Baada ya kukalia veto, Russia yakumbuka shuka kumekucha

brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
27,882
35,899
1. Russia na China zilikuwa na uwezo wa kuzuia azimio UNSC dhidi ya Yemen kupitishwa.

2. Siku Moja baadaye kimenuka huko; bila shaka Pana vita kamili sasa.

3. Ikumbukwe kwenye azimio hilo China, Russia, Mozambique na Aljeria wali susa na hivyo kupita kwa 11 za "ndiyo."

4. Kwamba Russia aliikalia veto yake na sasa ndiye huyu?

IMG_20240112_061753.jpg

IMG_20240112_061848~2.jpg

5. Ujinga mzigo.
 
1. Russia na China zilikuwa na uwezo wa kuzuia azimio UNSC dhidi ya Yemen kupitishwa.

2. Siku Moja baadaye kimenuka huko; bila shaka Pana vita kamili sasa.

3. Ikumbukwe kwenye azimio hilo China, Russia, Mozambique na Aljeria wali susa na hivyo kupita kwa 11 za "ndiyo."

4. Kwamba Russia aliikalia veto yake na sasa ndiye huyu?

View attachment 2869254
View attachment 2869257

5. Ujinga mzigo.
Inahitajika akili ya kichaa kutetea magaidi yasiyojali hata maisha yao, kumbe wewe ni debe tu?
 
1. Wapi unaposoma gaidi akitetewa ndugu?

2.Tatizo la ukichaa na utupu wa madebe liko hapa:

IMG_20231219_124846.jpg

3. Hapo #2, waswahili husema:

"Nyani haoni kundule."

4. #2 na #3 panakuhusu sana wewe binafsi.

5. #4 Panathibitisha, kichaa na debe tupu ni wewe!
 
Mwanzo wale wavaa kobazi walikuwa wanasema hao Houth ni kiboko ya Mayahudi, USA na washirika wake pindi walipokuwa wanachezea sharubu za baba lao huko bahari nyekundu.

Sasa wameyatimba, yaani siku moja tu ya kushikishwa adabu, ngonjera na maneno ya kwenye khanga yameanza.

Kuna wapumbavu wanadhani USA itaanguka kisa inashiriki vita muda wote, ngoja niwakumbushe wapuuzi hao kuwa katika miaka 248 ambayo USA imekuwa taifa huru, ni miaka 16 pekee ambayo taifa halijawa vitani.
Hivyo vita kwa USA ni biashara yenye faida kiuchumi.

Hongereni sana USA na UK kwa kazi njema.
Hakuna gaidi litasalia .

cc Kitimoto Maghayo MK254
 
Wote wavaa vipedo wamekimbia😂😂😂
 
1. Kushindwa kuelewa mada ni tatizo sugu kwa mtanzania.

2. Mada inahusu vita mashariki ya kati.

3. Nani mwenye akili timamu anataka vita middle east?

4. Kwanini Russia kakumbuka shuka asubuhi?

5. Ngoja manyani yashangilie sasa miti ikiungua.

6. Hapo #5 muendelee kushangilia hivyo hivyo bei za diesel na petrol zitakapopanda.

Bure kabisa!
 
Mnakesha hapa kuiandika Gaza na Houthi wenyewe hata hawana mpango nanyi wala hawatambui uwepo wenu.

Pumbaf kabia...udini ungese sana

1. Tunakesha hapa?

2. Kwani tunakula kwako, au unatununulia bando?

3. Kumbe wewe unafanya nini hapa?

4. Kulikoni kutaka kujipa status msizostahili?

5. Hapo #4; kwani wewe nani ndugu?

6. Mpumbaf na mngese baba lao mbona ni wewe?
 
Hawa wayemen acheni wanyooshwe pumbav kbs walitaka kupanda watu kichwani! Ngoja wapate haki yao ya kikatiba then mengn yatafuata

1. Ila mada inahusu Russia na hofu yake kuhusu Bei ya mafuta kwa dunia.

2. Usisahau Houthi wanataka mtafaruku mkubwa wa vita zaidi mashariki ya kati.

3. Bei za mafuta zitakapopanda hadi huku uendelee kukenua hivyo hivyo.
 
Back
Top Bottom