hekimanyingi
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 679
- 573
Nimesoma kwenye gazeti la NIPASHE ya tarehe 12 February 2014 chuo kikuu cha dodoma (UDOM) wametangaza nafasi za kazi nyingi zikiwemo zile ambazo zilifanyiwa usahili mwaka jana bila kuajiri.
Nimejaribu kuangalia huenda kuna UDOM mbili ya mwaka jana na mwaka huu. Ikumbukwe chuo hiki kilitangaza nafasi za kazi mwaka juzi na kuita watu kwenye usahili wa kuandika (Written interview) mwaka 2012 November na baaye mwezi wa March 2013 wakaita waliyofanya vizuri kwenye usahili wa kuandika waliitwa kwenye usahili wa mahojiano.
Cha kusikitisha zaidi mpaka leo pamoja na kufanya usahili hawajaita hao watu na badala yake baadhi ya wanafunzi waliohitimu pale walipigiwa simu na kuja kuanza kazi mara moja bila usahili.
Leo wanatutangazia kazi kwa misingi gani?