Baada ya kile kinachoitwa ukombozi wa Libya, NATO kulipwa USD Trilioni 3

Nakubaliana sana na wewe mkuu, u really anderstand what a trillion USD costs, nimeangalia tena the cost of war in Iraq till this moment has reached 793Billion USD + war in Afghanistan 451Billion USD giving a grand total of 1.2trillion USD...hao kina 'Chatu Dume' wanaosema 3Trillion USD for Libyan war sidhani kama wanaelewa hizi digits!!
Mkuu, hiyo link ulioweka inaonyesha cost za Marekani peke yake sijaona cost za Nato ebu pitia na wewe hii then utuambie. www.ccun.org/cost wars

Highlighted red disqualify your post as non-credible and has no proof. Full of ;Kijiwe cha Kahawa; stories, USA was a major contributor in terms of resources but used about $1Billion. Where is $3Trillion comes from?. Do you know how many billions in one Trillion?, For your help 1,000 billion = 1 Trillion.
The financial cost of Iraq war which included air power + ground troops and equipment is estimated to be $757.8 billion, with extra $1 Trillion for veteran care etc. The war started March 2003, how can a war fought in 6 months has a price tag of $3T? just for bombing with no boots on ground?. Please my friend this is JF, being able to post on yourself sometimes give you an opportunity to de-legitimise your posts. And for this posts exactly you have shown your colour, that you are a member of ; Vijiwe vya kahawa;, the only place you can come across these types of stories.
Hizi ni data zako ni Cost of war to the United States.
Weka na za Nato mkuu ili tuone vijiwe vya kahawa ni vipi

Remember...Always treat others the way you want to be treated. They may forget what you said but they will always remember how you made them feel!!!

Sasa wewe mwenye akili umeongea nini hapo zaidi ya kutoa pumba zilizochanganyika na harufu ya gongo. Watu wengine ovyo kabisa.

Huwezi kuelewa lolote kwasababu njia zako zate ufahamu zote zimezibwa na akili yako imeolewa huku mawazo yako yakiwa mtumwa wa tumbo

Deni dogo sana tanzania tuadaiwa mzdeni ya njee zaidi ya trillion 9, sasa jamaa wanamafuta baada ya miaka michache tu watamaliza

Wee Andrewk, inaonekana uliishia darasa la pili kusoma hesabu. Tofautisha dola trilion 3, na TSh trilion 3. Yaani dola trilion 3 zidisha mara Tsh. 1640 (thamani ya dola moja kwa Tsh) ndo utapata ni Tsh ngapi. sikumbuki hilo jawabu utakalopata inakuwa na digits ngapi. Napita kwanza nitarudi baadaye kupiga mahesabu upya.

• Thanks
Reactions: LAT
Msisahau kuna washabiki humu walikuwa wanashabikia Gadafi aondolewe Libya wanasahau kichwa cha nazi tulichonacho hapa kwetu ni bora sisi tungepewa huyo gadafi tukaitwa magaidi kuliko hili NUNDA LINALONUNULIWA VIATU SHANGA NA VIKUKU Mwanaume mzima lol!

• Thanks
Reactions: LAT
Msisahau kuna washabiki humu walikuwa wanashabikia Gadafi aondolewe Libya wanasahau kichwa cha nazi tulichonacho hapa kwetu ni bora sisi tungepewa huyo gadafi tukaitwa magaidi kuliko hili NUNDA LINALONUNULIWA VIATU SHANGA NA VIKUKU Mwanaume mzima lol!

Bora mara kadha ingekuwa hivyo Kamanda wangu. Lkn hata hapa yatafika cku ambavyo wataiona wenyewe.

Hii habari itakuwa imeandikwa na waandishi wetu uchwara kujaza kujaza kurasa gazeti lao,sioni kama inaukweli wowote.

Bora mara kadha ingekuwa hivyo Kamanda wangu. Lkn hata hapa yatafika cku ambavyo wataiona wenyewe.

Verry soon na hakuna atakayeamini weka kumbukumbu zako vizuri maana watanzania ni walewale ila hautaamini kama wamebadilika namna hiyo.

Ktk kujadili hii mijadala inayohusu libya na Gadaf tungekuwa tunacopy na kupaste mijadala ya awali kuna watu humu ndani wangeumbuka,cos kwa kiasi kikubwa walikuwa wanawatetea nato na waasi kuhusu libya,sasa hichi ndicho walikuwa wanakihitaji na watauwa sana watu ili kujirahisishia matakwa yao,libya sio tena mahali pazuri pa kuishi,na hayo ndio malipo ya ushabiki wa mambo yaliyonyuma ya panzia kuhusu ukombozi,madeni mengine yanakuja hii ni rasharasha tu

Kabla huarudi, nadhani aliyweka hiyo gharana nae hayuko makini, hiyo figure ya 3 trillion sio realistic, suala la gharama za vita alikwepeki, kama tanzania tunadaiwa 50 billion kwa vita ya 1979,
Wee Andrewk, inaonekana uliishia darasa la pili kusoma hesabu. Tofautisha dola trilion 3, na TSh trilion 3. Yaani dola trilion 3 zidisha mara Tsh. 1640 (thamani ya dola moja kwa Tsh) ndo utapata ni Tsh ngapi. sikumbuki hilo jawabu utakalopata inakuwa na digits ngapi. Napita kwanza nitarudi baadaye kupiga mahesabu upya.

• Thanks
Reactions: LAT
Mkuu, hiyo link ulioweka inaonyesha cost za Marekani peke yake sijaona cost za Nato ebu pitia na wewe hii then utuambie. www.ccun.org/cost wars

hiyo link umeitunga kichwani nn, maana haipo kabisa.

ngoja niku Quote kabisa kwa post yako.
Mkuu, wangu data zilikuwepo mpaka October 2010.
U.S. Wars in Iraq and Afghanistan cost $6 Trilion, silaha walizotumia pamoja na kuwasaidia waasi hiyo pesa inaweza kufika kiasi ulichokitaja ni kidogo sana kwa vita, jaribu kufuatilia nadhani utakutana data
hapo ilikuwa ukiongelea cost za Marekani --> Iraq na Afghanistan ukasema ni 6Trillion sio NATO. ndo maana ukapata ushauri kuwa umekosea..

ukweli huu hapa..

Politics

As Cost of Libyan War Rises, Gates Scolds NATO for Not Pulling Its Weight

By Justin Fishel
Published June 10, 2011
| FoxNews.com
061011_gatesinternal.jpg

AP
June 9: U.S. Defense Secretary Robert Gates speaks during a media conference after a meeting of NATO defense ministers at NATO headquarters in Brussels.

Brussels – As the Obama administration begins to take heat domestically for the rising costs of U.S. involvement in the Libyan war, Defense Secretary Robert Gates hammered European allies for not contributing their fair share in his farewell speech to NATO.
With just 20 days left in office, Gates lashed out, speaking directly to partner nations in Brussels, accusing European allies of dumping the majority of their military burdens onto the laps of the United States. He warned NATO that it risks becoming a relic the United States can no longer afford.

"The blunt reality is that there will be dwindling appetite and patience in the U.S. Congress -- and in the American body politic writ large -- to expend increasingly precious funds on behalf of nations that are apparently unwilling to devote the necessary resources or make the necessary changes to be serious and capable partners in their own defense," Gates said.
He pointed to Libya as a prime example.
"While every alliance member voted for the Libya mission, less than half have participated at all, and fewer than a third have been willing to participate in the strike mission. Frankly, many of those allies sitting on the sidelines do so not because they do not want to participate, but simply because they cannot. The military capabilities simply aren't there."
The United States pays more than 75 percent of the defense budget for the 28 members of the North Atlantic Treaty Organization. Gates said that by slashing their own defense budgets, the European nations are falling short in Libya.
"The mightiest military alliance in history is only 11 weeks into an operation against a poorly armed regime in a sparsely populated country, yet many allies are beginning to run short of munitions, requiring the U.S., once more, to make up the difference," Gates said.
Gates also took time to credit Norway, Denmark, Canada and Belgium -- countries he said made disproportionately high military contributions. He also paused to acknowledge the 850 non-U.S. NATO servicemembers who lost their lives fighting in Afghanistan.
Knowing he's only on the job for three more weeks, he left American allies with a sense that future American political leaders could be less nostalgic about NATO's post World War II significance.
Meanwhile, as the mission in Libya wears on, the cost is going up.
Defense officials told Fox News that U.S. combat operations in Libya will far exceed the projected cost of $750 million through September 2011 that Gates announced last month. Officials say that by mid-May the U.S. taxpayer had already spent $664 million and there is concern operations could cost more than $40 million for each additional month.
Even if the rate stays at $40 million, and assuming the war lasts through September, the bill will reach at least $844 million. It's a tough pill to swallow for Congress -- already reeling over deficit spending and the fact that the president doesn't have formal congressional approval to be operating in Libya.
On June 1, NATO announced it will extend the Libya mission for another 90 days beyond the previous June 27 deadline. NATO and Pentagon officials have acknowledged the mission could go longer than that -- however long it takes to complete the mission of protecting civilians.
In his confirmation hearing to be the next secretary of Defense on Thursday, CIA Director Leon Panetta told the Senate Foreign Relations Committee that leaving Col. Muammar al-Qaddafi in power would send a message to our enemies in the region "that our word isn't worth very much if we're not willing to stick to it."

source: As Cost Of Libyan War Rises, Gates Scolds NATO For Not Pulling Its Weight | FoxNews.com

Yap ndio nchi za magharibi zinavyojua kutafuta Utajiri toka enzi za forefathers wao...nakumbuka niliwahi kusoma ktk mtandao wa demokraticundergraound wakisema kwamba Marekani bila Vita duniani uchumi wake utaanguka. Hivyo kazi yao kubwa ni kutafuta mtafaruku duniani Walianza na Russia, wakaingia nchi za Kiarabu Iraq, Afghanstan na sasa wana Libya wakati wakiacha Syria, kiporo cha kesho kisha baadaye watakwenda Iran na kadhalika ili mradi kwa kila destruction zinazofanyika wao ndio wajenzi wa uchumi mpya...

Hii Walibya ni lazima waliifahamu gharama zake na kutokana na utajiri waliokuwa nao haitawapa homa kuliko jinsi Ghadaffi alivyotaka maanake wakati wa Clinton Ghadaffi aliwayafukuza mashirika ya Wafaransa ili kuwapa Wachina wakamzushia Ugaidi na toka 1987 nchi yake ikawekewa vikwazo.. Kwa ujinga fulani akakubali ku make a deal na US na UK kuwarudisha Shell badala ya Mfaransa nao wakaingiza na CIA, Mi6 kutafuta mbinu za kumwangusha. Niliyasema hapa JF watu wakaniona juha na mzushi lakini sasa mnaona jinsi France inavyotaka kurudisha mashirika yake yaliyong'olewa na Ghadaffi kisha UK na Marekani nao wanapigia mahesabu mafuta ya Libya..

Kwa nchi za magharibi hakuna msaada bali kukopesha kwao ndio huita msaada.. Libyans has to pay big time! na nadhani hainipi mimi taabu zaidi kuliko kama nchi yao itakuwa Iraq au Somalia kwa sababu hawa jamaa zetu waarabu bila ironfist au kutawaliwa na Sultan hawawezi demokrasia hata kidogo kwa sababu haijahi kutokea toka karne za mitume.

niliwahi kusema Nato wana interest yao sio ukombozi sasa imebainika ni ukombaji na hao walibya waliokuwa wanashabikia ukombozi wataiona chungu ya maisha watatamani uongozi wa gadafi urudi

Hizi ni data zako ni Cost of war to the United States.
Weka na za Nato mkuu ili tuone vijiwe vya kahawa ni vipi

Hili ndiyo tatizo la kuishi kwa "oughts" badala ya hali halisi. Hakuna aliyetoa takwimu sahihi kuhusu gharama za vita vya Libya na inawezekana hiyo unayosema kuwa ni contribution ya Marekani ikawa ni kweli. Lakini wao NATO hicho ndicho wanachotaka walipwe na ndicho wanachodai kwamba ndiyo gharama za "ukombozi" wa Libya. Sasa kama kuna mtu anasema kwamba amount hiyo ni doubtful, huko ni kuthibitisha kwamba hawa NATO ni wezi na ni kazi yao ku-inflate gharama ili watunyonye. It proves that NATO are never genuine in their intentions and deeds. Kwa hiyo kama kuna mtu alidhani kwamba kuna tatizo la umbumbumbu wa hesabu kwa mtoa figures basi huko ni kubeza kusiko na msingi.

Msisahau kuna washabiki humu walikuwa wanashabikia Gadafi aondolewe Libya wanasahau kichwa cha nazi tulichonacho hapa kwetu ni bora sisi tungepewa huyo gadafi tukaitwa magaidi kuliko hili NUNDA LINALONUNULIWA VIATU SHANGA NA VIKUKU Mwanaume mzima lol!

Haikuwa lazima kwako wewe kuchangia mada kama mchango wako ni kuonyesha kiwango chako cha kumimina matusi na kukosa heshima. Shame on you!

may also include corrections of Arabic names and political terminology. Comments are in parentheses.
US Wars in Iraq and Afghanistan Cost $6 Trillion, NATO Soldier Killed, October 27, 2010

Study: US-led Afghan war costs trillions
Press TV, Wed Oct 27, 2010 7:23PM
US-led soldiers in Afghanistan While 75 percent of Afghan forces being underequipped, the annual cost of the war in Afghanistan has reportedly exceeded USD 200 billion for the first time since 2001.

Washington has allocated USD 15 billion this year to strengthen more than 100 of its military bases and 36 notorious detention centers across Afghanistan.

The Red Cross has confirmed the existence of several secret detention facilities at the US airbase in Bagram.

This is while Afghan 75 percent of Afghan police forces lack the means for conducting field operations.

The overall cost of the US wars in Iraq and Afghanistan could climb high with more US troop deployments planned for Afghanistan and no concrete date offered by President Barack Obama's administration for a complete withdrawal of forces from the two countries.

The reports come days after a study by Nobel Prize winner for economics Joseph Stiglitz and Harvard University Professor Linda Bilmes found that the combined costs for the wars in Afghanistan and Iraq surpassed USD 6 trillion.

Despite the massive spending, the 150,000-strong foreign presence in the country has so far failed to stabilize Afghanistan.

Over 600 foreign troops have been killed across Afghanistan in 2010 in what has become the deadliest year for the US and NATO forces.

This is while anti-US sentiments are on the rise with Afghanistan and regional countries condemning US-led operations which claim the lives of civilians on a daily basis.

The invasion of Afghanistan was launched with the official objective of curbing militancy and bringing peace and stability to the country.

Muanzisha mada umeumia hii ni dunia nyingine watu wanaenda kiCDM zaidi yaani full data sasa hayo mambo ya kudanganya watu kama CCM hapa hayana nafasi ." u can fool some people sometime but u cant fool all the people all the time" Robert Nesta Marley.

Back
Top Bottom