fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,425
- 7,975
Nasikia huyu jamaa kafungua baa mjini Dar, ambayo ina vinywaji vya hatari, anayeijua aniarifu inaitwaje na ipo mtaa gani
Sasa si ungeuliza hapo uliposikia?!nasikia huyu jamaa kafungua baa mjini dar,ambayo ina vinywaji vya hatari,anayeijua aniarifu inaitwaje na ipo mtaa gani
Yes ni place ya watu classic hakuna mademu waomba nauli inaitwa Link ipo masaki baada ya IST school kuna supermarket inaitwa jambo ipo mkabala.nasikia huyu jamaa kafungua baa mjini dar,ambayo ina vinywaji vya hatari,anayeijua aniarifu inaitwaje na ipo mtaa gani
Mbwembwe tu hizoYes ni place ya watu classic hakuna mademu waomba nauli inaitwa Link ipo masaki baada ya IST school kuna supermarket inaitwa jambo ipo mkabala.
Ni expensive place lakini utatengeneza connection za maana utaagana na wanaoshinda mtandaon wanamtukana Mondi
Sasa si ungeuliza hapo uliposikia?!
Pombe Ni Ile Ile.Yes ni place ya watu classic hakuna mademu waomba nauli inaitwa Link ipo masaki baada ya IST school kuna supermarket inaitwa jambo ipo mkabala.
Ni expensive place lakini utatengeneza connection za maana utaagana na wanaoshinda mtandaon wanamtukana Mondi
EheYes ni place ya watu classic hakuna mademu waomba nauli inaitwa Link ipo masaki baada ya IST school kuna supermarket inaitwa jambo ipo mkabala.
Ni expensive place lakini utatengeneza connection za maana utaagana na wanaoshinda mtandaon wanamtukana Mondi
Jamaa washamba kweliMbwembwe tu eti unatengeneza connection 😄
Ova
Umaskini mbaya sana mtu eti anamaind mtu kwenda kutumia pesa yake wewe kama hauna pesa kuna place za balimi za buku buku kaa uko ndio circle yako ilipohuko wanakutana watu classic waliotoboa maisha, ipo masaki.
Kama una pesa ya mawazo usiende
Endelea kusubiri Mendez akununulie na familia yako sukariHii inasaidia nini kupanda kwa sukari?
niende nikatumie kidogo hapoAlafu baada ya kujua ilipo unafanyaje?
ok asante nataka niende kunywa japo kwa saa 1 tuYes ni place ya watu classic hakuna mademu waomba nauli inaitwa Link ipo masaki baada ya IST school kuna supermarket inaitwa jambo ipo mkabala.
Ni expensive place lakini utatengeneza connection za maana utaagana na wanaoshinda mtandaon wanamtukana Mondi
Bar kungekua na connection za kutoka kimaisha mabaamedi wasingekua wanauza KYes ni place ya watu classic hakuna mademu waomba nauli inaitwa Link ipo masaki baada ya IST school kuna supermarket inaitwa jambo ipo mkabala.
Ni expensive place lakini utatengeneza connection za maana utaagana na wanaoshinda mtandaon wanamtukana Mondi
Enjoy mwananguok asante nataka niende kunywa japo kwa saa 1 tu
Unaenda kulewaAlafu baada ya kujua ilipo unafanyaje?
Unazo hizo hela kwanza?Unaenda kulewa