Tunzo
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 4,024
- 2,299
Yes utapeli umefanyika ofisi kwao tena msuya akiwa ndio mhusika mkuu alisema anafanyia kazi autocom kumbe alifukuzwa muda mrefu Sanaa akaniunganisha kwa meneja wa autocom nikafika ofisini tukachangua gari ss kilichotokea kumbe meneja ameweka hela kwny account yake hrf anasema amelipia tayari gari kumbe sio baada ya kuona cku zimefik za kupokea documents tunapiga cm hawapokei Wala huyo msuya nikaenda ofisini kumbe ofisi wamehamisha cm zao hazipatikani na sio wamedhurumu mteja 1 ni zaidi ya wateja 12 wote hao msuya akiwapelek kwa meneja na akichujua wanachokifanya.meneja alitoka ila alikamatwa Yuko polisi ila na msuya nae alikamatwa kwa utapeli akarudisha hela ya mteja ambae alikuwa amechukua hela.
Sent using Jamii Forums mobile app
Du hii itawavurugia sana ile kampuni.. inaelekea kwa sasa kumejaa matapeli pale, nasikia kuna dada mmoja pale nae alishawahi kukinukishwa kwa wateja akawapiga sana, hiyo niliambiwa na mfanyakazi wa pale, kajamaa flani kafupi keupe ndio kaliniambia.
Na ndio mana nilivyopeleka hiyo mada kwenye group lao aisee nilitolewa mkuku sekunde hiyo hiyo