Baa hizi zinaongoza kwa wahudumu walio simama!

jamani baa yoyote ni muhudumu kwajinsi navyojua au baa nilizotembelea kuna baa zinawahudumu hata ukiwa unakunywa na macho yanakunywa siyo mdomo tuuuu!!
Baa ya rombo view,brake point town!!
Nawasifu mameneja uajiri!!
daaaah... Wanaume mna mambo?
 
Mseri ipo jirani na Kanisa la katoliki Sinza ...IMECHOKA... Maneno Calabash Mwenge,Soccer City Sinza na Rose Garden Mikocheni...
Kuna moja ya wanyarwanda hapo sinza duh ni kwere inaitwa london pub ukienda na million alafu macho yapo juu utosini kama mamba unarudi asubuhi na daladala hata nauli ya taxi huna!
 
Kuna moja ya wanyarwanda hapo sinza duh ni kwere inaitwa london pub!

Soko la akina dada zetu sinza limeharibiwa na hawa nduguzetu wa isti afrika, wamekuja kwa kasi sana wana madanguro kama sita hivi sinza.
 
Duh, itabidi wikendi ijayo nikailie Ar, maana hiyo Arusha by night inaonekana kuna midude ya ukweli
 
Matatz ya bangi ukinya na safari haya kila kitu unaona kizuri!!
avatar31856_4.gif
Maneno yako hayaendani na avatar yako. Hapo tu unakula chabo na glasi mkononi.
 
dawa ya baa yenye wahudumu wazuri.usibebe zaidi ya hela ya bia 4.acha kadi ya benk nyumbani.vinginevyoooooo...
 
dawa ya baa yenye wahudumu wazuri.usibebe zaidi ya hela ya bia 4.acha kadi ya benk nyumbani.vinginevyoooooo...

hiyo wala sio dawa bwana mkubwa usijidanganye ukivutiwa utaifuata kadi ya benki mwenyewe nyumbani....dawa usiende bar,nunua pombe za kutosha weke kwenye fridge home unakunywa na mamaa akiwa kavaa sare kama zile za mabaa medi au kimini asilimia mia moja kama wanawake wa club.
 
Jamani baa yoyote ni muhudumu kwajinsi navyojua au baa nilizotembelea kuna baa zinawahudumu hata ukiwa unakunywa na macho yanakunywa siyo mdomo tuuuu!!
Baa ya Rombo view,Brake point town!!
Nawasifu mameneja uajiri!!

umenena ukweli tupu,pongezi zao.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom