Aunt Ezekiel, kunani?

Mkereketwa_Huyu

JF-Expert Member
Feb 19, 2011
9,268
6,391
Jamani kuna fununu zimetoka hivi punde juu ya Mbilikimo Aunt Ezekiel kufumaniwa hapo majuzi. Najuwa kwa sasa hapa Bongo limekuwa ni jambo la kawaida kwa walio wengi kutoka nje ya ndoa kwani imekuwa ni fashion. Kinachonishangaza ni kwamba ni majuzi tu hapa huyu mbilikimo kaolewa (milioni 80+) na sidhani hata kama siku 30 zinafika toka afunge hiyo pingu ya maisha, yaani leo hii aje kuvuliwa chupi na jibaba wa nje tena, hata nyege hiyo nyege gani? Mademu wa kibongo bwana, kweli thamani iko chupini.​
unt.jpg
 
KIU ndo source ya habari!!
Peleleza tofauti ba gazeti ndo ulete full, wenzako labda wamevuta mkwaja
 
Mbona mleta habari kama na wewe unabifu nae kichizi Source ;Unavyotiririka.
 
Mambo ya magazeti hayo.........

nawezakusema hilo ni sawa kwamba ni mambo ya magazeti but ikiangalia kiuhalisia ni kwamba aunt hajatulia hata kidogo, kwani haujaona jinc anavyofanya mambo ya kishenz amboyo yanafanya kuendelea kuwadhalilisha wanawake hususa ni wale ambao wameolewa kwan huwafanya waonekane sio waaminifu kwenye ndoa zao.
 
ukipata mchumba kwenye Bar au kirabuni unategemea nini hapo? matokeo yake ndio hayo
 
nawezakusema hilo ni sawa kwamba ni mambo ya magazeti but ikiangalia kiuhalisia ni kwamba aunt hajatulia hata kidogo, kwani haujaona jinc anavyofanya mambo ya kishenz amboyo yanafanya kuendelea kuwadhalilisha wanawake hususa ni wale ambao wameolewa kwan huwafanya waonekane sio waaminifu kwenye ndoa zao.

Tangu hapo asilimia kubwa siyo waaminifu!
 
Mazingira ulikompatia mchumba wako ndio mazingira yatakatofanya muachane.
 
Aliyefumania Nae NI Mwizi Jamaa Ana Mke wake wa Ndoa kamtelekeza.
Yvonne acha kumchafua mwenzio wote ni mahawala wa muda mrefu.
mbona Mama Rico wewe kakuachia bila ugomvi.
 
MasHauzi ya kufanya send off ya millioni 80 huku kapanga mwananyamala upande wa vyumba viwili na mwanaume mwenyewe aliemuoa ni mfanya massage kwenye saloon za Dubai,bongo movie bwana akili hawana kabisa wanapenda kuishi kwa maigizo
 
Duh!!! Mie simo! Ndoa bila mwanaume kuja wala kufanya tendo sio ndoa. Aunt hajaolewa bana. Pigeni tu.

Halafu huyu bwana wanadai anauza Unga sijui kweli?
 
Hata ndoa za Bongo Movie ni za fashen tu, mpaka idad ya wanaowatongoza ipungue yan wazeeke ndo watadumu kwenye ndoa zao, otherwz ndoa maigizo na kutambiana zitaendelea kuwepo.
 
Hii ni Movie mpya inayotaka kutoka au ndio hali halisi? maana mimi hawa siwaelewagi ni muda gani wako serious.
 
MasHauzi ya kufanya send off ya millioni 80 huku kapanga mwananyamala upande wa vyumba viwili na mwanaume mwenyewe aliemuoa ni mfanya massage kwenye saloon za Dubai,bongo movie bwana akili hawana kabisa wanapenda kuishi kwa maigizo

fahari ndie mama wa ujinga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom