Baada ya Diamond na Zari, what's next?

Nchi Kavu

JF-Expert Member
Sep 11, 2010
4,271
2,401
dzar.jpg
Tukubali tukatae, mwisho upo. If so, huu mwisho ukoje na nini kitaendelea? Just thinking aloud
 
Jadili mwisho wako kwanza kabla ya kujadili mwisho wa wenzio! au wewe huna mwisho? mwanga mkubwa wewe!
Mi wangu hakuna aujuaye kwa kuwa sina umaarufu kama mwenzetu. So nikawa najiuliza tu itakuwa vipi. We unaonaje kwani. Au Wema atarudi?
 
Hakuna next

tunasubiria reality tv show yao

nitanunua kwa bei yoyote zoteeeee na kuweka nyumbani na kwa tv sitakosa mie zikianza kuonyeshwa.

Mdio muda wao wakutengeneza pesa now
 
Hakuna next

tunasubiria reality tv show yao

nitanunua kwa bei yoyote zoteeeee na kuweka nyumbani na kwa tv sitakosa mie zikianza kuonyeshwa.

Mdio muda wao wakutengeneza pesa now

kabisaa waanzishe "in Our Shoes ZariMond" pale pale EATV"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom