The lost
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 2,695
- 8,209
Wakuu amani iwe nanyi.
Bara Afrika halijaonesha mshikamano na ulimwengu katika kuwafariji wahanga wa tetemeko la Ardhi lililotokea huko Uturuki na Syria. Viongozi wa Afrika wamekuwa wakituchonganisha na mataifa makubwz ya ulaya Kwa kutuambia wazungu hawana upendo na wanatuhujumu.
Ukweli ni kuwa Wazungu wapo sympathy sana na bila wao Dunia hii ingekuwa sawa na Ile ya mwaka 106 B.C. Binafsi naona wanasiasa wantumia mbinu za kiuchonganishi ili tuone wao wapo kututetea na kutulinda dhidi ya adui mzungu kumbe lengo ni kututawala na kujineemesha.
AU kimyaa hamna hata mfuko mmoja wa ngano uliopelekwa Uturuki ama Syria Kwa wahanga kutoka Afrika. Mikwara kibao sisi ni bara tajira kumbe ujinga mtupu. Afrika imelaniwa.