ccm ni vile mnavyojibu upuuzi hata sehemu isipotakiwa. Hapa mnajichoresha na kuonesha jinsi gani mlivyo arrogant.

Nyie mlitakiwa thread kama hii mtoe majibu yenye mantiki lakini wapi mnatoa majibu kama mpo kijiweni, mtu akiingia hapa mara ya kwanza anawaona jinsi mlivyo shallow na irrational.

Badilikeni
 
Hukusikia katika taarifa ile kuwa katika ile Kampeni ya Tokomeza...amri ilitolewa kuwa wanasiasa wasiguswe kabisa?
 
Wanatuletea operesheni tokomeza na kuua baba zetu vijijini ilhali wakina Kinana, Vita Kawawa na wengineo majangiri wakila AC tu maofisini!

Wameua baba zetu huku majangili ya kweli ndio yawaagizao polisi na jeshi kwenda kuua, dhambi iloyoje!! Kuiba uibe wewe na kisha utume watu waje kuniua mimi muibiwa!

Mlaaniwe Ccm na serikali yenu, anatakiwa kujiuzulu mpaka Kikwete, kama umetuma watu wakaua bila ya wewe kuwa na hakika kama ni wahusika moja kwa moja na wewe unhusika na mauaji.
Kistaarabu ilitakiwa serikali nzima ijiuzulu. Mlaaniwe Ccm.

...well said!! Hii kitu lazima ipige u-turn!!!!
 
Ritz
Tunajua wewe ni mkereketwa wa CCM na wewe ni mmoja wa watu wanaofaidika na ufisadi unaoitafuna Tanzania lakini wakati mwingine ni vizuri kuelewa kinachoongelewa na ujibu hoja iliyotajwa. Hapa ulitakiwa kusema hama kweli hawa waliotajwa wanahusika au hawahusiki. Si kila jambo linalosemwa kuhusu mwana CCM wewe unakuja na hoja ya kutetea hata kama yanayosemwa ni kweli. Ni vizuri kutumia akili kidogo wakati mwingine. Hapa tunaongelea majangili wanao maliza tembo wetu. Kama unataka kutaja majambazi wa magari anza topic yako mpya.
Hakuna hoja hapo mkuu ni hisia tu, ebu weka ushahidi kama hao ndiyo majangili wachukuliwe hatua za kisheria.
 
Inashangaza sana, kuna wapuuzi ambao hawajui kuwa taifa linaangamia kwa upuuzi wao,

Yani badala ya kujadili jambo hili linalozidi kusababisha vifo na ukiwa katika taifa, eti wao wanatetea majangili kwa kuendekeza siasa za chadema na ccm,

Mtu kama Lukosi anaejipambanua kama ni muelimika anaeishi nchi iliyopevuka lakini anaungana na matahira akina Ritz kwa kuweka u ccm na u chadema ktika suala hili,

Mungu angamiza hiki kizazi kwa manufaa ya Tanzania ijayo.
Kuna tahira kama wewe humu JF mtu unamkana baba yako na mama yako unawaona taka taka unakwenda kudanganya watu kuwa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ni baba yako mzazi na mama yako Mama Maria Nyerere, ushahidi ninao wa maandiko yako kauzu wewe tahira mkubwa.

Hivi kutaja majina ndiyo nini bweege wewe.
 
Unajua mkuu Ritz kitu kinachowa-cost nyie pro-ccm ni vile mnavyojibu upuuzi hata sehemu isipotakiwa. Hapa mnajichoresha na kuonesha jinsi gani mlivyo arrogant.

Nyie mlitakiwa thread kama hii mtoe majibu yenye mantiki lakini wapi mnatoa majibu kama mpo kijiweni, mtu akiingia hapa mara ya kwanza anawaona jinsi mlivyo shallow na irrational.

Badilikeni

Lengo lao ni kututoa kwenye mada.Just ignore them
 
Unajua mkuu Ritz kitu kinachowa-cost nyie pro-ccm ni vile mnavyojibu upuuzi hata sehemu isipotakiwa. Hapa mnajichoresha na kuonesha jinsi gani mlivyo arrogant.

Nyie mlitakiwa thread kama hii mtoe majibu yenye mantiki lakini wapi mnatoa majibu kama mpo kijiweni, mtu akiingia hapa mara ya kwanza anawaona jinsi mlivyo shallow na irrational.

Badilikeni
Mkuu tutoe majibu gani hivi hapa kuna hoja ya kujadili weka ushahidi wa ujangili wao tuone mimi siyo msukule uniandikie kitu bila kuhoji.
 
na mwigulu machemba ndo muhusika mkubwa yule gaidi wa chama chakavu ccm
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom