Fitinamwiko
JF-Expert Member
- Aug 13, 2012
- 4,803
- 1,416
Tuliona gazeti la Mwanahalisi likifungiwa kwa habari ya kiuchunguzi inayomuhusu mtumishi wa serikali kushiriki kumteka Dr.Ulimboka. Tunafuatilia kesi ya mauaji ya mwandishi Mwangosi, ujanja na viinimacho vinatawali kumlinda cop killer.
Zaidi ya miezi 6 imepita kwa watuhumiwa wanaojulikana, hakuna lolote la maana likiendelea. Police wanazidi kuua raia wema, na watekaji wameibuka kumwangamiza mwanaharakati mwingine.
Uongozi DHAIFU unadhani, mbinu hii ya woga na vitisho ni mbadala kutu shut down sisi wanaharakati.