b0red,b0red, b0re, t00 much b0red.

Rjohn

JF-Expert Member
Feb 28, 2012
613
128
hadI ker0 jukwaa hili tangu mwezI jana? kila siku post zna0ng0zana kuhusu mikopo by the way mtu anakuta previours post ambayo inajibu maswali yake but anaanzisha nayeye kuulza hayo hayo asbuh mchana usiku 24 7days all month hv hamna yamaana mengine? ukichukia kufa niamini unahasira mi ndo nshasema
JE mnataka tujue nanyi mwachukua mkopo? hate you guys with this kind of stupit,badiliken bana
 
The truth:
Ni kweli tabia kama hizi za kuanzisha threads nyingi zinazohusu jambo moja imekuwa sugu JF asa jukwaa hili.
Hasara yake:
Threads nyingine nyingi ambazo zina mambo mengi mazuri pia zinashindwa jadiliwa.
Faida:
Ukweli ni kuwa threads hizo zihusuzo jambo moja zinatofautiana katika uwasilishwaji wake hivyo mfano watu wawili mmoja anaweza wahi kuposti uzi wenye information kidogo na mwingine anaeza leta thread yenye information nondo...
 
the truth:
Ni kweli tabia kama hizi za kuanzisha threads nyingi zinazohusu jambo moja imekuwa sugu jf asa jukwaa hili.
Hasara yake:
Threads nyingine nyingi ambazo zina mambo mengi mazuri pia zinashindwa jadiliwa.
Faida:
Ukweli ni kuwa threads hizo zihusuzo jambo moja zinatofautiana katika uwasilishwaji wake hivyo mfano watu wawili mmoja anaweza wahi kuposti uzi wenye information kidogo na mwingine anaeza leta thread yenye information nondo...
Point of correction;
sijapendezwa na maneno yako ya kukashifu vyuo vya wengine sote mashahidi suala hili tumelichoka na watu wamekuwa wakitukanana sana humu because of that. Tuwe civilized futa hicho kipande tafadhali...

nimefanya hvyo
 
sina maana kwamba hayo siyo maswala yamsingi la hasha, but kunawatu nivinara wakuanzisha thread nyingi ambazo pengine hazna msingi,labda ndo watu tunatumia uhuru wetu kutoa viewS zetu kama hvyo ok ila hata wewe jaribu kucheck hili jukwaa tangu asbuh mpaka jion znafanana mtu anapewa maelezo hapo hapo anaanzisha thread kuyaeleza aliyoelezwa twaenda wap tcu na loan board zmeanza leo au mwaka huu wasomi wanam00d yakitabu? sina chuki ila ushauri tu.
 
Back
Top Bottom