Avatar nizipendazo ....

duhhhhhh
asante ..
Kwanini wataka kujua kuhusu wazazi wangu wanapoishi ??

I am just curious. Your avatar makes me hooo...............t! I don't mean to offend you... The pretty-face makes me think of the true AD much more...., and even beyond the thread. I like everything about you, avatar, the name (AD), the long eyelashes, the sweet lips, the thread, aah!!!!!...................
 
endeleeni kuchangia.mi napita hapa kila siku nakuta watu wanachangia out of point.lakini ukweli ni kwamba avator yangu nyote mnajua kuwa imewafunika.mia
 
maneno matamu sana hayo..
ngoja nichukue muda kuyameza ..
sante sana dear ..
 
endeleeni kuchangia.mi napita hapa kila siku nakuta watu wanachangia out of point.lakini ukweli ni kwamba avator yangu nyote mnajua kuwa imewafunika.mia

kabisa mkuu hiyo 100 inamaanisha nini??
Hapa chit chat haina shida kwenda nje ya topic...
Karibu tena..
 
hahahahahahaah lohhh
mwanamke au mwanaume??
hiyo ni makeup au mask...??

Hiyo picha ni baada ya bwana harusi kuingia mitini siku ya halusi, ameweka rekodi ya kuwa ni biharusi pekee ambae akikasirika anapendeza zaidi kuliko akismile. kama unabisha mgoogle
 
hahahahahahahahah loohh
mwehhhh nimeshindwa kusema..
 
Back
Top Bottom