Atheists tulionekana wa ajabu sana!

Wakuu ratiba inanikamata tu nashukuru kwa wachangiaji tuliopande mmoja kwa majibu mazuri
 
Safar ni ndefu sana!! Nashauri wapige biological food kias kwamba akili zimechakaa!!
 
........alimuumba ili kuthibitisha uweza, nguvu, na mamlaka yake kwa mwanadamu
Ndio maana nasema Mungu hawezi kuwepo,....Anashindwa kujidhihirisha kwa watu hadi aumbe vitu vibaya kama Shetani?

Hawezi kujidhihirisha kwa njia za amani?

Lengo la kuthibitisha kwa watu ni nini?
 
Na ndiyo maana tunataka uthibitisho na si mitazamo yako.

Vinginevyo suala la kusema hakuna litakuwa ni imani kama imani zengine,maana hata imani ina sababu zake sasa na wewe huwezi kuishia kutueleza sababu za kukufanya uwe na mashaka na uwepo wa mungu halafu ndiyo hivyo ukweli kuwa hakuna mungu.
 
Kama Mungu angekuwepo mijadala kama huu isingekuwepo.
 
Ndio maana nasema Mungu hawezi kuwepo,....Anashindwa kujidhihirisha kwa watu hadi aumbe vitu vibaya kama Shetani?

Hawezi kujidhihirisha kwa njia za amani?

Lengo la kuthibitisha kwa watu ni nini?
....Mkuu naona hatuelewani tuanzie hapa kwanza
Ni kwanini wewe huamini kama kuna MUNGU?
 
Wakuu salama, Kwanza kabisa nianze kwa kusema Elimu pekee ndio itakayomkomboa Mwanadamu katika sayari hii, Uwezo wa kutatua changamoto upo ndani yake mwenyewe, Hakuna Msaada wowote utakaotokea anga za juu kuja kusaidia hapa Dunia Hivyo Binadamu ni Mungu tosha kabisa ni Maarifa na yanazidi kupanuka na kukiweka Huru kiumbe Hichi, Miaka kadhaa nyuma Baadhi ya sisi atheists humu tulionekana watu wa ajabu kwa imani Yetu kuwa Hakuna Mungu, Mkuu Kiranga ana thread moja imefikisha almost 3K Comments za Believers wakimshambuliwa kwa matusi nae akiwajibu kwa hoja.

Taswira ya Jf sasa iko tofauti kabisa Watu kiukweli wametoka kwenye vifungo na kwa sasa wengi ni Free thinker ata kama Anaamini katika Mungu ila yuko tayari kusikiliza sera za wasio amini na kuchambua kidogo.

Tuliwahi ongea apa kwamba Mungu huyu tunaemsoma makanisani au Misikitini Hawezi kuwepo hata kwa bahati mbaya mana sifa tunazomjaza hayuko nazo hata punje .NakaribiSha mijadal zaidi.

Cc Free ideas Doyi Kiranga nusuhela @Areta ludovick Kifyatu
Hivi kwanini hauamin kuwa Mwenyezi Mungu yupo na anatusaidia sana eti kwanini..????
 
Mi nilishajitenga na mafundisho kuhusu huyo aliyewaumba!

Walionileta duniani nawajua (wazazi) na nina ushahidi tosha kuwa wao ndio!

Kuhusu hizi hadithi za kufikirika nilishaachaga kujishughulisha nazo na wala sidhuriki!

Wanatumia jina lake kujiingizia kipato.....Sijawa zuzu wa kulaghaiwa kwenye huo utapeli wa kutishana kana kwamba wao walishawahi kukanyaga ardhi ya "huyo muumba" kisha wakarudi duniani kutupa ushuhuda!

Wiizi tu!
 
Hivi unataka kusema hata wewe umekuwa atheist kwa hoja kama hizo unazonitajia hapa?
Mimi tangu nikiwa na miaka minne, hii Idea ya Mungu iligoma kabisa kuniingia akilini.
Simfuati mtu yeyote yule,....Hakuna mtu aliyewahi kunishawishi juu ya kutokuwepo kwa Mungu,
Nilitafakari mwenyewe tangu nikiwa mdogo kabisa juu hili jambo lakini baada ya kukosa logic nikalitupilia mbali.
 
Wakuu salama, Kwanza kabisa nianze kwa kusema Elimu pekee ndio itakayomkomboa Mwanadamu katika sayari hii, Uwezo wa kutatua changamoto upo ndani yake mwenyewe, Hakuna Msaada wowote utakaotokea anga za juu kuja kusaidia hapa Dunia Hivyo Binadamu ni Mungu tosha kabisa ni Maarifa na yanazidi kupanuka na kukiweka Huru kiumbe Hichi, Miaka kadhaa nyuma Baadhi ya sisi atheists humu tulionekana watu wa ajabu kwa imani Yetu kuwa Hakuna Mungu, Mkuu Kiranga ana thread moja imefikisha almost 3K Comments za Believers wakimshambuliwa kwa matusi nae akiwajibu kwa hoja.

Taswira ya Jf sasa iko tofauti kabisa Watu kiukweli wametoka kwenye vifungo na kwa sasa wengi ni Free thinker ata kama Anaamini katika Mungu ila yuko tayari kusikiliza sera za wasio amini na kuchambua kidogo.

Tuliwahi ongea apa kwamba Mungu huyu tunaemsoma makanisani au Misikitini Hawezi kuwepo hata kwa bahati mbaya mana sifa tunazomjaza hayuko nazo hata punje .NakaribiSha mijadal zaidi.

Cc Free ideas Doyi Kiranga nusuhela @Areta ludovick Kifyatu
Suala la Dini au Imani it is so complicated though it's difficult to prove directly the existence of God lkn karibu kila jamii inaamini kuna powers that guides us on our daily lives,thats where God comes out provided it's Almighty God of whom I trust , Buddha or etc, kusema hakuna Mungu kabisa bado napata ukakasi!
 
Mimi tangu nikiwa na miaka minne, hii Idea ya Mungu iligoma kabisa kuniingia akilini.
Simfuati mtu yeyote yule,....Hakuna mtu aliyewahi kunishawishi juu ya kutokuwepo kwa Mungu,
Nilitafakari mwenyewe tangu nikiwa mdogo kabisa juu hili jambo lakini baada ya kukosa logic nikalitupilia mbali.
Kwanza hii story unaipenda kweli et tangu una miaka minne ulianza kutafakari habari za mungu....tafuta wa kuwaongopea.

Halafu bado wewe ni mfuata mkumbo tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom