Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 1,997
- 7,552
Nilipeleka tangazo la pombe pale kwaajili ya kudhamini matangazo ya mechi za NBCPL na baadhi ya vipindi kwenye channel za Azam Sports 1 na UTV.
Mhusika akanijibu kuwa hawapokei matangazo ya pombe kwakuwa yanakiuka misingi ya kiimani hivyo wamiliki hawataki.
Sasa najiuliza je hao wamiliki kwao pombe ni haramu lakini muziki wa kidunia ni halali? Maana UTV inaweka nyimbo za hovyo na wasanii waliovaa vichupi, tangazo la Hotel Verde pia lina mdada kavaa chupi, je hayo ndiyo yanafaa kiimani?
Nitoe wito kwa wamiliki kuacha unafiki, kama wameamua kufuata maadili waachane na muziki, ndondi, movies za kipuuzi nk. Na kama wanaruhusu hayo waruhusu pia matangazo ya pombe.
ZBC Pia hii inawahusu.