Azam ni Mwembe wetu wa Uani, tunajichumia tu maembe muda wowote

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,467
23,759
Hawa jamaa tunawagonga. Miaka kadhaa mfululizo wamekuwa mdebwedo sana kwetu. Tunawajua na wanatujua. TUNAJUANA. hawana sababu ya kutunyima ubingwa. Niaminini mimi.

Watawachezea hao hao mikia. Ila sisi kwa sisi Azam watapokea kichapo tu.

Tunajua tulifanyalo. Wakifanikiwa hata draw leo nipigwe ban ya siku 3.
 
Fungua tena uzi useme kama Azam atapata sare au kunifunga, kifimbi chako kipo rehani. Wajuba turuke nacho
Unataka filimbi upulize... Haya weka mdomo wako niingize kifilimbi changu upulize. Tegesha mdomo basi nikupe filimbi uipulize ... Kuna demu wangu naye hutumia neno hilo hilo la filimbi au microphone.
 
Hawa jamaa tunawagonga. Miaka kadhaa mfululizo wamekuwa mdebwedo sana kwetu. Tunawajua na wanatujua. TUNAJUANA. hawana sababu ya kutunyima ubingwa. Niaminini mimi.

Watawachezea hao hao mikia. Ila sisi kwa sisi Azam watapokea kichapo tu.

Tunajua tulifanyalo. Wakifanikiwa hata draw leo nipigwe ban ya siku 3
Admin njoo
Labani og
Njoo mchukue mwanzako huyu umpeleke ulipopelekwa ile wiki ya uhuru😂😂
 
Back
Top Bottom