ATCL yawasimamisha kazi wafanyakazi zaidi ya 150

Jethro

JF-Expert Member
Mar 23, 2009
2,219
370
Habari za kuaminika

Shirika la ndege Tanzania (AIR TANZANIA) limewaachisha wafanya kazi wake karibia wote kituo cha Dar na Arusha, na waliobakia ni wafanyakazi wawili Dar na wawili Arusha,

Kilichotokea ni kuwa wafanyakazi waliitwa na kupewa barua zao za kuachishwa kazi na kulipwa mafao yao yote ikiwa naamaanisha barua ya kuachishwa kazi ilikuwa imeambatanishwa na cheque ya malipo yao yote hata kama kwenu ni mwanza usafiri umekuwa included.

Sasa Hao walio pewa AIR Tanzania tumeambiwa ni wachina Je watakuja na wafanyakazi wao wote??

Je Huo ndio ubinafsishaji ambao raia anstahiri kufaidika nao??

Mwana JF yoyote atupe sera za ubinafsishaji na faida zake kwa wananchi!

Viongozi wa nchi hii wakabidhiwapo mashirika ya umma ni kwamba hawana uwezo wa kuyaongoza??

Wapi twaendaaa??:confused:

Unaposema wafanya kqazi wote una maana gani maana kuna categories - je ni wote kwa maana ya wote - operations na kwingineko au?
 
Nilivyopata habari ni more than 150 ya wafanyakazi ndio wamechishwa kazi walio baki ni mmoja officen na mwingine uwanjani. bado nafuatilia kwa ukaribu kupata details vizuri na kuna mtu namtafuta huko Zanzibar aniambie je nako hilo tukio limetokea kwenye office za AIR Tanzania??

kama ni mmoja mmoja... huko ofisini atakuwa kabaki nanai? je ni HR, Finance, ticketing au nani?
 
Hivi kwa nini nchi yetu inapenda sana kuwapa wageni kazi zote?sasa hao wote walioachishwa kazi watakwenda wapi?na nchi inategemea hasa nini?sijawahi kuona huku nchi inawapa sekta kubwa wageni,alafu tanzania inawaamini sana wachina sijui kwa nini.
 
Hata mtu wa finance nje na kuna mtu mmoja wa pale arusha anafanya kazi AIR Tanzania na ni binti mdogo sana namfahamu najaribu kumpigia hapokei simu naye yuko nje ya kazi FC wake pia. Its Late nadhani wengi wao wanapiga maji na wengine najua hataki kupokea simu kabisa

Hivi kwa nini nchi yetu inapenda sana kuwapa wageni kazi zote?sasa hao wote walioachishwa kazi watakwenda wapi?na nchi inategemea hasa nini?sijawahi kuona huku nchi inawapa sekta kubwa wageni,alafu tanzania inawaamini sana wachina sijui kwa nini.

Viongozi wengi waliopo madarakani wapo kwa maslahi yao binafsi, Kwani tokea kuanza kwa ubinfsishaji % kubwa ya wamiliki ni watu kutoka nje na sio wazawa na hata kama utakuta kuna wazawa wana miliki makampuni utakuta sekta kubwa kubwa kama GM,FC,Sale&Marketing ni watu kutoka nje ya nchi wengi wao ni wahindi ndio wanaajiliwa na wengi wao mpaka sasa wameisha zidisha muda wa kukaaa ndani ya nchi.

Mtu akija kama expert anastahili kufanya kazi ndani ya nchi yetu kwa muda gani??
Chunguzeni makampuni mengi yaliyobinafsishwa yamejaaaa wageni wengi na namba moja ni Mahotelini na viwandani wahindi tokea India wamejaaaaaa humo

Ni uamuzi mgumu saana kuchukuliwa. Lakini kama unasema idadi ya walioachishwa ni takribani 150, basi sio woote walioachishwa maana shirika lina wafanyakazi karibu ya mara 3 ya hao. Ila ukweli shirika linahitajo overhaul ukiachilia mbali maumivu ambayo ndugu zetu wameyapata. Lilikuwa lina idadi kubwa ya wafanyakazi kuliko tija. Cha msingi ni kulipima kuanzia hapa maana ni mwanzo mpya. Nadhani watapunguza kufanya kazi kwa mazoea na kuhamia kwenye ushindani na proffesionalism.
 
Viongozi wengi waliopo madarakani wapo kwa maslahi yao binafsi, Kwani tokea kuanza kwa ubinfsishaji % kubwa ya wamiliki ni watu kutoka nje na sio wazawa na hata kama utakuta kuna wazawa wana miliki makampuni utakuta sekta kubwa kubwa kama GM,FC,Sale&Marketing ni watu kutoka nje ya nchi wengi wao ni wahindi ndio wanaajiliwa na wengi wao mpaka sasa wameisha zidisha muda wa kukaaa ndani ya nchi.

Mtu akija kama expert anastahili kufanya kazi ndani ya nchi yetu kwa muda gani??
Chunguzeni makampuni mengi yaliyobinafsishwa yamejaaaa wageni wengi na namba moja ni Mahotelini na viwandani wahindi tokea India wamejaaaaaa humo

Nchi ishauza ndugu yangu, kama umepata cheki yako angalia jinsi ya kuwa mjasiriamali! Unazani wakumalaumu ni nani? Je ni muheshimiwa anayefunga safari kwenda kubembea Jamaica? au ni wananchi wa Tanzania? Akili mukichwa, mwakani ni uchaguzi mkuu ! Utaamua kusuka au kuchana!
 
Wazawa hatuna uwezo, nchi yenyewe imeshindwa kuendesha mzawa yupi ataweza. Kwa hili sina lawama na mtu yeyote, tujifunze kutoka kwa wenzetu wanafanyaje kazi.
 
Mbona kama ghafla bin vuu? Sheria za kazi zinasemaje kuhusu hili au walishapewa notice kabla? Kama ni kweli poleni watanzania ninaona kabisa tunakoelekea. Ubinafsishaji usiothamini wazawa ni ubinafsishaji kwa faida ya nani? Halafu off all the people wachina?? Hivi ni lini tutajifunza kama wenzetu Kenya? Mbona naona kama wanatuacha kwa kasi kubwa? Nasikitika kuwa kauli mbiu ya Mh. ya Nguvu Mpya, Kasi mpya na Ari mpya inatutia aibu, it sucks nashauri mzee mzima ajifanye kaisahau asiiseme seme kwani anakuwa kikaragosi
 
Kumbe ndiyo maana walimhamisha mshkaji wao mataka ili aisije kukosa kazi..

duh..
 
Wazawa hatuna uwezo, nchi yenyewe imeshindwa kuendesha mzawa yupi ataweza. Kwa hili sina lawama na mtu yeyote, tujifunze kutoka kwa wenzetu wanafanyaje kazi.

Aliyekwambia wazawa hatuna uwezo nani? Viongozi wetu wameamua kuharibu kila kitu wanasingizia wananchi. Kazi ya serikali ni kutuwezesha ili tuweze na si kuleta wageni wakadhani watatujengea nchi yetu wale wanakuja kwa maslahi yao tu.
 
Watu wanafurahia mafao...hawajui kuwa thamani ya kazi ikoje na ukizingatia hawana ujuzi wa ajira binafsi....wamekaa ofisini 30 yrs leo wanaambiwa out....du kama nawaona vile...maana nawapa miezi 6 utawasikia......fulia woote
 
Habari za kuaminika
Shirika la ndege Tanzania (AIR TANZANIA) limewaachisha wafanya kazi wake karibia wote kituo cha Dar na Arusha, na waliobakia ni wafanyakazi wawili Dar na wawili Arusha,

Kilichotokea ni kuwa wafanyakazi waliitwa na kupewa barua zao za kuachishwa kazi na kulipwa mafao yao yote ikiwa naamaanisha barua ya kuachishwa kazi ilikuwa imeambatanishwa na cheque ya malipo yao yote hata kama kwenu ni mwanza usafiri umekuwa included.

Sasa Hao walio pewa AIR Tanzania tumeambiwa ni wachina Je watakuja na wafanyakazi wao wote??

Je Huo ndio ubinafsishaji ambao raia anstahiri kufaidika nao??

Mwana JF yoyote atupe sera za ubinafsishaji na faida zake kwa wananchi!

Viongozi wa nchi hii wakabidhiwapo mashirika ya umma ni kwamba hawana uwezo wa kuyaongoza??

Wapi twaendaaa??:confused:

Kutokana na hali ya shirika ilivyo na jinsi lilivyotafunwa pengine na baadhi ya hao wafanyakazi walioachishwa kazi hatua hii inastahili pongezi sana! Cha muhimu ni kujua wapi walikosea na kuanza mikakati mipya ya kuikuza ATCL
 
Mi nadhani ifikie muda wabongo nao tuamke otherwise tutaishia kuwhine wakati wahindi na wachina wanajazana, apart from wakenya amvbao kila mtu anataka kuja Tz. Kazi ipo na si ndogo.
 
Ukweli Shirika lilikua na wafanyakazi wengi kuliko tija.
Pia is good watu wamepewa na stahili zao kabisa. Maana mashirika mengine watu wanapunguzwa kazi na pesa hawazioni.
 
Back
Top Bottom