Azam vs Yanga waliocheza vizuri kuliko Al ahly jana

Labani og

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
15,783
24,215
SIMBA NA AL AHLY WOTE WABOVU

Kwa uchambuzi wangu mechi ya Jana ..... tittle ni walicheza sio waliocheza

"Al Ahly na Simba wote wabovu, Yanga akicheza na Simba dakika 45, anamfunga Simba na akicheza na Al Ahly dakika 45, anamfunga Al Ahly, kwa makosa aliyofanya Al Ahly angekuwa anacheza na Yanga, Al Ahly angefungwa goli 3-0, Azam FC walicheza vizuri kuliko Al Ahly, tutaanza kucheza na Simba tuwaonyeshe ubovu wao kisha tutaenda kucheza na Al Ahly tuwaonyeshe ubovu wao"

NB: kama Azam angecheza na Al ahly basi Al hly angepasuka za kutosha
 
NB: kama Al ahly angecheza na Al ahly basi Al hly angepasuka za kutosha
NB: KAMA AL AHLY ANGECHEZA NA AL AHLY BASI AL AHLY ANGEPASUKA ZA KUTOSHA...? HII IMEKAAJE?

NARUDIA TENA: Nionesheni shabiki wa MWIKO NYUMA FC asie na UKABWILI au MWENYE AKILI TIMAMU nami niwaonesheni MBUZI ANETAGA MAYAI.
 
Aya bhana December 1 sio mbali tuombe uzima..
Then urudi hapa..
 
NB: KAMA AL AHLY ANGECHEZA NA AL AHLY BASI AL AHLY ANGEPASUKA ZA KUTOSHA...? HII IMEKAAJE?

NARUDIA TENA: Nionesheni shabiki wa MWIKO NYUMA FC asie na UKABWILI au MWENYE AKILI TIMAMU nami niwaonesheni MBUZI ANETAGA MAYAI.
Umeiona vibaya Mzee ...ni azam
 
SIMBA NA AL AHLY WOTE WABOVU

Kwa uchambuzi wangu mechi ya Jana ..... tittle ni walicheza sio waliocheza

"Al Ahly na Simba wote wabovu, Yanga akicheza na Simba dakika 45, anamfunga Simba na akicheza na Al Ahly dakika 45, anamfunga Al Ahly, kwa makosa aliyofanya Al Ahly angekuwa anacheza na Yanga, Al Ahly angefungwa goli 3-0, Azam FC walicheza vizuri kuliko Al Ahly, tutaanza kucheza na Simba tuwaonyeshe ubovu wao kisha tutaenda kucheza na Al Ahly tuwaonyeshe ubovu wao"

NB: kama Azam angecheza na Al ahly basi Al hly angepasuka za kutosha
Unaandikia udenda wakati Al Ahly wanakuja?Tuliza kipago wewe mtu!
 
SIMBA NA AL AHLY WOTE WABOVU

Kwa uchambuzi wangu mechi ya Jana ..... tittle ni walicheza sio waliocheza

"Al Ahly na Simba wote wabovu, Yanga akicheza na Simba dakika 45, anamfunga Simba na akicheza na Al Ahly dakika 45, anamfunga Al Ahly, kwa makosa aliyofanya Al Ahly angekuwa anacheza na Yanga, Al Ahly angefungwa goli 3-0, Azam FC walicheza vizuri kuliko Al Ahly, tutaanza kucheza na Simba tuwaonyeshe ubovu wao kisha tutaenda kucheza na Al Ahly tuwaonyeshe ubovu wao"

NB: kama Azam angecheza na Al ahly basi Al hly angepasuka za kutosha
Tumekata Receipt baada ya Mechi yenu na Simba na mechi zenu mbili mbele ya Ahly tuone mnavyo wafunga wabovu goli tatu kipindi cha kwanza.Yanga awafunge wabovu maana anayo nafasi ataanza na mbovu Simba Kisha mechi mbili na mbovu Mwingine Al AHLY
 
Back
Top Bottom