Baada ya hili nikiri kumpenda wema kwa dhati

Usidhani washamba ni kutoka shamba tu, hata hapa mjini tunao kibao!! so no wonder. Wem Sepetu hamna kitu, amebakia na figa ya kimodel tu, lakini ile K maji matupu hamna kitu, trust me nakupa ushuhuda wa kweli.
Ushuhuda wa kweli. . . . ?
Embu mwacheni binti wa watu jamani!
 
She simply beautiful, down to earth and nice. What she does with her personal life - is a road of superstar life of which she is learning and becoming conscious about her self. I am glad, she is free to make choices of her sexual and relationship life - all I wish for her is to be able to live with her choices in the future. I wish a long life as she has a beautiful story to tell! I forgot to say she is a beauty and quite a character!
 
Kwa kweli huyu dada ni mrembo sana, ila mlio karibu naye mshaurini atafute shule akasome, aachane na masharobaro, niliangalia kipindi cha jana nilimpenda jinsi alivyo na confidence, open na mkweli, japo kuna baadhi ya mambo hakuwa tayari kuyaweka hadharani kama Salama alivyokuwa anamtaka. Kuna kitu nilikiona kuwa wema anataka kuendelea kuwa Famous ndiyo maana wakati wote hanakuwa karibu na Hawa vijana wenye majina ili naye aendelee kuwemo. Afanye mambo yake yeye kama yeye atulie atapata the Right man. Hawa wahuni hawatamsaidia.
 
Jamani hata mimi nimemuona kwenye kile kipindi cha mkasi,kiukweli nashindwa kuelewa ki2 gani kinamsumbua yule x miss tz wetu ni mrembo kweli lakini naona anatumia urembo wake vibaya kwani mara kwa mara haishi kuwa na skendo mjini.Pamoja na urembo wake nafikili ana kasoro ambazo mwanaume yeyote mwenye akili na busara hawezi kuvumilia. Tahadhari kwenu mnaomtamani mtajuta kwani hao wenzenu walioacha huo mzigo hawajamuona kwamba ni mrembo? kuweni kama mbayuwayu.
 
Hamjamuelewa mtoa mada,kuhusu presentable hilo halina pingamizi anayebisha itakuwa chuki zake,na kuhusu kujiamini nalo nampa crdt,hayo mengine ni ubinadamu ndio maana hakuna mkamilifu kwa kila jambo,na sio kila anapoachwa yy ndio ni tatizo linaweza kuwa kwa wanaume ila cos anauza magazeti ya watu utafanyaje,ila namuomba atulie tu ipo cku anaweza mpata atakayedumu nae maisha,ajiheshimu tu maisha yapo na lazima yaendelee
 
Usidhani washamba ni kutoka shamba tu, hata hapa mjini tunao kibao!! so no wonder. Wem Sepetu hamna kitu, amebakia na figa ya kimodel tu, lakini ile K maji matupu hamna kitu, trust me nakupa ushuhuda wa kweli.
Punguza matuc kwa mtt wa mwenzako na hiyo sio sifa ya mwanaume kamil ukipewa huna haja ya kutangaza udhaifu wamwenzio utajisikiaje ukiambiwa mzazi wako wa kike kakuzaa ww na maji au dada ako maji tu,acha maneno ya kijiweni kulikuwa hakuna haja ya kusema kitu hakikusaidii kitu na wale yy ahalibikiwi kitu be gentleman
 
Kuwa mpenzi wa Wema unatakiwa uwe ni shabiki wa arsenal kwanza uwe umekubuhu kwenye uvumilivu. pia waone Jumbe, Kanumba and the like of Diamond wakupe semina elekezi.
bwahahahah arifu aiseeeee
 
Usidhani washamba ni kutoka shamba tu, hata hapa mjini tunao kibao!! so no wonder. Wem Sepetu hamna kitu, amebakia na figa ya kimodel tu, lakini ile K maji matupu hamna kitu, trust me nakupa ushuhuda wa kweli.

wapi wewe wenzako ndo tunapenda hayo maji . Hujui burudani wewe .
 
Wadau nilikuwa nikiangalia kipindi cha mkasi cha salama j. kiukweli nimevutiwa sana na wema maana the girl is so confident and very open kuhusu life lake, nimeangalia hadi nikamfananisha na kim kardashian how sexy and confident she is. how can i get her jaman mwenye kujua namna ya kumpata plzzzz
Mtumie msg hapo na vocha ya shilling 50,000= atarespond PM yako.

Messagehttp://www.facebook.com/profile.php?id=100002618254991&sk=info#

[h=1]Wema Sepetu[/h]
Works at Arise Beauty TanzaniaWent to Kibaha sec schoolIn a relationshipKnows English, SwahiliBorn on September 28, 1988
 
Mimi utata wangu ni hiyo confidence tu., labda unaelewa nn kuhusu confidence.? Nimeangalia kipindi wangu demu hakuwa na confidence kabisa., kwanza alisema yuko singo kwa sasa na akashindwa kujibu swali kwamba ameachana na diamond., hiyo ni confidence....????? Kaulizwa kama anajichubua akajibu swali baada ya sekunde kadhaa..., hiyo mdo confidence eeeeeeeh..???? amka kijana..!
 
Wadau nilikuwa nikiangalia kipindi cha mkasi cha salama j. kiukweli nimevutiwa sana na wema maana the girl is so confident and very open kuhusu life lake, nimeangalia hadi nikamfananisha na kim kardashian how sexy and confident she is. how can i get her jaman mwenye kujua namna ya kumpata plzzzz

Mpigie Diamond akupe njia ya kumpata Wema.
 
Join Date : 17th January 2012

Posts : 6
Rep Power : 304


Mkuu join date na mambo yako unayoyafanya hapa JF vinafanana kabisa..Kumbe umejiunga hapa JF kutongoza? Si uende FB kule na kuna profile yake,umtongoze au?
 
Wema ni makombo ambayo hata ukiyamwagia mchuzi mbwa hali
hivi kweli unamwita mwenzako makombo kwa habari zake ulizozisikia, kwa hiyo wewe ni fresh yani kama samaki ndo umetoka kuvuliwa baharini muda huu.
 
Back
Top Bottom