Baada ya kwisha kula chakula usifanye vitu vya aina 7

Hiyo #2 inakuaje, Wengine tunakula matunda na chakula at the same time?!
Mkuu +255
Usile matunda mara moja - Mara baada ya kwisha kula matunda baada ya chakula itaweza kusababisha tumbo kuvimba kuwa na hewa. Kwa hiyo inapendeza kula matunda baada ya saa1-2 kula chakula au kabla ya saa 1 kula chakula.
 
Last edited by a moderator:
Mimi hapa ndio nachanganywa zaidi.
Mkuu Katavi Usile matunda mara moja - Mara baada ya kwisha kula matunda baada ya chakula itaweza kusababisha tumbo kuvimba kuwa na hewa. Kwa hiyo inapendeza kula matunda baada ya saa1-2 kula chakula au kabla ya saa 1 kula chakula.
 
Last edited by a moderator:
Hilo la tunda ni tatizo maana wengi huwa tunakula tunda tena na chakula kabisa mtu anatafunia ndizi au parachichi na chakula. Da inashauriwa 30 minutes after or before meal ule tunda hata kunywa maji. But utakuta mtu anakula na maji pembeni tena ya baridi na ndiyo yana slow kabisa diggestion. Tunalo!!! Hivi Tanzania Food and Nutrition Centre (TFNC) si wanatakiwa watoe elimu za lishe? Ni moja ya majukumu yao!!! Tanzania tunahitaji sana elimu ya eating habits!!!
 
Nipo Bongo tena kuna joto balaa.....
Huku nilipo Ughaibuni baridi ndio inaanza nipo nakumbatia mashine ya Heater wa kumkumbatia sina kazi kweli mna raha huko nyumbani ... Zion Daughter

space-heater.jpg


Electric Heater
 
MziziMkavu! Hili la unywaji maji mara umalizapo chakula ni sahihi??
Iwe maji ya baridi ama moto!
Majibu MziziMkavu tafadhali!

Mkuu Daudi mchambuzi nimejaribu Kutafsiri kwa kiswahili sijuwi kama nimekosea?

Tujihadhari na Mambo 7 si ya kufanya baada ya kwisha kula.


1Kuvuta Sigara baada kwisha kula si jambo zuri. Majaribio kutoka kwa wataalam inathibitisha kwamba uvutaji sigara baada ya mlo ni kulinganishwa na uvutaji sigara 10 upo uwezekana na wa kupata Maradhi (nafasi ya kansa ni ya juu).




2. Usile matunda mara moja - Mara baada ya kwisha kula matunda baada ya chakula itaweza kusababisha tumbo kuvimba kuwa na hewa. Kwa hiyo inapendeza kula matunda baada ya saa1-2 kula chakula au kabla ya saa 1 kula chakula.




3. Usinywe chai - baada ya kula chakula kizito tumboni Kwa sababu majani ya chai hujumuisha maudhui ya juu ya Asidi. Dutu hii itakuwa na kusababisha maudhui Protini katika chakula tunacho kula kuwa ni kigumu hivyo inakuwa ni vigumu kulainisha tumbo .




4. usiulegeze mkanda wako wa kiunoni. ukiulegeza mkanda wako wa kiunoni baada ya kwisha kula, Kutasababisha matumbo mapana ya tumboni kukaza zaidi jihadhari na hiyo. Legeza mkanda uliovaa kiunoni kabla ya kula sio baada ya kwisha kula.



5. Usioge baada ya kwisha kula tafadhali. UKioga baada kwisha kula utaweza kusababisha ongezeko la mtiririko wa damu kwa mikono, miguu na mwili hivyo kiasi cha damu kuzunguka tumbo hiyo kupungua. Hii kudhoofisha mfumo wa utumbo katika Matumbo yetu.




6. Usitembee baada ya kwisha kula chakula kizito - Watu daima husema kwamba baada ya mlo kutembea hatua mia na utaishi mpaka 99. Katika hali halisi hii si kweli. Kutembea itakuwa na kusababisha mfumo wa mmeng'enyo kuwa hawawezi kunyonya lishe
kutoka chakula cha sisi tuanacho kula.




7.baada ya kwisha usilala wakati huo huo haipendezi kabisa. - chakula ulichokula ukilala kwa huo wakati huo tumbo lako hakitalainisha hicho chakula. Hivyo itasababisha maradhi katika mfuko wa utumbo wa chakula & maambukizi katika utumbo yetu.
 
Last edited by a moderator:
Madhara ya kunywa maji baridi haya hapa mkuu.@LiverpoolFC
Effects of Cold Water





For those who like to drink cold water, this article is applicable to you. It is nice to have a cup of cold drink after a meal. However, the cold water will solidify the oily stuff that you have just consumed. It will slow down the digestion. Once this "sludge" reacts with the acid, it will break down and be absorbed by the intestine faster than the solid food. It will line the intestine. Very soon, this will turn into fats and lead to cancer. It is best to drink hot soup or warm water after a meal.


A serious note about heart attacks – You should know that not every heart attack symptom is going to be the left arm hurting. Be aware of intense pain in the jaw line.


You may never have the first chest pain during the course of a heart attack. Nausea and intense sweating are also common symptoms. 60% of people who have a heart attack while they are asleep do not wake up. Pain in the jaw can wake you from a sound sleep. Let's be careful and be aware. The more we know the better chance we could survive.


A cardiologist says if everyone who reads this message sends it to 10 people, you can be sure that we'll save at least one life. Read this & Send the link to a friend. It could save a life. So, please be a true friend and send this article to all your friends you care about.


Its Never Late Forward Soon.@LiverpoolFC

 
Chai asubuhi waweza kunywa pamoja na chakula ila ikiwa una mazoea ya kula chakula asubuhi chakula kizito kwa mfano ugali au wali kisha ndio unywe chai hapo hairuhusiwi lakini kama unakunywa chai pamoja na mkate waweza kunywa chai haina madhara mkuu ndetichia[/QUOTE]
Mkuu, chai siyo nzuri tu kama umekula chakula chenye iron, kwa vile inazuia iron absorption.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom