Atumie njia namba ngapi

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,229
ili afikie ile keki kwenye sahani
14396_509661912385195_702912445_n.jpg
 
namba 3....lakini.....atakulaje cake ambayo hajaibake yeye.....? kwanza sio cake ni cheese......
 
1inarudi kwa 2 and vs!but only number 3 can anable this hungry mouse to reach the sweet cake to fill its empty big belly.

Unaweza anza na namba 2, zikikutana kwenye namba 1 au 3 unapinda na kuunganisha straight kwenye keki.
 
Anaweza akaruka samba soti (a.k.a kuruka kavu) na moja kwa moja anafika na kula keki bila kupitia njia yeyote
 
Back
Top Bottom