Tusker Bariiiidi
JF-Expert Member
- Jul 3, 2007
- 5,520
- 2,091
Mkuu iko maeneo gani hapo sinza?
Mseri ipo jirani na Kanisa la katoliki Sinza ...IMECHOKA... Maneno Calabash Mwenge,Soccer City Sinza na Rose Garden Mikocheni...
Mkuu iko maeneo gani hapo sinza?
daaaah... Wanaume mna mambo?jamani baa yoyote ni muhudumu kwajinsi navyojua au baa nilizotembelea kuna baa zinawahudumu hata ukiwa unakunywa na macho yanakunywa siyo mdomo tuuuu!!
Baa ya rombo view,brake point town!!
Nawasifu mameneja uajiri!!
,Brake point town!!!!
Kuna moja ya wanyarwanda hapo sinza duh ni kwere inaitwa london pub ukienda na million alafu macho yapo juu utosini kama mamba unarudi asubuhi na daladala hata nauli ya taxi huna!Mseri ipo jirani na Kanisa la katoliki Sinza ...IMECHOKA... Maneno Calabash Mwenge,Soccer City Sinza na Rose Garden Mikocheni...
Kuna moja ya wanyarwanda hapo sinza duh ni kwere inaitwa london pub!
yote 9 kumi baa moja sinza inaitwa mseli ni kiboko.wahudumu super.tembelea!
Kuna moja ya wanyarwanda hapo sinza duh ni kwere inaitwa london pub ukienda na million alafu macho yapo juu utosini kama mamba unarudi asubuhi na daladala hata nauli ya taxi huna!
Maneno yako hayaendani na avatar yako. Hapo tu unakula chabo na glasi mkononi.Matatz ya bangi ukinya na safari haya kila kitu unaona kizuri!!
Aisee mi sijui bia za hapo wanaunga kitu gani..Yani...Baa ya Rombo view,Brake point town!!
Nawasifu mameneja uajiri!!
yani kaka enzi zile igongwe ilikua hatari,kunamtu alikua anaitwa fatuma na mwingine salma yani ilikua hatari
Du kaka yaelekea fatuma na huyo salma walikukamata maana umejikuta unatoa comment ya aina moja juu yao mara tatu,kweli ulikolea,sasa unajua walipo hao kwa sasa?
dawa ya baa yenye wahudumu wazuri.usibebe zaidi ya hela ya bia 4.acha kadi ya benk nyumbani.vinginevyoooooo...
Jamani baa yoyote ni muhudumu kwajinsi navyojua au baa nilizotembelea kuna baa zinawahudumu hata ukiwa unakunywa na macho yanakunywa siyo mdomo tuuuu!!
Baa ya Rombo view,Brake point town!!
Nawasifu mameneja uajiri!!