Australian Open:The Grand Slam Of Asia/Pacific

....wanaanza visingizio, "ooooh back injury", oooh "niggling pains",...pretenders bwana,

...haweshi sababu hawa. Ngoja nikapate istaftahi sasa, jioni kuna mtanange wa kufa mtu Emirates :D
Hawakosi sababu wanaposhindwa hawa, nafikiri ndio walichorithisha wanasiasa wetu wakati wa ukoloni....hovyo sana!
 
Murray still has a very long way to go before taking a grand slam, there're too many good players to compete against!

...kwa form alokuwa nayo sasa, only Federer na Nadal wanaweza kumzuia,...aombee tu waumie hawa wawili labda ataambulia US Open, au French Open (Rolland Garros),....Wimbledon sijui!

Murray still has a very long way to go before taking a grand slam, there're too many good players to compete against!

Dogo kweli bado hajawiva na kuwa na backbone ya kustahili kuchukua grand slam. Asubirie era ya akina Fed na Nadal ipite au a-raise game yake kwa sana.
 
...kwa form alokuwa nayo sasa, only Federer na Nadal wanaweza kumzuia,...aombee tu waumie hawa wawili labda ataambulia US Open, au French Open (Rolland Garros),....Wimbledon sijui!

Sio mzuri kwenye clay court, kwa hiyo sio rahisi kwa French Open....nafikiri chance yake kubwa ni US na Australian open maana anacheza vizuri kwenye hard court.
 
Dogo kweli bado hajawiva na kuwa na backbone ya kustahili kuchukua grand slam. Asubirie era ya akina Fed na Nadal ipite au a-raise game yake kwa sana.
Nadal bado yupo around kwa sana maana ni age-mate wake, labda hizo injuries ndio zimrudishe nyuma. Nadal is a clear candidate to take on Federer's reign , the only worry is about his knees injuries!
 
Dogo kweli bado hajawiva na kuwa na backbone ya kustahili kuchukua grand slam. Asubirie era ya akina Fed na Nadal ipite au a-raise game yake kwa sana.

...atasubiri sana, Tim Henman naye alisubiri sana enzi za kina Agassi na Sampras, zipite akaishia kuadhiriwa na veteran mwingine, Goran Ivanisevic na wakati huo ndio Federer anaibuka!

Tatizo la hizi games za kileo zinahitaji nguvu na speed sana, Soon tutamuona Murray anaishia kwenye treatment table kama Nadal wakati 'wapya' wanaibuka toka ulaya mashariki!

Waingereza wapunguze hype wanayowapa hawa kina Andy Murray.
 
Roger-Federer-Australian-Open-trophy-2010_2413685.jpg
 
...Waingereza wapunguze hype wanayowapa hawa kina Andy Murray.

Waingereza wapunguze hype? Haiwezekani. Ndivyo walivyo.
Hao English people wanamfagilia huyo Mscottish kuwa 'the first male British' blah blah blah...
Angekuwa ni wa England wangesema 'the first Englishman' siyo 'the first British'.

Ila nahisi hatimaye Murray atapata title fulani ya Grand Slam kama US, Australia au Wimbledon.

Pia age-mates wake wakali ni wengi. Kuna mkali wao Nadal (ila injuries zinaweza kummaliza), na akina Djoko na Del Porto. Hao wote wameshapata Grang Slam titles.
Kali zaidi ni kuwa Fedex mwenyewe bado yupo sana tu.
 
Back
Top Bottom