Baada ya FBI kutua nchini, sasa Redio Imani wakimbia kivuli chao, wahubiri amani

Status
Not open for further replies.
unachoshangaa ni kipi kwani hamkai pamoja kwenye nyumba za kupanga, mashuleni hamkai rum moja au sokan na mahala pengine pa kijamii hamshirikiani? unachoshangaa ni kipi radio iman wakisema kweli unachuki nao wakisema vinginevyo unasema wanachochea haya sema wewe ili tukusikilize acha propaganda za kiiman kuna kip hakijulikan kuhusu mada yako?
 
kwenye kidokezo cha leo asubuhi. Katika hali ambayo sikutegemea ni pale ambapo radio imani wamejikuta wanahubiri amani na kuwa kinyume kabisa na misimamo yao. Katika mazungumzo yao inaonekana wanapinga fbi na cia kuja nchini. Radio imaani wanasema kuuawa kwa padre ni njama ya cia ili wapate nafasi ya kunyonya maliasili zetu ikiwemo gesi, dhahabu nk.

Lakini pia wachambuzi wa redio imani wamesahau kuwa ule utafiti uliofanywa na akina dr.sulvalain kuwa hii nchi inatawaliwa na kanisa pia inaweza ikawa ni njama ya kuwagawa watanzania kwa imani zao ili wapore rasilimali zao kwani wazungu wanafahamu utajiri wa nchi hii kwa muda mrefu sana, wanajua mahali madini yalipo.

Leo hii redio wachambuzi wa redio imani wamenishangaza kwa kusema eti nchi hii hatuna ugonvi wa kidini, eti waislam na wakristo wanaishi wote kwenye nyumba za kupanga, wanasema eti watanzania hatubaguani kwa imani, wamelaani mauaji ya padre mushi. Wametoa wito watanzania tuwe na umoja ili adui marekani asipore raslimali zetu. Wachambuzi wamekimbia kivuli chao

redio imani wamesahau kuwa kwa muda mrefu wamekuwa wakihubiri chuki

redio imaani imehubiri chuki kwa kusema eti baraza la mitihani linafelisha waislam kwa maksudi wakati wanafahamu kabisa kuwa kinachokwenda baraza la mitihani ni namba na siyo majina ya watahiniwa, wanafahamu kabisa kuwa wizara hii pia imeongozwa na mawaziri waislam akiwemo shukuru kawambwa na juma kapuya, hivi kweli hata kama umeishia darasa la pili, inawezekanaje baraza la mitihani ambacho ni chombo cha umma wakristo wakapanga njama za kuwafelisha waislam kwa kupitia namba zao za mitihani na waziri hisika akiwemo rais mwislam asifaham?. Mbona jamii za wafugaji mfano wamasai na wasukuma wanafeli sana kwanini wao hawajasema baraza la mitihani linawafelisha kwa maksudi?

Redio imani mnasema eti hapa tanzania wakristo wanawafelisha waislam maksudi, mmefanya utafiti huko zanzibar kiwango cha elimu kikoje?, mmefanya utafiti monbasa kiwango cha elimu kikoje?, mmefanya utafiti kati ya saudi arabia na israel nini tofauti yao ya elimu ?, mmefanya utafiti tofauti ya kiwango cha elimu cha nchi za kiarabu na wa asia wenzao kama vile japani, china, korea hali utofauti ukoje?, mbona takwimu zinaonesha chuo kikuu dar ni bora kuliko nchi za libya, na algeria wakati tanzania imekumbwa na ukoloni sana ukilinganisha na nchi hizi?

Redio imaani inadai kuwa nyerere ndiye aliewaangusha waislam na kuwafanya wawe mbumbumbu, hivi kweli inawezekanaje nyerere awafanye waislam kuwa mbumbumbu kwa kutaifisha shule za kikristo ili waislam nao waweze kupata elimu?, hata viongozi wengi zanzibar wamesomea kwenye shule za makanisa

wachambuzi wa redio imani wamekuwa wakiwadanganya umma wa kiislam eti serikali iliingia mou na kanisa, wakati mou ni kati ya makanisa ya tanzania na ujerumani ili kuweza kutoa huduma za kijamii


wachambuzi wa redio imani kwanini muamini kuwa cia ndiyo wanaleta mitafaruku ya kidini ili watanzania tupigane na waweze kupora mali, kwanini msiamini kuwa huyo sulvain nae alitumwa ili kutuchonganisha?

Wachambuzi wa redio imani ndiyo mmesababisha leo hii fbi na cia wakaribishwe nchini kwetu. Siku tukmwaga damu, historia ya radio imaani kusababisha machafuko haitafutika.

Waislam na wakristo tupendane, kama kuna utofauti wa kielimu au uchumi basi historia au desturi ndiyo imefanya utofauti wetu.


Sote tunafahamu kuwa wamisionari walipokuja walijenga kanisa, zahanati na shule. Waarabu walipokuja walijenga misikiti hivyo inawezekana kabisa wale waliofuata imani ya kikristo walipata nafasi ya kusoma pia. Pia tunafahamu kuwa mikoa kama kagera na kilimanjaro waliwahi kupata elimu kwa sababu wamisionari walikaa sana huko ukilinganisha na mikoa kama shinyanga na kwingineko.


Wachambuzi wa redio imani, msipo waambia waislam ukweli mtazidi kuwapoteza. Tuache ushindani wa kiimani.
Sisi sote ni watanzania, sisi sote ni waafrika, tupendane

nb:comments za kukejeli dini za wengine haziruhusiwi

nia yangu nikuelimishana, mods msifute tafadhali

pointless...yaani hata hujui kupangilia propaganda yako...kajipange tena
 
Hofu yao nini kama si magaidi wasiogope FBI
Kwenye kidokezo cha leo
asubuhi. Katika hali ambayo sikutegemea ni pale ambapo radio imani
wamejikuta wanahubiri amani na kuwa kinyume kabisa na misimamo yao.
Katika mazungumzo yao inaonekana wanapinga FBI na CIA kuja nchini.
Radio imaani wanasema kuuawa kwa padre ni njama ya CIA ili wapate
nafasi ya kunyonya maliasili zetu ikiwemo Gesi, dhahabu nk.

Lakini pia wachambuzi wa redio imani wamesahau kuwa ule utafiti
uliofanywa na akina Dr.Sulvalain kuwa hii nchi inatawaliwa na kanisa pia
inaweza ikawa ni njama ya kuwagawa watanzania kwa imani zao ili wapore
rasilimali zao kwani wazungu wanafahamu utajiri wa nchi hii kwa muda
mrefu sana, wanajua mahali madini yalipo.

Leo hii Redio wachambuzi wa redio imani wamenishangaza kwa kusema eti
nchi hii hatuna ugonvi wa kidini, eti waislam na wakristo wanaishi wote
kwenye nyumba za kupanga, wanasema eti watanzania hatubaguani kwa
imani, wamelaani mauaji ya Padre Mushi. Wametoa wito watanzania tuwe na
umoja ili adui MAREKANI asipore raslimali zetu. Wachambuzi wamekimbia
kivuli chao

Redio Imani wamesahau kuwa kwa muda mrefu wamekuwa wakihubiri chuki

Redio imaani imehubiri chuki kwa kusema eti baraza la mitihani
linafelisha waislam kwa maksudi wakati wanafahamu kabisa kuwa
kinachokwenda baraza la mitihani ni namba na siyo majina ya watahiniwa,
wanafahamu kabisa kuwa wizara hii pia imeongozwa na mawaziri waislam
akiwemo SHUKURU KAWAMBWA na JUMA KAPUYA, hivi kweli hata kama umeishia
darasa la pili, inawezekanaje baraza la mitihani ambacho ni chombo cha
umma wakristo wakapanga njama za kuwafelisha waislam kwa kupitia namba
zao za mitihani na waziri hisika akiwemo rais mwislam asifaham?. Mbona
jamii za wafugaji mfano wamasai na wasukuma wanafeli sana kwanini wao
hawajasema baraza la mitihani linawafelisha kwa maksudi?

Redio imani mnasema eti hapa Tanzania wakristo wanawafelisha waislam
maksudi, mmefanya utafiti huko Zanzibar kiwango cha elimu kikoje?,
mmefanya utafiti Monbasa kiwango cha elimu kikoje?, mmefanya utafiti
kati ya Saudi Arabia na Israel nini tofauti yao ya elimu ?, Mmefanya
utafiti tofauti ya kiwango cha elimu cha nchi za kiarabu na wa ASIA
wenzao kama vile Japani, China, Korea hali utofauti ukoje?, mbona
takwimu zinaonesha chuo kikuu Dar ni bora kuliko nchi za LIBYA, na
Algeria wakati Tanzania imekumbwa na ukoloni sana ukilinganisha na nchi
hizi?

Redio imaani inadai kuwa Nyerere ndiye aliewaangusha waislam na
kuwafanya wawe mbumbumbu, hivi kweli inawezekanaje Nyerere awafanye
waislam kuwa mbumbumbu kwa kutaifisha shule za kikristo ili waislam nao
waweze kupata elimu?, hata viongozi wengi zanzibar wamesomea kwenye
shule za makanisa

Wachambuzi wa Redio imani wamekuwa wakiwadanganya umma wa kiislam eti
Serikali iliingia MOU na kanisa, wakati MOU ni kati ya makanisa ya
Tanzania na Ujerumani ili kuweza kutoa huduma za kijamii


Wachambuzi wa Redio imani kwanini muamini kuwa CIA ndiyo wanaleta
mitafaruku ya kidini ili Watanzania tupigane na waweze kupora mali,
Kwanini msiamini kuwa Huyo Sulvain nae alitumwa ili kutuchonganisha?

Wachambuzi wa Redio imani ndiyo mmesababisha leo hii FBI na CIA
wakaribishwe nchini kwetu. Siku tukmwaga damu, historia ya Radio imaani
kusababisha machafuko haitafutika.

Waislam na Wakristo tupendane, kama kuna utofauti wa kielimu au uchumi
basi historia au desturi ndiyo imefanya utofauti wetu.


Sote tunafahamu kuwa Wamisionari walipokuja walijenga kanisa, zahanati
na shule. Waarabu walipokuja walijenga misikiti hivyo inawezekana kabisa
wale waliofuata imani ya kikristo walipata nafasi ya kusoma pia. Pia
tunafahamu kuwa mikoa kama KAGERA na KILIMANJARO waliwahi kupata elimu
kwa sababu wamisionari walikaa sana huko ukilinganisha na mikoa kama
Shinyanga na kwingineko.


Wachambuzi wa redio imani, msipo waambia waislam ukweli mtazidi
kuwapoteza. Tuache ushindani wa kiimani.
SISI SOTE NI WATANZANIA, SISI SOTE NI WAAFRIKA, TUPENDANE

NB:Comments za kukejeli dini za wengine haziruhusiwi

Nia yangu nikuelimishana, mods msifute tafadhali
 
Tangu lini redio imani ikahubiri vurugu?.
Kusema watu wanafelishwa mitihani ama kuongelea MOU sio kuhubiri vurugu.
Na haijawa confirmed nani hasa alimuua padre mushi,inaweza ikawa ni false flag.
Kama wamarekani waliweza kulipua jengo lao wenyewe la World trade centre ili wapate kisingizio cha kuitawala dunia ,wanashindwa nini kuua padre mmoja.
 
Tangu lini redio imani ikahubiri vurugu?.
Kusema watu wanafelishwa mitihani ama kuongelea MOU sio kuhubiri vurugu.
Na haijawa confirmed nani hasa alimuua padre mushi,inaweza ikawa ni false flag.
Kama wamarekani waliweza kulipua jengo lao wenyewe la World trade centre ili wapate kisingizio cha kuitawala dunia ,wanashindwa nini kuua padre mmoja.
Yale yale shule huna ndio maana unaongea kama upo chooni
 
Tangu lini redio imani ikahubiri vurugu?.
Kusema watu wanafelishwa mitihani ama kuongelea MOU sio kuhubiri vurugu.
Na haijawa confirmed nani hasa alimuua padre mushi,inaweza ikawa ni false flag.
Kama wamarekani waliweza kulipua jengo lao wenyewe la World trade centre ili wapate kisingizio cha kuitawala dunia ,wanashindwa nini kuua padre mmoja.

Nonsense accusation, ndio jinsi mnavyojidanganya wakati mnapokutana na mkono wa sheria. "Ohh Padri Mushi kauwawa na CIA" wakati uhamsho walivyokuwa wanatoa vitisho na matusi wa wakristo mbona mlikuwa mmekaa kimya mkishangilia kimoyomoyo. Prof. liPumba yuko wapi kulaani? yeye unamwona mashehe magaidi wanapo kutana na mkono wa sheria. Tatizo lenu mmejaa unafiki, mnaweka dini mbele utaifa nyuma badala ya utaifa mbele dini nyuma.
 
Yale yale shule huna ndio maana unaongea kama upo chooni

Mkuu achana naye huyo, kwanza shule aliyosoma (O-level) wamezungusha makarai karibia 200 ingawa sijui kama alienda A-level. Naona na yeye hakutoka na kitu m-kichwa!
 
Uzi wako umejaa eti, eti,eti... Hujui uyanenayo. Kajipange kwanza, usikurupuke.
 
Mleta mada asitake kutuaminisha ujinga anaouamini yeye minaisi kama vile anamatatizo ya kiakili sababu sijui anachotaka kusikia kwenye redio imaani ni nini wakiubili mabaya hataki wakiubili mazuri hataki pia basi aache kusikiliza kama hapendezwi nayo. Mbona kwaneena fm imechochea mauaji geita lakini hatujamwona akiipinga?.
 
Nonsense accusation, ndio jinsi mnavyojidanganya wakati mnapokutana na mkono wa sheria. "Ohh Padri Mushi kauwawa na CIA" wakati uhamsho walivyokuwa wanatoa vitisho na matusi wa wakristo mbona mlikuwa mmekaa kimya mkishangilia kimoyomoyo. Prof. liPumba yuko wapi kulaani? yeye unamwona mashehe magaidi wanapo kutana na mkono wa sheria. Tatizo lenu mmejaa unafiki, mnaweka dini mbele utaifa nyuma badala ya utaifa mbele dini nyuma.

E bana daah, nilikuwa sijafatilia habari siku mbili hizi. Hivi CIA wameshafanyakazi yao na ku- conclude waislam chini ys uamsho ndio wamefanya mauaji? Au local CIA wa JF? Kama tunawaamini original CIA bora tuwaachie kazi tuache speculation. We have to Let the pro. handle it
 
As long as u hate it sitegemei ukaunga mkono chochote redio iman itakachosema even if ts sensitive,try 2hide it hata kidogo ndugu mtoa mada
 
Rome is hell kwa taarifa yako mtanzania usielewa chochote, maana padri aliyeruhusu mashoga marekani ndiyo anatakiwa na wa marekani aongoze rome yako!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom