Awamu za Uongozi Ktk Taifa Letu

ELNIN0

JF-Expert Member
Nov 26, 2009
4,161
1,460
JF,

Tunaweza kufunga mwaka 2009 kwa kukumbushana tu kila awamu priority ilikuwa ni nini, Moja hadi tatu kwa ufupi ni hizi hapa, utata unakuja kwa hii yetu ya nne hadi sasa ni kipi katika hii miaka 4 tutakayoimaliza tunaweza tukiandika kwa ufupi?

Awamu ya Kwanza: iliunda na kujenga umoja wa kitaifa. (Mwalimu)

Awamu ya Pili: ilifungua milango na kupanua uwanja wa ushiriki wa wananchi kwenye uchumi na siasa. ( Mwinyi)

Awamu ya Tatu: kurejesha nidhamu kwenye mapato na matumizi ya Serikali ( Mkapa)

Awamu ya nne: ??? ( tunaweza sema - Maisha bora kwa kila mtanzania? ama ( JK)

Happy NEW YEAR 2010 Wana JF.

 
Back
Top Bottom