desayi
JF-Expert Member
- Aug 27, 2017
- 3,289
- 5,470
Utopolo Kuna viazi hamna mwenye akili hata mmoja unajidhalilisha IQ ndogoKama ungekuwa na loopholes TFF wasingeshindwa kumhamisha na Azam wasingejificha kumtaka Fei. Mbona hawakwenda CAF Wala cas? Ukweli njia ileile iliyotumika kutatua tatizo la Fei lazima itumike kwa dube pia; presidency. Fei mtanzania alisaidiwa na Rais, je, dube mzimbabwe atasaidiwa na nani kwenye shida inayofanana na ya Fei? Busara na maagizo vitumike.