Baada ya CCM kuzidiwa nguvu na CHADEMA kata ya Daraja mbili, Wapanga umafia dhidi ya Lema

LOMAYANN

JF-Expert Member
Mar 8, 2012
1,165
380
Wanabodi

KATIKA KAMPENI ZA CHADEMA UCHAGUZI MDOGO WA DARAJA 2 LEO ENEO LA KWA KIBOKO MTAA WA JAMUHURI

Kamanda Godbless Lema ameeleza maelfu waliohudhuria kampeni hizo kuwa Chama Cha Mapinduzi wampanga kwa kushirikiana na watu wengine kuchonga funguo ( Master Key) za ofisi yake ( ofisi ya mbunge - Arusha mjini) maana funguo zipo mahakamani na kufungua ofisi na kuweka silaha pamoja na madawa ya Kulevya na baada ya hapo kumuhisi Lema ni mwizi wa kutumia silaha pamoja na madawa ya Kulevya Polisi wamkamate Lema na kumuweka chini ya ulinzi wakapekue nyumbani kwake wakikosa Askari mmoja atoe wazo kwamba tuende kwenye ofisi yake ya zamani maana funguo zipo mahakamani. Wakienda wakute silaha na madawa ya kulevya basi kwa kufanya hivyo kwanza watakuwa wamevuruga harakati nzima za ukombozi pamoja na uchaguzi unaoendelea na kamanda apelekwe ndani CCM wapate hoja ya kuwaambia wananchi maana sasa hali yao ni mbaya kweli daraja 2 na Bangata za hapa Arusha.

Kamanda Lema ameeleza wanaohusika ni wanaccm, maofisa wa serikali pamoja na Katibu wake wa zamani GERVAS Mgonja

LEMA AMEMALIZA KWA KUSEMA KUWA MTU ANAPOPIGANIA HAKI MUNGU PEKEE NDIYE ANAMLINDA

Naomba kuwasilisha wakuu

Source: Mimi mwenyewe nilikuwepo
 
kama kweli ni siasa chafu zisizo na tija kwa taifa wakumbuke upinzani c uadui
 
Nimekumbuka kisa cha mtoto wa Mengi-Abduel na Kamanda wa kikosi cha kupambana na dawa za kulevya; Nzowa. Sijui iliishia wapi.
 
sikio la kufa halisikiii dawa watashindana lakini hawatashinda wajiandae kuacha majukumu ya wananchi kwa chadema mapema wasitafute visingizio
 
Isijekuwa anajihami na ukweli

Chama
Gongo la mboto DSM

Kamanda Lema ametangaza hadharani si kwa kificho ili umma utambue hila ya hawa magamba na amesema amewapigia simu wahusika wote na hata 2010 waliwahi kupanga hila nyingine ikashindwa na wanaompa Lema hizi taarifa ni watu kutoka kwenya ccm ila wale wapenda hakih
 
ccm wamebanwa!!! takwimu za umiliki wa mpira zinasomeka chadema 92% na ccm 8%
ccm wanaomba mvua kubwa inyeshe mechi iahirishwe, lakini hakuna hata dalili za wingu, jua linawaka kisawasawa, tunasubiri siku ya siku.
 
Isijekuwa anajihami na ukweli

Chama
Gongo la mboto DSM

Hata siku moja sijawahi kukuona umetoa mchango unaoonyesha kwamba umetumia akili za kichwani. Huenda wewe ni mmoja wa wana-CCM tulioambiwa na Mheshimiwa Massaburi.
 
Kamanda Lema ametangaza hadharani si kwa kificho ili umma utambue hila ya hawa magamba na amesema amewapigia simu wahusika wote na hata 2010 waliwahi kupanga hila nyingine ikashindwa na wanaompa Lema hizi taarifa ni watu kutoka kwenya ccm ila wale wapenda hakih

Mkuu hayo ni maneno kutoka kwenye kinywa chake tunataka ushahidi; yeye kama ni mkweli na aje uthibitisho tunachokataa asije akakutwa na kosa la kuvunja sheria akadai ni njama za serikali.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Hata siku moja sijawahi kukuona umetoa mchango unaoonyesha kwamba umetumia akili za kichwani. Huenda wewe ni mmoja wa wana-CCM tulioambiwa na Mheshimiwa Massaburi.

Mkuu sipo jamvini kufurahisha mtu naandika ninachokiamini unaweza nikosoe huwezi jimazie kimya hii ndio maana ya open forum ni mjadala na raha mjadala ni majadiliano upo hapo kamanda?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
ccm wamebanwa!!! takwimu za umiliki wa mpira zinasomeka chadema 92% na ccm 8%
ccm wanaomba mvua kubwa inyeshe mechi iahirishwe, lakini hakuna hata dalili za wingu, jua linawaka kisawasawa, tunasubiri siku ya siku.

Ahaa mkuu kumiliki mpira sio kushinda sisi tunapiga bao

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Back
Top Bottom