ATCL yawasimamisha kazi wafanyakazi zaidi ya 150

Nilivyopata habari ni more than 150 ya wafanyakazi ndio wamechishwa kazi walio baki ni mmoja officen na mwingine uwanjani. bado nafuatilia kwa ukaribu kupata details vizuri na kuna mtu namtafuta huko Zanzibar aniambie je nako hilo tukio limetokea kwenye office za AIR Tanzania??

...ATC ilikuwa na wafanyakazi 350, waliopewa barua za kuachishwa kazi ni 200 tu na hao 150 waliobaki wataendelea na ajira zao pindi huyo mchina akichukua hilo shirika...
 
cha ajabu zaidi wamepunguza mpaka mapilot wakati wa pilot waliopo hawatoshi

Wewe unataka mapilot wangapi maana mpaka sasa nafikiri wanakarusha kandege kamoja to dash 8 kama sijakosea! Mapailot 10 ndege moja wapi na wapi? Maboing yamelala tuu hamna lolote wacha wapunguzwe if they are real qualified then waende mashirika mengine ya ndege yapo mengi sana
 
Kumbe ndiyo maana walimhamisha mshkaji wao mataka ili aisije kukosa kazi..

duh..

Gembe,
Kama ulikuwepo mpwa, Mataka Huyo huyo ndie aliye ipindisha NSSF miaka ya nyuma na ikaanza kudoda wakamchomo mapema na kumpeleka AIR Tanzania na ndio haya yantokea tena kwake na this time shirika limefia kabisa mikononi mwake live pamoja na kuwahi kumwondoa pale.

yani hii inamaanisha hata kama Leo Bongo tuhamishiwe Japan na wa Japan waje hapa bongo na baaada ya miaka 20 ivi Bongo itakuwa Japan na Japan ita kuwa Bongo.

Viongozi wetu ndio wakwanza kabisa na mstari wa mbele kutupeleka wrong direction

...ATC ilikuwa na wafanyakazi 350, waliopewa barua za kuachishwa kazi ni 200 tu na hao 150 waliobaki wataendelea na ajira zao pindi huyo mchina akichukua hilo shirika...

Thanks mpwa kwa Update

ila mtaona wachina watavyoletwa wengi hapo!!huku watz wamepunguzwa kwa kisingizio cha kutokuwa na tija,kaaazi kwelikweli,Urafiki tumewapa wachina kuna nini? UFI kuna nini?wameletana na kujazana weeengi kuliko maelezo ufanisi hakuna!katika nchi hii ebu toa mfano wa Mchina aliepewa sekta ikaperform? hakuna, still tunawapa anga yetu,
 
Wewe unataka mapilot wangapi maana mpaka sasa nafikiri wanakarusha kandege kamoja to dash 8 kama sijakosea! Mapailot 10 ndege moja wapi na wapi? Maboing yamelala tuu hamna lolote wacha wapunguzwe if they are real qualified then waende mashirika mengine ya ndege yapo mengi sana

wanletwa mapilot wa kichina mbona simple?
 
Uamuzi mzuri sana Atcl ina ndege 2 wafanayakazi 255 wengi sana.
Bora wawe wachache ufanisi uwe bora.
Ila Mataka nae apewe barua yake hafai kabisa.
 
Uamuzi mzuri sana Atcl ina ndege 2 wafanayakazi 255 wengi sana.
Bora wawe wachache ufanisi uwe bora.
Ila Mataka nae apewe barua yake hafai kabisa.

Unaweza kushangaa kuwa hachukuliwi hatua yoyote, na unawezashangaa kusikia kuwa anagombea ubunge 2010 au anateuliwa kwenye nafasi nyingine muhimu zaidi. This is Tanzania.
 
jf habari hizi za kubakia wafanyakazi wawili dar na wawili arusha ni za uzushi na zinalenga kupotosha umma. Usiziruhusu. Inawezekanaje shirika la ndege libakize wafanyakazi wawili? Nani anarusha ndege nani stewardess, nani yuko commecial nani yuko engineering na nani anafanya mahesabu? Shirika limepunguza wafanyakazi na kuacha idadi ya wanaolingana na ndege zilizopo. Hii si breaking news ni habari za kawaida kwani huu ulikuwa mpango wa kujiimarisha shirika kwa muda sasa.
 
Kumbe ndiyo maana walimhamisha mshkaji wao mataka ili aisije kukosa kazi..

duh..

Mattaka hakuhamishwa kutoka ATCL bali yuko on special assignment na analipwa mshahara na marupurpu yote na air Tanzania!! Inategemewa atarudi mwezi wa pili mwaka kesho. Stay tuned Gembe!!
 
[SIZE=4 said:
Dalilah[/SIZE];682488]jf habari hizi za kubakia wafanyakazi wawili dar na wawili arusha ni za uzushi na zinalenga kupotosha umma. Usiziruhusu. Inawezekanaje shirika la ndege libakize wafanyakazi wawili? Nani anarusha ndege nani stewardess, nani yuko commecial nani yuko engineering na nani anafanya mahesabu? Shirika limepunguza wafanyakazi na kuacha idadi ya wanaolingana na ndege zilizopo. Hii si breaking news ni habari za kawaida kwani huu ulikuwa mpango wa kujiimarisha shirika kwa muda sasa.

we ni Delilah unazijua sifa za mwanamama Delila, mpango wa kujiimarisha acheni uchafu wenu, mnajiimarisha kuleta wachina nchini?mumefulia tuu, na ngoja yanayotokea TRL nad ATCL yatatokea pia. hamna lolote bora watz wenye UWEZO waendeshe, why Prcision inakua?kuna wachina mle?mnatia kichefuchefu kabisa,
 
mbona wamepinuza watu kibao hivyo?!!!!!!!!1
mashirika yetu bana!

si tuko jamaika tunabembea
 
we ni Delilah unazijua sifa za mwanamama Delila, mpango wa kujiimarisha acheni uchafu wenu, mnajiimarisha kuleta wachina nchini?mumefulia tuu, na ngoja yanayotokea TRL nad ATCL yatatokea pia. hamna lolote bora watz wenye UWEZO waendeshe, why Prcision inakua?kuna wachina mle?mnatia kichefuchefu kabisa,
Who every you are, tukusamehe bure, maana hujui dira wala mwelekeo, kwa mtaji huo lazima ufyatuke na majibu kama risasi inayotoka kwenye gobole la babu yangu!! Pole eenh
 
Kichwa cha habari ni potofu. ATCL ina wafanyakazi zaidi ya 300. Walioachishwa ni 155. Kusema kweli ukizingatia network na ndege ATCL ilizonazo wafanyakazi zaidi ya 300 ni wengi sana hivyo kulihitajika workforce re-alignment pale ATCL. Hili lilikuwa lifanyike siku nyingi tatizo lilikuwa ni fedha za mafao ambazo sasa serikali imezigarimia. Wengi waliopunguzwa ni wafanyakazi wa umri mkubwa ingawa kuna wafanyakazi wa umri hata wa kustaafu wamebaki kutokana na unyeti wa kazi zao. Hakuna Rubani aliyeachishwa isipokuwa wale wenye utovu wa nidhamu na wale wastaafu waliokuwa kwenye mikataba.
 
Wazawa hatuna uwezo, nchi yenyewe imeshindwa kuendesha mzawa yupi ataweza. Kwa hili sina lawama na mtu yeyote, tujifunze kutoka kwa wenzetu wanafanyaje kazi.

Tukipewa, hatuwezi. Akija anayeweza, nchi imeuzwa. Tunataka nini? Naunga mkono hoja ya msemaji
 
Hizi habari ni za kweli? how possible?naomba source tafadhali.

Hutaki au hupendi kukubali

Tetesi nilizo pata Ofice za zanzibar wafanyakazi wote nje, Mwanza kabakia mmoja, na oficen Dar wamebakia 3 wafanyakazi wengine wadogo wadogo siju ni wangapi, arusha wawili bosi na cashier.

jethro naomba kukuuliza swali, Je safari za ndege za ATCL bado zinaendelea au zimesimamishwa???
 
jethro naomba kukuuliza swali, Je safari za ndege za ATCL bado zinaendelea au zimesimamishwa???

The Mkulima kwa akili yako wadhani shirika hari operate? shughuri zinaendelea kama kawaida na wanajipanga ili kuweka mambo yaende sawa na route waliziongeza. Tunawasubilia tuone watakapo fikia na mipango yao ya kuwa wachina kila kitu.

Back
Top Bottom