ATCL yarejea katika Shirikisho la Mashirika ya Ndege Duniani (IATA). Sasa kuuza tiketi dunia nzima

Dar es Salaam. Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) limeruhusiwa kurejea katika Shirikisho la Mashirika ya Ndege Duniani (IATA), ambapo kuanzia sasa litakuwa na uwezo wa kuuza tiketi zake duniani kote.

ATCL iliondolewa IATA miaka tisa iliyopita baada ya kuelemewa na mzigo wa madeni.

Lakini tangu kufufuliwa upya kwa shirika hilo 2016, limekuwa likipambana kutaka kurejea upya katika uanachama ili kuepuka kukosa malipo ya tiketi zao hususan katika safari za kimataifa.

Taarifa ya ATCL iliyotolewa kwa washirika wake Oktoba 24 na kuthibitishwa na mkurugenzi mkuu wa shirika hilo, Ladislaus Matindi jana kwa ujumbe mfupi wa simu kwa Mwananchi inaeleza kuwa, kurejeshwa kwao kumeanza rasmi mwezi huu.

“Tulipata taarifa kutoka IATA kuwa tumerudishwa kwenye mfumo wa malipo wa pamoja (Airlines Clearing House - ACH)), na sasa Air Tanzania imerejea katika mfumo huo na ni mwanachama halali wa shirikisho hilo,” imeeleza sehemu ya barua hiyo iliyosainiwa na mkurugenzi wa Fedha, Albinus Manambu.

Taarifa hiyo ilieleza kuwa fomu zote za malipo ambayo hayakufanyiwa kazi au kulipwa wakati ATCL ilipoondolewa katika mfumo, zinapaswa kutumwa upya ACH ili ziweze kushughulikiwa.

Akizungumzia kurejea IATA, mkurugenzi wa Biashara wa ATCL, Patrick Ndekana alisema hatua hiyo inarahishisha uhusiano wao na mashirika pamoja na kampuni zingine za ndege katika biashara kwa kuwa wanapenda kushirikiana na watu waliopo IATA.

“Soko letu katika huduma litapanuka zaidi na tutaweza kushindana na kuifanya Dar es Salaam kuwa njia pana ya kuelekea maeneo mbalimbali, sasa tutafahamika kimataifa na tutaweza kuingia makubaliano na mashirika makubwa ya ndege,” alisema Ndekana.

Aliongeza kuwa hatua hiyo ni muhimu kibiashara hususan wakati huu ambao wamelenga kupanua safari zao nje ya mipaka ya Tanzania.

Alisema kutokana na kurejeshwa IATA, hivi sasa abiria anaweza kukata tiketi za ATCL kokote duniani.

Chanzo: Mwananchi

Habari zaidi, soma=>Air Tanzania yaondolewa kwenye mfumo wa malipo wa Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Anga(IATA) kwa sababu ya madeni - JamiiForums
Salary Slip pole sana! Najua uliko unatamani kumeza wembe kusikia taarifa hii. Mwezi ujao zinaingia ndege tena mbili CS300 na Dreamliner yetu inaanza kula masafa ya kimataifa! Lazima upate kiharusi awamu hii ya tano!!
 
Chadema watanuna na kupinga
Hivi kwanini una akili chafu hivi

Yani nyie wana ccm na chadema hamuwezi weka hoja rationally

Bila kupigana vijembe aisee huwa mnanikera na kunichfua nyumbu nyinyi
 
ATCL iliondolewa IATA miaka tisa iliyopita baada ya kuelemewa na mzigo wa madeni.

“Tulipata taarifa kutoka IATA kuwa tumerudishwa kwenye mfumo wa malipo wa pamoja (Airlines Clearing House - ACH)), na sasa Air Tanzania imerejea katika mfumo huo na ni mwanachama halali wa shirikisho hilo,” imeeleza sehemu ya barua hiyo iliyosainiwa na mkurugenzi wa Fedha, Albinus Manambu.
[/URL]
nionyeshe hapa jinala ATCL au AirTanzania kwenye hii list ya members wa IATA ili uniaminishe kuwa umerudishwa kundini
IATA - Current Airline Members
 
Wafuasi wa yule msaliti si walituambia kuwa hili haliwezekani? Usaliti ni mzigo kama gunia la kunguni; haumwachi mtu salama.
 
nionyeshe hapa jinala ATCL au AirTanzania kwenye hii list ya members wa IATA ili uniaminishe kuwa umerudishwa kundini
IATA - Current Airline Members

Asante mkuu, pia linki imeweka angalizo kuwa wanaonyesha taarifa mpya in real time sasa tangu ATCL watoe taarifa ya jambo hili jipya bado hatuioni ktk list maana yake kuna uwalakini ktk taarifa kwa umma iliyotolewa na ATCL
* Note on members count: the counter above is updated in real time, showing the exact number of members today. You may see a rounded figure on other pages of this site or in other IATA communications.
IATA - Home ich/members
 
Salary Slip pole sana! Najua uliko unatamani kumeza wembe kusikia taarifa hii. Mwezi ujao zinaingia ndege tena mbili CS300 na Dreamliner yetu inaanza kula masafa ya kimataifa! Lazima upate kiharusi awamu hii ya tano!!
inapitia anga lipi
IATA - Current Airline Members
 
Asante mkuu, pia linki imeweka angalizo kuwa wanaonyesha taarifa mpya in real time sasa tangu ATCL watoe taarifa ya jambo hili jipya bado hatuioni ktk list maana yake kuna uwalakini ktk taarifa kwa umma iliyotolewa na ATCL

IATA - Home ich/members
Jiwe kalishwa changa la macho na wajanja
 
Dar es Salaam. Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) limeruhusiwa kurejea katika Shirikisho la Mashirika ya Ndege Duniani (IATA), ambapo kuanzia sasa litakuwa na uwezo wa kuuza tiketi zake duniani kote.

ATCL iliondolewa IATA miaka tisa iliyopita baada ya kuelemewa na mzigo wa madeni.

Lakini tangu kufufuliwa upya kwa shirika hilo 2016, limekuwa likipambana kutaka kurejea upya katika uanachama ili kuepuka kukosa malipo ya tiketi zao hususan katika safari za kimataifa.

Taarifa ya ATCL iliyotolewa kwa washirika wake Oktoba 24 na kuthibitishwa na mkurugenzi mkuu wa shirika hilo, Ladislaus Matindi jana kwa ujumbe mfupi wa simu kwa Mwananchi inaeleza kuwa, kurejeshwa kwao kumeanza rasmi mwezi huu.

“Tulipata taarifa kutoka IATA kuwa tumerudishwa kwenye mfumo wa malipo wa pamoja (Airlines Clearing House - ACH)), na sasa Air Tanzania imerejea katika mfumo huo na ni mwanachama halali wa shirikisho hilo,” imeeleza sehemu ya barua hiyo iliyosainiwa na mkurugenzi wa Fedha, Albinus Manambu.

Taarifa hiyo ilieleza kuwa fomu zote za malipo ambayo hayakufanyiwa kazi au kulipwa wakati ATCL ilipoondolewa katika mfumo, zinapaswa kutumwa upya ACH ili ziweze kushughulikiwa.

Akizungumzia kurejea IATA, mkurugenzi wa Biashara wa ATCL, Patrick Ndekana alisema hatua hiyo inarahishisha uhusiano wao na mashirika pamoja na kampuni zingine za ndege katika biashara kwa kuwa wanapenda kushirikiana na watu waliopo IATA.

“Soko letu katika huduma litapanuka zaidi na tutaweza kushindana na kuifanya Dar es Salaam kuwa njia pana ya kuelekea maeneo mbalimbali, sasa tutafahamika kimataifa na tutaweza kuingia makubaliano na mashirika makubwa ya ndege,” alisema Ndekana.

Aliongeza kuwa hatua hiyo ni muhimu kibiashara hususan wakati huu ambao wamelenga kupanua safari zao nje ya mipaka ya Tanzania.

Alisema kutokana na kurejeshwa IATA, hivi sasa abiria anaweza kukata tiketi za ATCL kokote duniani.

Chanzo: Mwananchi

Habari zaidi, soma=>Air Tanzania yaondolewa kwenye mfumo wa malipo wa Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Anga(IATA) kwa sababu ya madeni - JamiiForums
je unaamini ulichoweka hapa kiko sawa?
pitia hii ujiridhishe
IATA - Current Airline Members
 
Hapa ndipo mnapokosea, mnalazimisha kuligawa taiga kwenye mambo muhimu ya kitaifa. Chadema ni chama cha umma, je mnataka wanachedama wote wasipende mafanikio? Mbona mnataka kujimilikisha kila kitu nyinyi? Huo ni mtazamo finyu sana.
ajabu ni kuwa wakati watu wa chadema wakipigania taratibu zifuatwe huwa wanazodolewa, hadi pale tunapopigwa fine ndipo uvccm huja huku kwa vigelegele
 
Mkuuu ukiniambia pesa za kulipa mdeni mmezitoa wapi na nikiasi gani nitashangilia sana kama mtanzania mnyonge na masikini.

Ikiwa kupanda basi la kampuni yenye basi moja tu pale ubungo kwenda iringa ni mtihani mkubwa ukihofia likirarika mtapata wapi msaaada ndio mwarabu ambae kwao kuna oman air, fly emirates etihad na nyingine nyingi atapanda air tz badala ya kenya airways au Rwandan air mkuuu,
Labda hizo ndege tungekua tunapanda watiziiii masikini na wanyonge ila sio matajiri na wazungu mkuu

Ivii unajua makpuni ya ndege yanayo enda mumbai kutoka east afrika kwa watu wata opt kupanda Atcl badala ya hizo ndege nyingine.
Umewahi kufikiria ndege ikienda mswaki dar-mumbai go and return
Umefikilia ndege ikipata hitilafu au safari kuwa cancelled na wewe una singel plane nyie endeleeni kusifia na kufikilia kwa kutumia viungo vyenu ya kukalia
KWA IYO BORA WASIJIUNGE AU TUSIWE NA SHIRIKA?
 
Dar es Salaam. Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) limeruhusiwa kurejea katika Shirikisho la Mashirika ya Ndege Duniani (IATA), ambapo kuanzia sasa litakuwa na uwezo wa kuuza tiketi zake duniani kote.

ATCL iliondolewa IATA miaka tisa iliyopita baada ya kuelemewa na mzigo wa madeni.

Lakini tangu kufufuliwa upya kwa shirika hilo 2016, limekuwa likipambana kutaka kurejea upya katika uanachama ili kuepuka kukosa malipo ya tiketi zao hususan katika safari za kimataifa.

Taarifa ya ATCL iliyotolewa kwa washirika wake Oktoba 24 na kuthibitishwa na mkurugenzi mkuu wa shirika hilo, Ladislaus Matindi jana kwa ujumbe mfupi wa simu kwa Mwananchi inaeleza kuwa, kurejeshwa kwao kumeanza rasmi mwezi huu.

“Tulipata taarifa kutoka IATA kuwa tumerudishwa kwenye mfumo wa malipo wa pamoja (Airlines Clearing House - ACH)), na sasa Air Tanzania imerejea katika mfumo huo na ni mwanachama halali wa shirikisho hilo,” imeeleza sehemu ya barua hiyo iliyosainiwa na mkurugenzi wa Fedha, Albinus Manambu.

Taarifa hiyo ilieleza kuwa fomu zote za malipo ambayo hayakufanyiwa kazi au kulipwa wakati ATCL ilipoondolewa katika mfumo, zinapaswa kutumwa upya ACH ili ziweze kushughulikiwa.

Akizungumzia kurejea IATA, mkurugenzi wa Biashara wa ATCL, Patrick Ndekana alisema hatua hiyo inarahishisha uhusiano wao na mashirika pamoja na kampuni zingine za ndege katika biashara kwa kuwa wanapenda kushirikiana na watu waliopo IATA.

“Soko letu katika huduma litapanuka zaidi na tutaweza kushindana na kuifanya Dar es Salaam kuwa njia pana ya kuelekea maeneo mbalimbali, sasa tutafahamika kimataifa na tutaweza kuingia makubaliano na mashirika makubwa ya ndege,” alisema Ndekana.

Aliongeza kuwa hatua hiyo ni muhimu kibiashara hususan wakati huu ambao wamelenga kupanua safari zao nje ya mipaka ya Tanzania.

Alisema kutokana na kurejeshwa IATA, hivi sasa abiria anaweza kukata tiketi za ATCL kokote duniani.

Chanzo: Mwananchi

Habari zaidi, soma=>Air Tanzania yaondolewa kwenye mfumo wa malipo wa Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Anga(IATA) kwa sababu ya madeni - JamiiForums
Tupe link inayoonyesha ATCL imerudi.. maana kwenye website ya IATA IATA - Current Airline Members waliopo in Precision Air pekee toka Tanzania
 
Mkuu hii I'd Yako na avatar no yule jamaa wa kwenye money heist
Mkuuu ukiniambia pesa za kulipa mdeni mmezitoa wapi na nikiasi gani nitashangilia sana kama mtanzania mnyonge na masikini.

Ikiwa kupanda basi la kampuni yenye basi moja tu pale ubungo kwenda iringa ni mtihani mkubwa ukihofia likirarika mtapata wapi msaaada ndio mwarabu ambae kwao kuna oman air, fly emirates etihad na nyingine nyingi atapanda air tz badala ya kenya airways au Rwandan air mkuuu,
Labda hizo ndege tungekua tunapanda watiziiii masikini na wanyonge ila sio matajiri na wazungu mkuu

Ivii unajua makpuni ya ndege yanayo enda mumbai kutoka east afrika kwa watu wata opt kupanda Atcl badala ya hizo ndege nyingine.
Umewahi kufikiria ndege ikienda mswaki dar-mumbai go and return
Umefikilia ndege ikipata hitilafu au safari kuwa cancelled na wewe una singel plane nyie endeleeni kusifia na kufikilia kwa kutumia viungo vyenu ya kukalia
 
Hii ni habari mbaya kwa wanaufipa and the likes.

Kudoz to JPM na serikali.......historia imeandikwa.

Hapa Kazi Tu.
 
Back
Top Bottom