Awamu ya pili hatihati kukosa mkopo!!!!

Akwisombe

Member
Jul 13, 2013
23
3
Habar zenu wanajamv,nimeongea na dada flani hv ambayo yuko fld anadai kwamba wanafunz wanaoapply second round ya tcu huwa wanakua katka risk kubwa ya kukosa mkopo.Inakaaje hii wadau? kuna ukwel wowote hapa??
 
Yaweza kuwa coz ht kwenye zile two boxes za mwisho kwa wale walomiss first round selection ambazo unatakiwa kuzimark kabla ya kucomfirm selection yako wameandika hv i understand that loan is not guaranteed to my selected coarse sa sijajua pamekaaje hapo
 
Habar zenu wanajamv,nimeongea na dada flani hv ambayo yuko fld anadai kwamba wanafunz wanaoapply second round ya tcu huwa wanakua katka risk kubwa ya kukosa mkopo.Inakaaje hii wadau? kuna ukwel wowote hapa??

Mar 11:22
 
ukweli ni kwamba watu wanaoappy second round kwny tcu hawawezi kupata mkopo kutokana na majina yaliochaguliwa first selection yanaenda kwny board ya mkopo baada ya kuchaguliwa na tcu kwaiyo kuhusu mkopo never hyo ndio systm ya board wanavyofanyaga kla mwaka coz wa2 waliochaguliwa frst selectin kuna wengne watakosa kwahyo watakuwa kwnye bench la pili kwny board ya mkopo! Lakn muombeni sana mungu vjana!! Thanx
 
naomba nifahamishe hiyo 2nd round ya tcu ndo ikoje?
 
ukweli ni kwamba watu wanaoappy second round kwny tcu hawawezi kupata mkopo kutokana na majina yaliochaguliwa first selection yanaenda kwny board ya mkopo baada ya kuchaguliwa na tcu kwaiyo kuhusu mkopo never hyo ndio systm ya board wanavyofanyaga kla mwaka coz wa2 waliochaguliwa frst selectin kuna wengne watakosa kwahyo watakuwa kwnye bench la pili kwny board ya mkopo! Lakn muombeni sana mungu vjana!! Thanx

2subiri na 2one
 
kwa mujibu wa niliyo yasikia kutoka kwa m2 Wakaribu kutoka Tcu nikwamba mtandao uli jam,wakaona ni bora wengine waombe upya,ila aina uhusiano wowote na mkopo,
 
ukweli ni kwamba watu wanaoappy second round kwny tcu hawawezi kupata mkopo kutokana na majina yaliochaguliwa first selection yanaenda kwny board ya mkopo baada ya kuchaguliwa na tcu kwaiyo kuhusu mkopo never hyo ndio systm ya board wanavyofanyaga kla mwaka coz wa2 waliochaguliwa frst selectin kuna wengne watakosa kwahyo watakuwa kwnye bench la pili kwny board ya mkopo! Lakn muombeni sana mungu vjana!! Thanx

Siyo kwel mkuu hata 2nd round unaweza kupata mkopo kama TCU watakuwa wamepeleka jina.kuna washikaji zangu walifanya 2nd aplication na wanakula mzigo wa bum kama kawa.ila waombe mungu tu coz ni sadakalawe...
 
Sio sadakalawe wala nini mi na two yangu MUHAS waniteme second round nitupie UDOM nikose mkopo,nani kasema ukiona umekosa ujue;1.una point za kubahatisha 2.Course uliyochagua haina manufaa SANA kwa taifa
 
Back
Top Bottom