Augustino Mrema kafunga wangapi?

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,412
huyu mzee ni mwenyekiti wa bunge kamati ya halmashauri za wilaya (naomba ni-correct kama nimekosea)
alianza kwa kasi akidai atafunga wafanyakazi wengi walioiba hela za serikali
lakini nashangaa yuko kimya,,je alifanikiwa kumfunga mtu yeyote?
 
sio kazi yake kfunga watu, and how can he do that, kazi yake ni kagua mahesabu ya serikali za mitaa any problem anawakilisha bungeni,
 
Lakini pia kamati yake ina mamlaka ya kuwaamuru walifuja mali za halmashauri wakatwe mishahara ili kufidia. Sijui amewafanyia wangapi hivyo
 
sio kazi yake kfunga watu, and how can he do that, kazi yake ni kagua mahesabu ya serikali za mitaa any problem anawakilisha bungeni,

unakumbuka alivyomkalia kooni mkurugenzi mmoja kutoka same??alidai lazima afungwe,nafikiri ni wajibu wake
 
Alimfunga john mrema wa chadema kule vunjo katika uchaguzi mkuu 2010 kwa kupata kura nyingi sana.
 
Kamfunga mkurugenzi wa halmashauri na bunge wa chadema john mrema kwenye uchaguzi2010 kwa kura nyingi sana.
 
mkuu hii kazi yake ya kamati ya bunge serikali za mitaa alidai atafunga wengi,achana na mambo ya uchaguzi
 
huyu mzee ni mwenyekiti wa bunge kamati ya halmashauri za wilaya (naomba ni-correct kama nimekosea)
alianza kwa kasi akidai atafunga wafanyakazi wengi walioiba hela za serikali
lakini nashangaa yuko kimya,,je alifanikiwa kumfunga mtu yeyote?

Ni mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya bunge ya serikali za mitaa mkuu.Ofcourse wakati anaongea kisukari kilikuwa juu na kwahiyo hakujua anaongea nini.......kama JK mwenyewe anagwaya wewe utaweza?
 
Kamati nzima ilihongwa na wakurugenz wote wakawa kimiaa. Kafulila alitaka kuwalipoa bungen... Nae kama mwnykt wke mrema wote wakawa kimiaa! Njaa noma
 
Back
Top Bottom