MKWEAMINAZI
JF-Expert Member
- May 28, 2023
- 930
- 1,299
Wadau nawasabahi
CCM imekuwa ikiviita Vipindi vya Urais kuwa ni AWAMU.
Kwa kuanzia RAIS NYERERE alikuwa Rais Wa kwanza KUTAWALA ikaitwa AWAMU ya 1na ilikoma Mwaka 1985 .
AWAMU ya Pili ilianza 1985 mpaka 1995 Rais aķiwa MZEE MWINYI na alikuwa na ILANI yake
AWAMU ya TATU ilianza 1995 mpaka 2005 Rais akiwa MZEE MKAPA na alikuwa na ILANI yake
AWAMU ya 4 ilianza 2005 mpaka 2015 Rais akiwa KIKWETE na alikuwa na ILANI yake.
AWAMU ya 5 ilianza 2015 mpaka 2025 Rais akiwa MAGUFULI na alikuwa na ILANI take lakini alifariki na Makamu wake RAIS SAMIA akashika USUKANI mpaka 2025.AWAMU huanza kwa kufanya UCHAGUZI na CCM imekuwa na
UTARATIBU wa RAIS kuhudumu VIPINDI 2 yaani MIAKA 10 na kila AWAMU ina ILANI yake ya UCHAGUZI.
Naomba kuuliza
Kwanini Utawala uliopo MADARAKANI unaitwa AWAMU ya 6 wakati HAKUJAFANYIKA UCHAGUZI?
Naomba kujuzwa Utawala uliopo Madarakani unatumia ILANI gani? Na kama inatumia ILANI ya 2020/2025 mbona hiyo ni ILANI ya AWAMU ya 5 na yenyewe inasema AWAMU ya 6?
Je, ni sahihi kusema UTAWALA uliopo ni MUENDELEZO wa UTAWALA wa AWAMU ya 5 na ILANI ya AWAMU ya 5?