Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,174
Sijui kwa nini huyu jamaa yangu wa karibu sana afya ilipokuwa swafi hata kanisani alikuwa haendi na alikuwa gwiji wa fataki....................sasa mpira umemgeukia aumwa kisawasawa sasa amekimbilia kwenye ulokoli na hataki tena utani kwenye swala la kumcha Mungu kuna nini?