Atunukiwe PhD Mwl. Christopher Mwakasege

Dr. christopher Mwakasege, docta ya heshima haijaanza tanzania,hata obama anazo za kutosha,kina mugabe,zuma,bill gates,na wengi wanazo,dr moses kulola. kwahiyo vyuo husika vikichunguza na kuona mchango wake waweza mpa.tunaomba waangalie mchango wake kwa umakini.ni heshima pia. huyu mwalimu mwakasege anakiawa pekee ,na mafundisho yake anaongozwa na nguvu ya mungu. yupo nafasi ya juu zaidi ya wengi wao wanaojiita manabi sikuhizi, maana hawana la ziada la kuonesha kama ni nabii.

Hivi mtu anapata wapi mamlaka ya kujiita mtume na nabii?

Au huwa nani wanawapa hayo majina? Waumini au? Naomba kujuzwa hili mkuu.
 
Mwakasege ni nani? Nisaidieni

Ni mwalimu wa neno la Mungu,ana huduma yake ya MANA,anaishi Arusha mjini,ameoa ana watoto wanne (kama sijakosea) mmoja nilisoma naye(Sarah) very bright

-Tangu nimfahamu Hajawahi kutanga tanga kwenye makanisa tofauti tofauti wala kujikweza kwa kujiita Catterpillah,Transformer,Muasisi wa Manabii Tanzania,Greda,Bulldoza,Tractor,wala hata Genereta lakini pia hajawahi kujiita Mlima wa moto,Fukuto,Futuhi,Siloam....n.k

-Anasali KKKT usharika wa kijenge na akiwa ibadani utafikiri hayupo kwasababu ni msharika wa kawaida kama mimi,hana kiherehere cha kujionesha onesha na pia anawaheshimu sana wachungaji wake.
 
mambo ya Mungu aynajulikana sana kwa namna ya rohoni.
Vyeo vya Kimungu ni tofauti na vya duniani, na ndio mana ikasemwa aliye mdogo duniani ndiye mwenye cheo mbinguni.

daraja lake mbele za Mungu ni kubwa zaid kuliko PHD ama uprofesa wa dunia hii
 
ok twaweza muita Dr.
lakini
kumbukeni vyote anavyofanya vinatoka juu...
purposely to people being from The Living God himself.
Uskute kwa Mungu bado ndo kwanza safari ndo inaanza..
So vitu vyenye Mungu ndani yake usikimbilie kuvipima
 
yaani nyie majamaa akili zenu sijui mnazifichaga kwenye soksi ili zisidondoke maana mambo yenu yapo mbali mno na ukawaida

#Zitto
 
Mwaka kesho utakuwa mchungaji naona umeshika na majina ya watu wa Mungu.Na mimi natamka damu ya yesu ikuokoe na uwe mtumishi mwema.


KONDOO MTATA ktk BIBLIA ni YUDA ESCALIOTY... maybe iz ur brother MNAFIKI kama ww MUONGO na TAPELI
 
Mungu alichomtunuku kinatosha asije akaharibu kilibhopo ndani ya moyo wake. Nautambua sana mchango wake lakini Mungu atosha. Matendo anayoyafanya cyo yeye ni Mungu hivyo wa kuitwa Dr. ni Mungu. Tusimjengee roho ya kujiinua tukaharibu kusudi la Mungu. Nimesikia wengine wakijiita Mtume na Nanabii mkuu Tanzania, Dr ...hiyo ni roho ya kujikweza.
 
Hivi mtu anapata wapi mamlaka ya kujiita mtume na nabii?

Au huwa nani wanawapa hayo majina? Waumini au? Naomba kujuzwa hili mkuu.

Soma vizuri biblia.sikumbuki ni warumi ngapi,anaekumbuka hapa atanisaidia
Inasema kuwa 'nae aliwatoa wengine kuwa mitume, manabii,walimu,waunjilisiti na wachungaji......

Sasa kuitwa ni moja na kujua umeitiwa nini Kati ya hizo Huduma hapo juu ni suala la pili, lazima utafute uso wa Bwana,yaani umuulize Mungu umeniitia kipengele kipi!!
Kwahiyo sio suala la watu kukupa jina au kukuita. Bali roho yuleyule aliyemfufua Yesu Kristo kutoka wafu atakushuhudia ndani yako kuwa Mungu anataka kukutumia kwenye kipengele kipi hapo.

Kama ambavyo unajua mwakasege ni mwalimu, ulijuaje?!
Yeye baada ya kujua ni nani ndo na sisi tukajua, tusingeanza kumwita tu mwalimu bila yeye kujua na kujitambulisha...ndo maana huwa anasisitiza kuwa yeye ni mwalimu kwasababu kuna ambao huwa wanakosea wanamwita mchungaji!
 
Ally Kombo chezea wengine sio Mwakasege nakupa tahadhari la sivyo muda kama huu mwakani utakuwa mchungaji.Waulize waliomletea vurugu Mwanza mashekhe na waganga sasa hivi ni wachungaji.Wewe kama unataka kuendelea na ushekhe achana na mtumishi wa Mungu.

mkuu walimfanyaje npe news kamili au link
 
Huyo ni mbunge ajae wa Arusha Mjini

Sahau hiyo...haitakaa itokee mpaka anaingia kaburini...
Na kama huwa unamfuatilia mafundisho yake,ndo tumemaliza wiki iliyopita hapa dar,na alisema Mungu alipomuita ili amtumie,Kati ya vitu alivyomtahadharisha,'ni kutokuwa mwanasiasa'
Yeye na mkewe na anasema kazi yake ni kutii!!
 
Back
Top Bottom