Baada ya kusoma makala yake nikaisaka CV ya Njelu Kasaka

CRDB BANK ilianzishwa 1996, hiyo iliyoandikwa kwenye CV nafikiri sio hii ya hapa Tanzania.
shida kubwa, kubwa, kubwa, kubwa.... kwa vijana wa TZ, ni kutojua na kufikiri kuwa wanajua. kujua kunatokana na kujifunza basi! utawakuta vijiweni wanapiga kelele, lakini hawana maarifa ya kutosha. ndio haya ya CRDB.
 
With innumerable information data banks at their disposal!
 
Ilianza mwaka 1947 ikiitwa land Bank, then ikaitwa TRDB (Tanzania Rural Development Bank) Then Ikabadirishwa tena na kuitwa CRDB (Cooperative and Rural Development Bank) na mwaka 1996 ikabadirishwa na kuitwa CRDB Bank
 
Wengine ndo wanasema mbunge ajue kusoma na kuandika tutakuja kuchapwa viboko makaburi yetu na kizazi kijacho!
 
Shida kubwa ya watawala wetu katika nchi za kiafrika ni kujiaminisha kuwa ni wao tu wanaweza kutawala. Njeru Kasaka kanena vyema. Huhitaji kudanganya au kutumia mabovu kupitisha kitu ambacho unajua hakitadumu au kuwaunganisha wananchi ati kwa kuwa tu una uwezo na vyombo vya dola! Hivi inakuwaje ukisema uongo na unajua kabisa watu wanajua kuwa unasema uongo au unatenda mambo ya kilaghai, untarajia watu wakuheshimu kweli!
 
shida kubwa, kubwa, kubwa, kubwa, kubwa,......... ya vijana wa Tanzania ni kutojifunza, na hivyo kutokuwa na taarifa za kutosha, LAKINI kwenye mijadala wamo! Sawa usijadili kuhusu kitu usichokuwa na taarifa nacho eeeh!
Asante mkuu, wewe mwenye taarifa sahihi ungeweza kuelezea vizuri lakini unaonekana umekurupuka. Nakushauri uwe unasoma mjadala kwa makini.
 
shabani

Samahani kidogo wakuu, CRDB BANK imeanzishwa lini?
Imeanza 1996 mkuu kama inavyojieleza CRDB Bank Plc is a leading, wholly-owned private commercial bank in Tanzania. The Bank was established in 1996 and has grown and prospered over the years to become the most innovative, first choice, and trusted bank in the country.

Ila kabla ya 1996 ilikuwepo mkuu kilichobadilika ni kuanzia mwaka 1996 ikatambulika kama bank ya biashara ila kabla ya 1996 ilikuwa inatambulika kama bank ya maendeleo vijijini kama kirefu chake kinavyosomeka Cooperative Rural Development Bank (though kwa sasa hicho kirefu ni historia na inajulikana kamaCRDB Bank Plc tu bila kuweka kionjo cha kirefu). Kwahiyo CRDB kama CRDB ilikuwepo tangu miaka ya 70 na ilikuwa inamilikiwa na serikali ila hii unayoiona sasa hivi imeanza 1996 na ilikuwa inajulikana kama CRDB 1996 Bank kabla ya kuanza kujikana kama CRDB Bank Plc)
 
Asante mkuu, wewe mwenye taarifa sahihi ungeweza kuelezea vizuri lakini unaonekana umekurupuka. Nakushauri uwe unasoma mjadala kwa makini.

Jamaa amekuponda bila kukusaidia, mkuu CRDB kama bank ni ya kitambo mwanzo ilikuwa chini ya serikali kabla ya kubadilika na kuwa ya biashara mwaka 1996, soma maelezo charles mususa na yangu kule chini
Ilianza mwaka 1947 ikiitwa land Bank, then ikaitwa TRDB (Tanzania Rural Development Bank) Then Ikabadirishwa tena na kuitwa CRDB (Cooperative and Rural Development Bank) na mwaka 1996 ikabadirishwa na kuitwa CRDB Bank

Imeanza 1996 mkuu kama inavyojieleza CRDB Bank Plc is a leading, wholly-owned private commercial bank in Tanzania. The Bank was established in 1996 and has grown and prospered over the years to become the most innovative, first choice, and trusted bank in the country.

Ila kabla ya 1996 ilikuwepo mkuu kilichobadilika ni kuanzia mwaka 1996 ikatambulika kama bank ya biashara ila kabla ya 1996 ilikuwa inatambulika kama bank ya maendeleo vijijini kama kirefu chake kinavyosomeka Cooperative Rural Development Bank (though kwa sasa hicho kirefu ni historia na inajulikana kamaCRDB Bank Plc tu bila kuweka kionjo cha kirefu). Kwahiyo CRDB kama CRDB ilikuwepo tangu miaka ya 70 na ilikuwa inamilikiwa na serikali ila hii unayoiona sasa hivi imeanza 1996 na ilikuwa inajulikana kama CRDB 1996 Bank kabla ya kuanza kujikana kama CRDB Bank Plc)
 
Last edited by a moderator:
CRDB ni bank ya zamani sana, ilikuwa inaitwa Co-operative and Rural Development Bank kwa kifupi CRDB na ilipobinafisishwa mwaka 1996 ndio ikatumia kifupi chake cha CRDB 1996 Ltd,

Huyu mzee alifanya kazi CRDB kweli kama CV yake inavyoonyesha
Ilikuwa inaitwa Banki ya Ushirika na Maendeleo Vijijini
 
Back
Top Bottom