Augustine Matefu wa UVCCM aonja joto la rushwa

Lupweko

JF-Expert Member
Mar 26, 2009
20,693
20,454
Yule kijana ambaye ni muhudhuriaji maarufu katika vipindi vya Malumbano ya Hoja vya kituo cha Televisheni cha ITV, Bw. Augustine Matefu, hatimaye walau sasa amejionea ni kwa nini CCM kinaitwa chama cha ufisadi na rushwa. Kijana huyo mara nyingi amekuwa akiwa upande wa serikali ya CCM katika malumbano ya hoja mbalimbali huku akitumia nguvu zake zote kuhakikisha CCM haikosolewi katika malumbano

Lakini leo hii katika taarifa ya habari ITV, Matefu ameonekana akilalamika kwa uchungu juu ya matokeo ya uchaguzi wa UVCCM pale Dodoma huku akisema wazi kuwa waliochaguliwa walimwaga fedha za rushwa na alimshutumu waziwazi Martin Shigella.

Bila shaka hilo ni fundisho kwa vijana wengine ambao wamekuwa wabishi wanapoambiwa kuwa CCM bila rushwa hakuna ushindi. Pole Matefu, ila sitegemei kukuona ukiitetea tena CCM mle studio kwenye malumbano!
 
Da watu kama hawa wakibadilikaga wanasaidia sana. Karibu kijana M4C bado damu inachemka.
 
Yule kijana ambaye ni muhudhuriaji maarufu katika vipindi vya Malumbano ya Hoja vya kituo cha Televisheni cha ITV, Bw. Augustine Matefu, hatimaye walau sasa amejionea ni kwa nini CCM kinaitwa chama cha ufisadi na rushwa. Kijana huyo mara nyingi amekuwa akiwa upande wa serikali ya CCM katika malumbano ya hoja mbalimbali huku akitumia nguvu zake zote kuhakikisha CCM haikosolewi katika malumbano

Lakini leo hii katika taarifa ya habari ITV, Matefu ameonekana akilalamika kwa uchungu juu ya matokeo ya uchaguzi wa UVCCM pale Dodoma huku akisema wazi kuwa waliochaguliwa walimwaga fedha za rushwa na alimshutumu waziwazi Martin Shigella.

Bila shaka hilo ni fundisho kwa vijana wengine ambao wamekuwa wabishi wanapoambiwa kuwa CCM bila rushwa hakuna ushindi. Pole Matefu, ila sitegemei kukuona ukiitetea tena CCM mle studio kwenye malumbano!

Hapa sasa hivi bila kupitisha zile za kichina2 risasi uwanjani aisee hatufiki kokote!! hata hilo liuchaguzi likubwa
litakua halina kazi ni malumbano na ukosefu wa amani tu, na huku mijihela kibao ya ndani na nje ya inchi yakiwa
yameshapotea.
Risasi ndio muokozi wetu juu ya rushwa, mdomo mtupu hautufikishi popote!!!
 
Yule kijana ambaye ni muhudhuriaji maarufu katika vipindi vya Malumbano ya Hoja vya kituo cha Televisheni cha ITV, Bw. Augustine Matefu, hatimaye walau sasa amejionea ni kwa nini CCM kinaitwa chama cha ufisadi na rushwa. Kijana huyo mara nyingi amekuwa akiwa upande wa serikali ya CCM katika malumbano ya hoja mbalimbali huku akitumia nguvu zake zote kuhakikisha CCM haikosolewi katika malumbano

Lakini leo hii katika taarifa ya habari ITV, Matefu ameonekana akilalamika kwa uchungu juu ya matokeo ya uchaguzi wa UVCCM pale Dodoma huku akisema wazi kuwa waliochaguliwa walimwaga fedha za rushwa na alimshutumu waziwazi Martin Shigella.

Bila shaka hilo ni fundisho kwa vijana wengine ambao wamekuwa wabishi wanapoambiwa kuwa CCM bila rushwa hakuna ushindi. Pole Matefu, ila sitegemei kukuona ukiitetea tena CCM mle studio kwenye malumbano!

Dogo anatokwa na mapovu kama ndicho alichosomea.tupa kule yule mwenzake sijui aitwa asenga na siasa zao za kwenye Tv.
 
Yaani wacivyokuwa na aibu wamem-dump mpaka mtoto wa muasisi wa taifa...! Kweli ccm hapo ilipofika haina tena breki.. Huyo Matefu ndo ajue kwanini ccm haipendwi hata kidogo..
 
pole matefu, huwa unaboa ile mbaya unapotokwa mapovu kuitetea ccm, karibu tuikomboe nchi.
 
hizo hela naomba kuuliza wanazitoa wapi? au wanaenda kuzichuja BOT? maana benk yenyewe imejaa watoto wa vigogo watupu maana you wonder uchaguzi wa nec, uwt na uvccm zote ni mamillions yametumika...wanatoa wapi hela..au tumuulize gavana wa bot?
 
Huyu ndio alikua analalamika sana
paul.JPG

Lakini Augustine Matefu Aliyejifanya Mpemba pale Ubungo plaza kwenye maoni ya mchakato wa katiba.
attachment.php

Matefu.JPG
 
Dogo anatokwa na mapovu kama ndicho alichosomea.tupa kule yule mwenzake sijui aitwa asenga na siasa zao za kwenye Tv.

Hawa jamaa ni vilaza sana huyo asenge si ni yule anayevaa ga matambaa shingoni kama kaka yake mgulu?
 
Yule kijana ambaye ni muhudhuriaji maarufu katika vipindi vya Malumbano ya Hoja vya kituo cha Televisheni cha ITV, Bw. Augustine Matefu, hatimaye walau sasa amejionea ni kwa nini CCM kinaitwa chama cha ufisadi na rushwa. Kijana huyo mara nyingi amekuwa akiwa upande wa serikali ya CCM katika malumbano ya hoja mbalimbali huku akitumia nguvu zake zote kuhakikisha CCM haikosolewi katika malumbano

Lakini leo hii katika taarifa ya habari ITV, Matefu ameonekana akilalamika kwa uchungu juu ya matokeo ya uchaguzi wa UVCCM pale Dodoma huku akisema wazi kuwa waliochaguliwa walimwaga fedha za rushwa na alimshutumu waziwazi Martin Shigella.

Bila shaka hilo ni fundisho kwa vijana wengine ambao wamekuwa wabishi wanapoambiwa kuwa CCM bila rushwa hakuna ushindi. Pole Matefu, ila sitegemei kukuona ukiitetea tena CCM mle studio kwenye malumbano!

Kalikuwa kamelewa sifa kutoka kwa wakubwa,sasa ameona kwanini watu wengi wake kwa waume waliosoma na amba hawajasomeshwa na serikali ya ccm wanaichukia sana CCM.
 
Bora tuige ya wachina. Twende kwa mtindo wa risasi tu. Kiongozi akithibitika kula rushwa au kuingia mikataba ya maslahi binafsi.
 
umepatia vema mkuu sasa kama vijana wadogo ambao tunawategemea walipeleke hili taifa 50 yrs mbele mawazo mgando we ve along way to Go.:nimekataa
 
Back
Top Bottom